Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Kulala na mke wa mtu nayo ni akili?? Au sijakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sjasema kulala na mke wa mtu , kuna wake za watu wngi tunawashauri waishi vyema na wame zao , waache viburi. Wawe na heshima , hyo ya kulala nao ni vizawadi vidgo tu unapatiwa baada ya ushauri wa ndoa , wala haina uhusiano na comment yangu
 
Humu ndan naona anaongoza kwa stress...ati ameoa[emoji119][emoji1787].hii kampen iko jf tu kila wknd ni harusi zinafungwa pole zao
Sio kila wiknd tu kila siku na kila dakika ndoa zinavunjika
 
Wewe unafanya kampeni kama zile za anza na jogoo wawili baada ya mwaka watakuwa 100. Usijifananishe na hao beijing. Angalau wao wanapigania maslahi binafsi na usidhani zinafanyika bure, kuna bajeti, hao wa iran wanapigania maslahi ya kisiasa. Wewe utapiga keleeee na watu wataoa tu bila kujali athari zinazokufanya upige kelele.

BY THE WAY BIASHARA YA UKUMBI WA SHEREHE INALIPA, WEKEZA HUKO.
Utajuaje na mimi pia nilinaswa na hizi kampeni mkuu baada ya kulinganisha ushauri na uhalisia nikabdil mawazo nisioe mkuu? Kwa sababu kma watoto ninao na nina ishi nao , na hakuna kitu nakosa ukiweka na kupata utelezi ya nini niangaike na ndoa tena
 
Mit 6:32

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Tatizo hawa wenyewe waliooa wanatumegea mademu zetu huko mitaani

Wake zao tunawamega na mafantasy tunafanya nao kabisa

Unajua ndoa zimepoteza thamani kwa sababu ya kuchepuka

Kama haitoshi Biblia inasema wachumba wasifanye ngono kabla ya ndoa leo cha ajabu makanisani mke anaolewa akiwa tayari mjamzito.

Wale walio kwenye ndoa wanamchezea sana Mungu ni bora sisi team kataa ndoa

NDOA NI TAKATIFU ila kwa kuchepuka na kufanya ngono na watu wenu kabla ya ndoa MNAINAJISI sana ndoa

Mungu anawaona mjue
 
Sjasema kulala na mke wa mtu , kuna wake za watu wngi tunawashauri waishi vyema na wame zao , waache viburi. Wawe na heshima , hyo ya kulala nao ni vizawadi vidgo tu unapatiwa baada ya ushauri wa ndoa , wala haina uhusiano na comment yangu
Sasa kuwapa ushauri wake za watu ndio kuishi nao kwa akili? Wewe umeshajaa sumu kuhusu ndoa. Si hutaki kuoa? We tulia zako benchi kimya wenzenu wanazitaka hizo ndoa na wanaoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuoa sio lazima ndio. Na wote hawajaumbiwa kuoa.. ila Yesu amekaza kabisa uzinzi na uasherati.. kama hutaki kuoa maana yake towashi hutakiwi kutiana hadi unakufa.. na kama unataka kutiana oa 🙂🙂
Bado... Watakuja wasio na dini wala kuamini chochote kukupinga😂😂😂
 
Wasikikizwe na nani wakati uamuzi wa kuoa ni wao wenyewe? They're just too weak, ndio maana hata suala linalowahusu wao (kuoa) wanataka jamii iwaunge mkono.

Hiyo kampeini yenu (ya hapa JF) inazidi kuwafanya kuwa inferior, you're development inferiority complex unknowingly.
 
Tatizo hawa wenyewe waliooa wanatumegea mademu zetu huko mitaani

Wake za wtu tunawamega na mafantasy tunafanya nao kabisa

Unajua ndoa zimepoteza thamani kwa sababu ya kuchepuka

Kama haitoshi Biblia inasema wachumba wasifanye ngono kabla ya ndoa leo cha ajabu makanisani mke anaolewa akiwa tayari mjamzito.

Wale walio kwenye ndoa wanamchezea sana Mungu ni bora sisi team kataa ndoa

NDOA NI TAKATIFU ila kwa kuchepuka na kufanya ngono na watu wenu kabla ya ndoa MNAINAJISI sana ndoa

Mungu anawaona mjue
Unachosema ni kweli, ndoa nyingi zinaingia zikiwa na misingi mibovu..

Ila haina maana tupinge ndoa na kuhamasisha.

Watu wazuri wapo na wabaya wapo.. nipo mkoa flani katika wilaya flani hakuna uchafu na ujaribifu kama wa huko mjini.. na aanafata kila taratibu..

Ndoa inabaki kuwa ni kusudi la Mungu na ni njema.. changamoto zake haifanyi tuanzishe kampeni ya kupinga..

Kuna mambo mengi mabaya yana athari sana kwa watu mbona hatuyapingi wazi wazi.. ila why ndoa ? Kuna ajenda mbaya hapo unakataa ndoa then ije nini ?
 
Kuoa sio lazima ndio. Na wote hawajaumbiwa kuoa.. ila Yesu amekaza kabisa uzinzi na uasherati.. kama hutaki kuoa maana yake towashi hutakiwi kutiana hadi unakufa.. na kama unataka kutiana oa 🙂🙂
Uzinzi ni kwa wale walio kwenye ndoa ila wanachepuka. Tunapishana nao sana kweye corridor za lodge na michepuko yao

Uasherati ni kwa wale ambao tunagegedana na bado hatujafunga ndoa tunaosema eti yule boyfried au girlfriend au mar sijui manzi au bwana wangu

Kwa hiyo hapo Yesu aligusa pande zote mbili kwa waliooa na ambao hawajaoa
 
Back
Top Bottom