Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Usioe mwanamke alokuzodi umri........... MWANAUME DHAIFU.

Usioe mwanamke aliyekuzidi Elimu ....MWANAUME DHAIFU

Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato ...MWANAUME DHAIFU.

Kutoboa shingo, kuvaa shangaa, sio Uhuni, Wala sio umalaya ... Kwa Mataifa ya Afrika....... Hii ni sehem ya Urembo wa kitamadan .
Sijasema asivae shanga bali asivae shanga hovyo
 
Toa ya Kwanza... Umri sio issue.. Trust me..

Ila SINGO MAZA ndio funga Mwaka....

Usioe mwanamke asiekuomba hela..
Usioe mwanamke aliekuzidi kipato/cheo/mshahara..
Usioe mwanamke mwanasiasa..
Usioe mwanamke mwanausalama wkt wewe sio mwanausalama...
Bado wewe ni mtoto! Jamaa yupo sahihi; usioe anayekuzidi umri bwashee
 
Usioe mwanamke anayekuzidi urefu. Hata kwa wanyama beberu siku zote anakuwa giant. aHata kuku hivyo hivyo jogoo anakuwa giant. Ukizidiwa urefu ana mwanamke na confidence yako kama mwanaume inashuka
Ahahaaa!!!
 
Usioe mwanamke alokuzodi umri........... MWANAUME DHAIFU.

Usioe mwanamke aliyekuzidi Elimu ....MWANAUME DHAIFU

Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato ...MWANAUME DHAIFU.

Kutoboa shingo, kuvaa shangaa, sio Uhuni, Wala sio umalaya ... Kwa Mataifa ya Afrika....... Hii ni sehem ya Urembo wa kitamadan .
Ukijijua wewe ni mwanaume dhaifu usioe kabisa😃😃👋
 
Haya haya haya,

Kwa wale mnaotaka kuoa pitieni hapa itakuja kuwasaidia.

Msiseme hatujawaambia.

~ Usioe mwanamke aliyekuzidi umri.
~ Usioe mwanamke aliyetoboa pua.
~ Usioe mwanamke anayevaa shanga kiuno ovyo ovyo.
~ Usioe mwanamke mwenye blich.
~ Usioe mwanamke aliyeachika.
~ Usioe mwanamke anayevaa skin tight.
~ Usioe mwanamke anayevaa miniskirt.
~ Usioe mwanamke asiyependa kusali.
~ Usioe mwanamke mwenye tatuu kwenye paja tako au kiunoni.
~ Usioe mwanamke aliyekuzidi elimu.
~ Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato.
~ Finally usioe mwanamke aliyezalia nyumbani.

Ongeza ya kwako tuokoe vijana wenzetu wanaotaka kuoa.View attachment 2349388
Usiolewe na mwanaume ambae hana pesa, usiolewe na mwanaume mwenye kibamia, usiolewe na mwanaume anavaa zile kofia zimekaa kama sufulia, usiolewe na mwanaume anaeishi kwao.....usiolewe na single dad hua wanapasha vipolo na wazaz wenzao, usiolewe na mwanaume mwenye komwe, usiolewe na mwanaume ambae akitaka kununua boksa anamuuliza mama ake, usiolewe na mwanaume ambae anatumia kiswaswadu kikubwa kama vile radio call..... Wadada wenzangu olewa na mwanaume mwenye akili timamu

Nawasubili ma haters
 
Kama baba yako angezingatia hivyo vigezo ulivyotuwekea hapo bila Shaka wewe usingezaliwa kbsa,maana mama yako......acha niishie tu hapo.
 
Usioe mwanamke anayekuzidi urefu. Hata kwa wanyama beberu siku zote anakuwa giant. aHata kuku hivyo hivyo jogoo anakuwa giant. Ukizidiwa urefu ana mwanamke na confidence yako kama mwanaume inashuka
Hujawai ona kobe dume, ama Kiboko dume.
 
Haya haya haya,

Kwa wale mnaotaka kuoa pitieni hapa itakuja kuwasaidia.

Msiseme hatujawaambia.

~ Usioe mwanamke aliyekuzidi umri.
~ Usioe mwanamke aliyetoboa pua.
~ Usioe mwanamke anayevaa shanga kiuno ovyo ovyo.
~ Usioe mwanamke mwenye blich.
~ Usioe mwanamke aliyeachika.
~ Usioe mwanamke anayevaa skin tight.
~ Usioe mwanamke anayevaa miniskirt.
~ Usioe mwanamke asiyependa kusali.
~ Usioe mwanamke mwenye tatuu kwenye paja tako au kiunoni.
~ Usioe mwanamke aliyekuzidi elimu.
~ Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato.
~ Finally usioe mwanamke aliyezalia nyumbani.

Ongeza ya kwako tuokoe vijana wenzetu wanaotaka kuoa.View attachment 2349388
Aliekuzidi kipato oa tu ila ishi nae kwa kula na kipofu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom