Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Umeongea point za ukweli.

Ukiachana na kutoka kimaisha kuna kutoboa kimahusiano mpaka ndoa, vijana hawajui kuwa mke mwema ni intangible assets
 
Dada zako wakifanyiwa hivyo pia usitafute mchawi
Mimi nilisha kaa nao na kuzungumza. Ishu ya kuoa au kuolewa waitoe akilini wapambane na maisha. Ndo imekua chanzo cha ndugu kuchukiana. Chanzo cha vifo, chanzo cha magonjwa. Chanzo cha umaskini. Na zaidi ukioa mara nyingi unakua umemsaidia mwanamke kutimiza ndoto zake wakati wewe ndio umeanza kuyaharibu kabisa maisha yako.
Mtoa maada nakubaliana nae 100%
 
Wanaume wengi sana wanalalamika kuhusu mahusiano yao na Wanawake, ambao hawapo kwenye mahusiano wataogopa kuingia maana siyo kwa malalamiko haya, poleni sana Wanaume wote mnaokumbwa na changamoto za mapenzi.
 
Mdudu mapenzi kaingia tena kwenye kidonda cha mtoa mada [emoji119]
 
Kwa kuonyesha makeke ulitakiwa ule sahani moja na mmoja wao..😂
 
Ila lakini vile mnatufanyaga sometimes! Mungu anawaona
kwani ni sisi tu basi? nyie pia mnatufanyaga mambo meusi sana ni vile tu ya upande wetu yamezidi kidogo.

ila hata Mungu alijua udhaifu wa mwanamke ndo maana mchawi wa kike anatakiwa afe lakini wa kiume awe kichaa japo wote ni wachawi.

Mungu aliona mwanamke anaweza mchawi anaweza maliza ukoo ila mchawi wa kiume ataona huruma kidogo,,,so akiwa kichaa baadae akipona ataacha.

hahahahha poleni tu muishi na sisi kwa akili kubwa
 
Wanawake wanaotuweza ninwanaume wenye akili tu wasio na akili watafute wanaume wenzao,,😅teh teh teh
Acha makasiriko unaandika kwa ukali nakuamuru utoke huku ukapumzike sawa
 
Mbona umeandika thread kibabe sana!

Bila shaka ushaangukiwa na kitu che uzito kukuzidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…