Haya haya haya,
Kwa wale mnaotaka kuoa pitieni hapa itakuja kuwasaidia.
Msiseme hatujawaambia.
~ Usioe mwanamke aliyekuzidi umri.
~ Usioe mwanamke aliyetoboa pua.
~ Usioe mwanamke anayevaa shanga kiuno ovyo ovyo.
~ Usioe mwanamke mwenye blich.
~ Usioe mwanamke aliyeachika.
~ Usioe mwanamke anayevaa skin tight.
~ Usioe mwanamke anayevaa miniskirt.
~ Usioe mwanamke asiyependa kusali.
~ Usioe mwanamke mwenye tatuu kwenye paja tako au kiunoni.
~ Usioe mwanamke aliyekuzidi elimu.
~ Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato.
~ Finally usioe mwanamke aliyezalia nyumbani.
Ongeza ya kwako tuokoe vijana wenzetu wanaotaka kuoa.
View attachment 2349388