Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Elewa hoja.

Wewe wote unaowala utakuja kuwaoa?
Tuko tofauti Mkuu, naheshimu ndoa za watu kana siwezi muangalia mwanamke alieolewa kwa kumtamani, najua wanawake ni viumbe dhaifu saaana kwenye issue ya mapenzi, Mimi ninachowaza au ninachojiuliza uhalali wa mwanamke Ku cheat while ameolewa?...na mauaji yanayoendelea hawajifunzi tu
 
Mwamba nadhani hunijui..!!
Mi ni mtu ambae sina mpango wa kuoa kabisaa.

Hebu fatilia nyuzi zangu.

Sina mke na Wala SIHITAJI KUOA.

When you have money YOU HAVE EVERYTHING.

#YNWA
Kiafrika usipooa utapata jina lako hivi karibuni.
Waafrika tunaamini kuwa utimamu wa mwanaume uko katika kuoa. Asiyeoa siyo timamu.
Hata kwingineko ulimwenguni kiasi kikubwa inaaminika hivyo, mwanaume timamu huoa.
Biblia inawaasa wanaume kuishi na wanawake kwa akili, maana yake ni kuwa mwanaume asiye na akili hawezi kuishi na mwanamke.
Halafu kuna utowashi. Biblia inataja matowashi wa aina 3 katika Mathayo 19:12 "Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee".

Kwahiyo kama hutaki kuoa ni sawa tu.
 
Ulimwengu huu wa kizazi cha ngono usijiaminishe Sana utakufa kwa pressure, maadamu ni mwanadamu chochote kinaweza tokea
 
Elewa hoja.

Wewe wote unaowala utakuja kuwaoa?
Kwahiyo dawa nikuoa mwanamke anayeliwa hovyohovyo,heshima yako wewe mume iko wapi?
Ujingaujinga tu,unaoa mwanamke anagongesha hadi watoto wanajisikia aibu,sijui kwa wewe ceremonial husband.
 
Ni kosa baya sana sana

Lakini huwezi kuwaaminisha watu kwamba wasioe kwa sababu ya mwanamke au wanawake wachache waliopo kwenye ndoa wanacheat.

Je wale wasiocheat tuwachukuliaje?

Wakati wewe unaheshimu ndoa za watu, wapo watu wenye status zao kwenye jamii wanaingilia ndoa za watu hata kufikia kuzivunja....

Watu hytofautiana na ndivyo jamii ilivyo.
 
Kwahiyo dawa nikuoa mwanamke anayeliwa hovyohovyo,heshima yako wewe mume iko wapi?
Ujingaujinga tu,unaoa mwanamke anagongesha hadi watoto wanajisikia aibu,sijui kwa wewe ceremonial husband.
Ukiwa na akili njema wala usingeandika hii fafa hapa.

Nasema kwamba, huwezi kuaminisha hadhira kwamba kosa la.mwanamke mmoja ndo kosa la wonawake wote?

Tunawafabya wanawake victims wa tamaa zwtu na kuwabrand malaya ama makahaba wakati sisi wanaume ndo chanzo cha yote hayo
 
unavyotushauri tusioe wanawake wanachepuka ! kwan hao wanawake wanapochepuka huwa wanachepuka na viumbe gani ?
 

Mwanamke yeye haruhusiwi kuwa na akili?

#YNWA
 
Shemeji hebu kunywa mirinda usubiri kuhesabiwa, hizi ngonjera hazina ishu.....hao wanawake wanatiwa na kina nani kwani???

Tatizo walioa wanakulana na masingle..

Wenye ndoa wangetulia tulii ili kushawishi wasioa waoe.

#YNWA
 
Wakati mwingine ni kufumba tu macho hata wakilamba aipungui, SAsa kama wewe ni mtumishi mtu wa kuhama hama utakuwa una hama na familia KILA Uhamisho huku watoto wanasoma, unaweka base ya makao yako yawe wapi ndo unasettle, kama ni mgawaji hata mkiwa nae ofisi moja atagawa tu.
 
Naona wakala wa shetani yuko kazini. Ni nguvu za giza dhidi ya nguvu za Mwenyezi Mungu. Na unajua nani atashinda? Bado kidogo mtajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…