Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Sijasema asivae shanga bali asivae shanga hovyo
 
Toa ya Kwanza... Umri sio issue.. Trust me..

Ila SINGO MAZA ndio funga Mwaka....

Usioe mwanamke asiekuomba hela..
Usioe mwanamke aliekuzidi kipato/cheo/mshahara..
Usioe mwanamke mwanasiasa..
Usioe mwanamke mwanausalama wkt wewe sio mwanausalama...
Bado wewe ni mtoto! Jamaa yupo sahihi; usioe anayekuzidi umri bwashee
 
Usioe mwanamke anayekuzidi urefu. Hata kwa wanyama beberu siku zote anakuwa giant. aHata kuku hivyo hivyo jogoo anakuwa giant. Ukizidiwa urefu ana mwanamke na confidence yako kama mwanaume inashuka
Ahahaaa!!!
 
Ukijijua wewe ni mwanaume dhaifu usioe kabisa😃😃👋
 
Usiolewe na mwanaume ambae hana pesa, usiolewe na mwanaume mwenye kibamia, usiolewe na mwanaume anavaa zile kofia zimekaa kama sufulia, usiolewe na mwanaume anaeishi kwao.....usiolewe na single dad hua wanapasha vipolo na wazaz wenzao, usiolewe na mwanaume mwenye komwe, usiolewe na mwanaume ambae akitaka kununua boksa anamuuliza mama ake, usiolewe na mwanaume ambae anatumia kiswaswadu kikubwa kama vile radio call..... Wadada wenzangu olewa na mwanaume mwenye akili timamu

Nawasubili ma haters
 
Kama baba yako angezingatia hivyo vigezo ulivyotuwekea hapo bila Shaka wewe usingezaliwa kbsa,maana mama yako......acha niishie tu hapo.
 
Usioe mwanamke anayekuzidi urefu. Hata kwa wanyama beberu siku zote anakuwa giant. aHata kuku hivyo hivyo jogoo anakuwa giant. Ukizidiwa urefu ana mwanamke na confidence yako kama mwanaume inashuka
Hujawai ona kobe dume, ama Kiboko dume.
 
Aliekuzidi kipato oa tu ila ishi nae kwa kula na kipofu 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…