Ahaa, kumbe wewe una matatizo[emoji23][emoji23][emoji23] anyway sawa.Mwanamke kupenda pesa ya mumewe hilo haliepukiki so hata akiwa na zake lazima atumie zako.hapo pakuletewa na kutumia kama unaona anafaidi na we we kuwa mwanamke usikandamizwe.ndomama kizazi cha sasa kimejaa mashoga kisa kukwepa majukumu.
Kwamba kazi za nyumbani Ni zipi ambazo asipokuwepo mwanamke mimi siwezi kuzifanya mkuu? Kuosha vyombo? Kupika? Kufua? [emoji23][emoji23][emoji23] Ila hapo tuongee ukweli bn hizi kazi mwanaume anaweza kuzifanya mwenyewe bila mwanamke ila sisi huamua kuoa kwaajili tu ya Upendo tu. Kataa.Upo ndiyo kwa sababu wanaume hadi leo hamtaki kusaidia wake zenu kazi za nyumbani ilihali mnataka wao wawasaidie kutafuta pesa! Na ndiyo maana hela ya mwanamke ni yake tu!
Upendo wa kweli ulipotea baada ya mwanamke kuijua pesa, Wanaume baada ya kugundua kuwa wanawake ni watu wenye tamaa wameshagundua hamna haja ya kuwa waaminifu tena Ni hits and run.Kati ya wanaume kusaliti wake zao na wanawake kupenda pesa kipi kilianza? Ukishajibu utajua nani ndiyo alianza mapenzi ya uongo kati ya mwanaume na mwanamke!
Sasa mtu anayeingia kwenye ndoa na hivyo vigezo hafai, coz hatuingii kwenye ndoa ili tufanyiwe...tunaingia ili kutengeneza familia. Kwenye ndoa mtu haendi kupumzika, in fact haya maisha hakuna kupumzika, you only rest when you're six feet under.Si kama ninyi tu mnavyosema "bora nioe tu nimechoka kupika kuosha vyombo kufua na kusafisha ghetto"! Sasa kuna tofauti gani hapo?
Mwanaume anaeoa kwa akili hizo azingatiwe kuwa hajielewi, hizo shughuli ni ndogo sana kibinadamu na ni za kawaida.Si kama ninyi tu mnavyosema "bora nioe tu nimechoka kupika kuosha vyombo kufua na kusafisha ghetto"! Sasa kuna tofauti gani hapo?
Sister Karma any historical evidence on either of your claims hapo juuKati ya wanaume kusaliti wake zao na wanawake kupenda pesa kipi kilianza? Ukishajibu utajua nani ndiyo alianza mapenzi ya uongo kati ya mwanaume na mwanamke!
Hatutaki watusaidie ila ni support ya political agenda ya equalityUpo ndiyo kwa sababu wanaume hadi leo hamtaki kusaidia wake zenu kazi za nyumbani ilihali mnataka wao wawasaidie kutafuta pesa! Na ndiyo maana hela ya mwanamke ni yake tu!
Haya naanza na Eva kwa Adam, Eva alishawishiwa kwa tunda akamponza adamu tuchukulie lile tunda hela alafu nyoka ni sponsor.Kati ya wanaume kusaliti wake zao na wanawake kupenda pesa kipi kilianza? Ukishajibu utajua nani ndiyo alianza mapenzi ya uongo kati ya mwanaume na mwanamke!
[emoji23][emoji23][emoji23]ndoa Ni kiapo sio makubaliano, kuoa au kuolewa ndo makubaliano, haya Sadaka ni nini?Ndoa sio makubaliano ndugu , ndoa ni SADAKA na kutokulifahamu hili ndio maana watu ni mwendo wa divorce tuu.
Sadaka ni Ibada kwa Mungu wako ambaye aliagiza amri kuu aliyotupa iwe UPENDO.[emoji23][emoji23][emoji23]ndoa Ni kiapo sio makubaliano, kuoa au kuolewa ndo makubaliano, haya Sadaka ni nini?
Naogopa kusema😂Kati ya wanaume kusaliti wake zao na wanawake kupenda pesa ni kipi kilianza? Ukishajibu hilo utajua nani alianza mapenzi ya uongo kati ya mwanaume na mwanamke!