Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Anayezini na MKE WA MTU vipi akiwa sio mke wa mtu?Methali 6:32
Mwanamume anayezini na mke wa mtu hana akili kabisa; huyo hujiangamiza yeye mwenyewe.
Kwa hiyo kwa mujibu wa Yesu kuoa sio lazimaMaana kuna sababu kadhaa za kutoweza kuoa: Wengine ni kwa sababu wamezaliwa hivyo, wengine kwa sababu wamefanywa hivyo na watu, na wengine wameamua kutooa kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea fundisho hili na alipokee.β
Yesu anawabariki watoto wadogo
Sjasema kulala na mke wa mtu , kuna wake za watu wngi tunawashauri waishi vyema na wame zao , waache viburi. Wawe na heshima , hyo ya kulala nao ni vizawadi vidgo tu unapatiwa baada ya ushauri wa ndoa , wala haina uhusiano na comment yangu
Mit 6:32Anayezini na MKE WA MTU vipi akiwa sio mke wa mtu?
Sio kila wiknd tu kila siku na kila dakika ndoa zinavunjikaHumu ndan naona anaongoza kwa stress...ati ameoa[emoji119][emoji1787].hii kampen iko jf tu kila wknd ni harusi zinafungwa pole zao
Aaah!! Mie sasa mwisho wa mwezi unanihusuje binadamu weweπππ π usinifanyie hivyo ewe mwanadamu .. mwisho wa mwezi huu
Kuoa sio lazima ndio. Na wote hawajaumbiwa kuoa.. ila Yesu amekaza kabisa uzinzi na uasherati.. kama hutaki kuoa maana yake towashi hutakiwi kutiana hadi unakufa.. na kama unataka kutiana oa ππKwa hiyo kwa mujibu wa Yesu kuoa sio lazima
Utajuaje na mimi pia nilinaswa na hizi kampeni mkuu baada ya kulinganisha ushauri na uhalisia nikabdil mawazo nisioe mkuu? Kwa sababu kma watoto ninao na nina ishi nao , na hakuna kitu nakosa ukiweka na kupata utelezi ya nini niangaike na ndoa tenaWewe unafanya kampeni kama zile za anza na jogoo wawili baada ya mwaka watakuwa 100. Usijifananishe na hao beijing. Angalau wao wanapigania maslahi binafsi na usidhani zinafanyika bure, kuna bajeti, hao wa iran wanapigania maslahi ya kisiasa. Wewe utapiga keleeee na watu wataoa tu bila kujali athari zinazokufanya upige kelele.
BY THE WAY BIASHARA YA UKUMBI WA SHEREHE INALIPA, WEKEZA HUKO.
πππ ewe mwanadamu wape neno hawa raia.. wapinga ndoa..Aaah!! Mie sasa mwisho wa mwezi unanihusuje binadamu weweππ
Maneno ya kuambiwa tu hayo , mtu kaamua kunipa papuchi yake ww unaumia ni yakwako ? Ipo kwenye mwili wako?Methali 6:32
Mwanamume anayezini na mke wa mtu hana akili kabisa; huyo hujiangamiza yeye mwenyewe.
Tatizo hawa wenyewe waliooa wanatumegea mademu zetu huko mitaaniMit 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Kila kheri bossManeno ya kuambiwa tu hayo , mtu kaamua kunipa papuchi yake ww unaumia ni yakwako ? Ipo kwenye mwili wako?
Sasa kuwapa ushauri wake za watu ndio kuishi nao kwa akili? Wewe umeshajaa sumu kuhusu ndoa. Si hutaki kuoa? We tulia zako benchi kimya wenzenu wanazitaka hizo ndoa na wanaoa.Sjasema kulala na mke wa mtu , kuna wake za watu wngi tunawashauri waishi vyema na wame zao , waache viburi. Wawe na heshima , hyo ya kulala nao ni vizawadi vidgo tu unapatiwa baada ya ushauri wa ndoa , wala haina uhusiano na comment yangu
Bado... Watakuja wasio na dini wala kuamini chochote kukupingaπππKuoa sio lazima ndio. Na wote hawajaumbiwa kuoa.. ila Yesu amekaza kabisa uzinzi na uasherati.. kama hutaki kuoa maana yake towashi hutakiwi kutiana hadi unakufa.. na kama unataka kutiana oa ππ
Kwa nin umesema hivyo mkuuWee nae chukua time huko, kwa nini hujaniuliza kwa nini nimesema hivyo...
Unachosema ni kweli, ndoa nyingi zinaingia zikiwa na misingi mibovu..Tatizo hawa wenyewe waliooa wanatumegea mademu zetu huko mitaani
Wake za wtu tunawamega na mafantasy tunafanya nao kabisa
Unajua ndoa zimepoteza thamani kwa sababu ya kuchepuka
Kama haitoshi Biblia inasema wachumba wasifanye ngono kabla ya ndoa leo cha ajabu makanisani mke anaolewa akiwa tayari mjamzito.
Wale walio kwenye ndoa wanamchezea sana Mungu ni bora sisi team kataa ndoa
NDOA NI TAKATIFU ila kwa kuchepuka na kufanya ngono na watu wenu kabla ya ndoa MNAINAJISI sana ndoa
Mungu anawaona mjue
Mkuu sitaki ndoa kabsa ila kuoa bado sijafanya maamuzi kwanzaSasa kuwapa ushauri wake za watu ndio kuishi nao kwa akili? Wewe umeshajaa sumu kuhusu ndoa. Si hutaki kuoa? We tulia zako benchi kimya wenzenu wanazitaka hizo ndoa na wanaoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nin umesema hivyo mkuu
Uzinzi ni kwa wale walio kwenye ndoa ila wanachepuka. Tunapishana nao sana kweye corridor za lodge na michepuko yaoKuoa sio lazima ndio. Na wote hawajaumbiwa kuoa.. ila Yesu amekaza kabisa uzinzi na uasherati.. kama hutaki kuoa maana yake towashi hutakiwi kutiana hadi unakufa.. na kama unataka kutiana oa ππ