Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Kwenye Biblia mchumba ni binti ambaye hamjaingiliana Ki mwili, kwanza uliewe hili.1. Wakoritnho 7:37–40
37 Lakini kama mwanamume ameshaamua moyoni mwake kuto kuoa bila kulazimishwa na mtu; kama anaweza kujitawala kabisa, basi anafanya vyema kutokumuoa mchumba wake.
38 Kwa hiyo mwana mume anayeamua kumuoa mchumba wake anafanya vizuri, lakini yule anayeamua kutokumuoa anafanya vizuri zaidi.
39 Mwanamke aliyeolewa amefungwa kwa mume wake maadamu anaishi. Kama mumewe akifa, basi mwanamke huyo yuko huru kuolewa na mume mwingine ampendaye, ila iwe katika Bwana.
40 Lakini kwa upande wangu naona kuwa angekuwa na furaha zaidi akibaki alivyo.
Na mkeo kanunua kiwanja kamwandika mamake mzazi😅Mwezi wa kwanza tarehe 10 mwaka huu Nilinunua Gari ndogo lakini kwa mgongo wa kaka yangu mmiliki nimemuandikisha yeye a kafanya kama amenipa hiv kwa mashart fulani
Okey! Sasa Watoto wako unawafundisha wajamiiane kwa mfumo kupata utelezi na kupita hivi? Wa kike unao?Utajuaje na mimi pia nilinaswa na hizi kampeni mkuu baada ya kulinganisha ushauri na uhalisia nikabdil mawazo nisioe mkuu? Kwa sababu kma watoto ninao na nina ishi nao , na hakuna kitu nakosa ukiweka na kupata utelezi ya nini niangaike na ndoa tena
So what?Mwezi wa kwanza tarehe 10 mwaka huu Nilinunua Gari ndogo lakini kwa mgongo wa kaka yangu mmiliki nimemuandikisha yeye a kafanya kama amenipa hiv kwa mashart fulani
Hakuna mwanamke mbaya. Uzuri unakuwa kwenye perception ya mtu. Ndio maana mzuri kwako hawi mzuri kwangu.Mkuu mwanamke mbaya wa nini sasa ?
Akinunua kwa pesa zake Sina shida nayeNa mkeo kanunua kiwanja kamwandika mamake mzazi[emoji28]
Nimeacha kutiana baada ya kusoma hili andiko 1. Wakorintho 6:9PIti hapo.. kama umeamua kuto kuoa acha kutiana.. ndio unakuwa ume fit na andiko unalo lipogani
Kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na Bwana, na kama alivyoitwa na Mungu. ( Wewe unakataa ndoa una hakika na wito wako kama huna wito wa kuoa au unao ) ? Au unapinga ndoa kisa kuona changamoto ?
Sasa, kuhusu mabikira na waseja, sina amri kutoka kwa Bwana; lakini natoa maoni yangu mimi ambaye kwa huruma yake Bwana nastahili kuaminiwa.
Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.
Kutokana na mambo ya hapa na pale ikitokea shida Mali inabaki safeSo what?
Hahahaa nazungumzia uchumba huohuo kama wa Isaka na Rebeka mkuuKwenye Biblia mchumba ni binti ambaye hamjaingiliana Ki mwili, kwanza uliewe hili.
Usisome Biblia kama mashairi ya Shabaan Robert.
Yusuph/Joseph/Joseph alikuwa ni mchumba wa bikira Maria aliyeja kumzaa Yesu.
Elewa vizuri anapozungumziwa mchumba katika Biblia, siyo huu uchumba wenu wa beach Kidimbwi au kama wa Mmakonde na Kajala, hao ni mafuska Wawili tu wanaovalishana Pete za Kidunia.
Pole sana umepita kwenye jamii ya hovyo ambayo imekuwa mfano mbaya hadi imekukatisha tamaa ya kuoa. Mwisho wa siku utakuja kuolewa wewe sasa( ashakum si matusi) mashoga wengi ukiwauliza walianzaje ushoga huwa wana sababu kabisa konki. Moja wapo ni kama hizo zako. Na kiukweli hata wewe una sababu konki za kutooa kutokana na kwamba hapo ulipokulia hujaona faida ya ndoa.[emoji2][emoji3] Mkuu me sijaoa, na wala sijawahi kupita kwenye ndoa,,, tena bado kijana mdogo sana ila nilichoandika nina-experience nacho kutoka kwa kaya nyingi tu.
Tumia maneno mazuri Yenye busara kidogo kumtazamia mwenzio kuwa shoga ni kosa kubwa SanaPole sana umepita kwenye jamii ya hovyo ambayo imekuwa mfano mbaya hadi imekukatisha tamaa ya kuoa. Mwisho wa siku utakuja kuolewa wewe sasa( ashakum si matusi) mashoga wengi ukiwauliza walianzaje ushoga huwa wana sababu kabisa konki. Moja wapo ni kama hizo zako. Na kiukweli hata wewe una sababu konki za kutooa kutokana na kwamba hapo ulipokulia hujaona faida ya ndoa.
Gari ni Mali? una shida kwenye ubongo wako.Kutokana na mambo ya hapa na pale ikitokea shida Mali inabaki safe
Kuwa against something doesn't mean you are pro-something else..Unapinga ndoa then unapromote nini? Ushoga au unapinga ndoa na huna suluhu yake?
Kweli ndoa sio kwa kila mtu lakini usije na mabango yako hapa kupinga kusudi la Mungu, unataka tuwe na kizazi gani kisicho na wazazi wote wa kuwalea?
Ukiwa na maana ipi?Mwezi wa kwanza tarehe 10 mwaka huu Nilinunua Gari ndogo lakini kwa mgongo wa kaka yangu mmiliki nimemuandikisha yeye a kafanya kama amenipa hiv kwa mashart fulani
Sio wote walio oa wanachepuka, wapo wasio chepukaNimeacha kutiana baada ya kusoma hili andiko 1. Wakorintho 6:9
9 Je, hamjui kwamba wasio na haki hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msidanganyike, waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wapotoshaji;
Tuje kwenu mliooa sasa. Unafikiri ndoa ya mwanandoa anayechepuka ina baraka zozote kwa Mungu?
WAEBRANIA 13:4 Ndoa iheshimiwe na watu wote, na wenye ndoa wawe waaminifu kwa wenzi wao ; maana Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati.
Ikiwa mwanandoa anachepuka hiyo ndoa ni batili kwa Mungu
Kwel mkuu ila kubali kataa ndoa nying zimekaa kimchongo hasa hzi za mijinMie naongelea zinazofungwA mkuu
Naona kila mtu bunafsi ana wakati wake wa mwishoNdio tupo nyakati za mwisho, sijui umeelewaje hii statement