Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mwezi wa kwanza tarehe 10 mwaka huu Nilinunua Gari ndogo lakini kwa mgongo wa kaka yangu mmiliki nimemuandikisha yeye a kafanya kama amenipa hiv kwa mashart fulani
 
1. Wakoritnho 7:37–40

37 Lakini kama mwanamume ameshaamua moyoni mwake kuto kuoa bila kulazimishwa na mtu; kama anaweza kujitawala kabisa, basi anafanya vyema kutokumuoa mchumba wake.

38 Kwa hiyo mwana mume anayeamua kumuoa mchumba wake anafanya vizuri, lakini yule anayeamua kutokumuoa anafanya vizuri zaidi.

39 Mwanamke aliyeolewa amefungwa kwa mume wake maadamu anaishi. Kama mumewe akifa, basi mwanamke huyo yuko huru kuolewa na mume mwingine ampendaye, ila iwe katika Bwana.

40 Lakini kwa upande wangu naona kuwa angekuwa na furaha zaidi akibaki alivyo.
Kwenye Biblia mchumba ni binti ambaye hamjaingiliana Ki mwili, kwanza uliewe hili.

Usisome Biblia kama mashairi ya Shabaan Robert.

Yusuph/Joseph/Joseph alikuwa ni mchumba wa bikira Maria aliyeja kumzaa Yesu.
Elewa vizuri anapozungumziwa mchumba katika Biblia, siyo huu uchumba wenu wa beach Kidimbwi au kama wa Mmakonde na Kajala, hao ni mafuska Wawili tu wanaovalishana Pete za Kidunia.
 
Utajuaje na mimi pia nilinaswa na hizi kampeni mkuu baada ya kulinganisha ushauri na uhalisia nikabdil mawazo nisioe mkuu? Kwa sababu kma watoto ninao na nina ishi nao , na hakuna kitu nakosa ukiweka na kupata utelezi ya nini niangaike na ndoa tena
Okey! Sasa Watoto wako unawafundisha wajamiiane kwa mfumo kupata utelezi na kupita hivi? Wa kike unao?
 
PIti hapo.. kama umeamua kuto kuoa acha kutiana.. ndio unakuwa ume fit na andiko unalo lipogani

Kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na Bwana, na kama alivyoitwa na Mungu. ( Wewe unakataa ndoa una hakika na wito wako kama huna wito wa kuoa au unao ) ? Au unapinga ndoa kisa kuona changamoto ?

Sasa, kuhusu mabikira na waseja, sina amri kutoka kwa Bwana; lakini natoa maoni yangu mimi ambaye kwa huruma yake Bwana nastahili kuaminiwa.

Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.

Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.
Nimeacha kutiana baada ya kusoma hili andiko 1. Wakorintho 6:9

9 Je, hamjui kwamba wasio na haki hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msidanganyike, waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wapotoshaji;

Tuje kwenu mliooa sasa. Unafikiri ndoa ya mwanandoa anayechepuka ina baraka zozote kwa Mungu?

WAEBRANIA 13:4 Ndoa iheshimiwe na watu wote, na wenye ndoa wawe waaminifu kwa wenzi wao ; maana Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati.

Ikiwa mwanandoa anachepuka hiyo ndoa ni batili kwa Mungu
 
Kwenye Biblia mchumba ni binti ambaye hamjaingiliana Ki mwili, kwanza uliewe hili.

Usisome Biblia kama mashairi ya Shabaan Robert.

Yusuph/Joseph/Joseph alikuwa ni mchumba wa bikira Maria aliyeja kumzaa Yesu.
Elewa vizuri anapozungumziwa mchumba katika Biblia, siyo huu uchumba wenu wa beach Kidimbwi au kama wa Mmakonde na Kajala, hao ni mafuska Wawili tu wanaovalishana Pete za Kidunia.
Hahahaa nazungumzia uchumba huohuo kama wa Isaka na Rebeka mkuu
 
[emoji2][emoji3] Mkuu me sijaoa, na wala sijawahi kupita kwenye ndoa,,, tena bado kijana mdogo sana ila nilichoandika nina-experience nacho kutoka kwa kaya nyingi tu.
Pole sana umepita kwenye jamii ya hovyo ambayo imekuwa mfano mbaya hadi imekukatisha tamaa ya kuoa. Mwisho wa siku utakuja kuolewa wewe sasa( ashakum si matusi) mashoga wengi ukiwauliza walianzaje ushoga huwa wana sababu kabisa konki. Moja wapo ni kama hizo zako. Na kiukweli hata wewe una sababu konki za kutooa kutokana na kwamba hapo ulipokulia hujaona faida ya ndoa.
 
Tumia maneno mazuri Yenye busara kidogo kumtazamia mwenzio kuwa shoga ni kosa kubwa Sana
 
Kutokana na mambo ya hapa na pale ikitokea shida Mali inabaki safe
Gari ni Mali? una shida kwenye ubongo wako.

Kwahiyo kaka yako yeye ndio hana mke? ni mtawa?

Vijana mliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu bahati mbaya mmezaliwa na roho ila hamna nafsi, too bad nawasikitikia sana.
 
Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?

Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
Kuwa against something doesn't mean you are pro-something else..
 
Nimeacha kutiana baada ya kusoma hili andiko 1. Wakorintho 6:9

9 Je, hamjui kwamba wasio na haki hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msidanganyike, waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wapotoshaji;

Tuje kwenu mliooa sasa. Unafikiri ndoa ya mwanandoa anayechepuka ina baraka zozote kwa Mungu?

WAEBRANIA 13:4 Ndoa iheshimiwe na watu wote, na wenye ndoa wawe waaminifu kwa wenzi wao ; maana Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati.

Ikiwa mwanandoa anachepuka hiyo ndoa ni batili kwa Mungu
Sio wote walio oa wanachepuka, wapo wasio chepuka
 
mwanamke nilazima kuishi nae.kwaajili yakunisaidia na kulinda nyumba yangu.ila haitakiwi kumshirikisha chochote.awe mtu was odatuu fanyahivi fanyavile bas.akileta ujuwaji timua vuta mwingine.
 
Back
Top Bottom