Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mwanamke kupenda pesa ya mumewe hilo haliepukiki so hata akiwa na zake lazima atumie zako.hapo pakuletewa na kutumia kama unaona anafaidi na we we kuwa mwanamke usikandamizwe.ndomama kizazi cha sasa kimejaa mashoga kisa kukwepa majukumu.
Ahaa, kumbe wewe una matatizo[emoji23][emoji23][emoji23] anyway sawa.
 
Ndoa ni kwa ajili ya wanaume wenye akili tu

Cc Habun

Ni kweli na wanaume wenye akili wanaoa wanawake wenye akili pia.

Mfano mtoto wa kimei kamuoa mtoto wa mwenye sheli za victoria.

Mo dewji ameoa kwa wenye sumaria group.

Jay z kamuoa beyonce.

Sio mwanamke anatoka familia ya vilaza ategemee kuolewa na familia ya kina dewji kisa ni mrembo na ana papuchi mnato
 
Upo ndiyo kwa sababu wanaume hadi leo hamtaki kusaidia wake zenu kazi za nyumbani ilihali mnataka wao wawasaidie kutafuta pesa! Na ndiyo maana hela ya mwanamke ni yake tu!
Kwamba kazi za nyumbani Ni zipi ambazo asipokuwepo mwanamke mimi siwezi kuzifanya mkuu? Kuosha vyombo? Kupika? Kufua? [emoji23][emoji23][emoji23] Ila hapo tuongee ukweli bn hizi kazi mwanaume anaweza kuzifanya mwenyewe bila mwanamke ila sisi huamua kuoa kwaajili tu ya Upendo tu. Kataa.
 
Kati ya wanaume kusaliti wake zao na wanawake kupenda pesa kipi kilianza? Ukishajibu utajua nani ndiyo alianza mapenzi ya uongo kati ya mwanaume na mwanamke!
Upendo wa kweli ulipotea baada ya mwanamke kuijua pesa, Wanaume baada ya kugundua kuwa wanawake ni watu wenye tamaa wameshagundua hamna haja ya kuwa waaminifu tena Ni hits and run.
 
Si kama ninyi tu mnavyosema "bora nioe tu nimechoka kupika kuosha vyombo kufua na kusafisha ghetto"! Sasa kuna tofauti gani hapo?
Sasa mtu anayeingia kwenye ndoa na hivyo vigezo hafai, coz hatuingii kwenye ndoa ili tufanyiwe...tunaingia ili kutengeneza familia. Kwenye ndoa mtu haendi kupumzika, in fact haya maisha hakuna kupumzika, you only rest when you're six feet under.
 
Si kama ninyi tu mnavyosema "bora nioe tu nimechoka kupika kuosha vyombo kufua na kusafisha ghetto"! Sasa kuna tofauti gani hapo?
Mwanaume anaeoa kwa akili hizo azingatiwe kuwa hajielewi, hizo shughuli ni ndogo sana kibinadamu na ni za kawaida.
 
Kati ya wanaume kusaliti wake zao na wanawake kupenda pesa kipi kilianza? Ukishajibu utajua nani ndiyo alianza mapenzi ya uongo kati ya mwanaume na mwanamke!
Haya naanza na Eva kwa Adam, Eva alishawishiwa kwa tunda akamponza adamu tuchukulie lile tunda hela alafu nyoka ni sponsor.
 
Ndoa sio makubaliano ndugu , ndoa ni SADAKA na kutokulifahamu hili ndio maana watu ni mwendo wa divorce tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]ndoa Ni kiapo sio makubaliano, kuoa au kuolewa ndo makubaliano, haya Sadaka ni nini?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndoa Ni kiapo sio makubaliano, kuoa au kuolewa ndo makubaliano, haya Sadaka ni nini?
Sadaka ni Ibada kwa Mungu wako ambaye aliagiza amri kuu aliyotupa iwe UPENDO.

Unapoingia kwenye ndoa ni sahihi unaingia kwenye kiapo ambacho kwa imani ya Kikristo tunasema mpaka pale kifo kitakapo tutenganisha lakini nje ya hapo iwe taabu au raha mmeapa mbele za Mungu mtakuwa wote.

Unapoona unaanza kuingia katika small details katika maisha na kuanza kumkosoa mme/mke wako teyari upendo unakuwa umeanza kuota mbawa hapo, ile ibada haipo kwenu tena.
 
Kati ya wanaume kusaliti wake zao na wanawake kupenda pesa ni kipi kilianza? Ukishajibu hilo utajua nani alianza mapenzi ya uongo kati ya mwanaume na mwanamke!
Naogopa kusema😂
 
Yan wanaume sku izi ndo mmegeuka watoa lawama, ttzo letu tunataka watu wasio level au hadhi yetu af pia Wanaume tunalazimisha tuwe na wanawake wenye tabia km za Mama zetu wakat ss wenyewe wanaume atuna tabia km za baba zetu.

Dunia imebadilika sana na mapenzi pia yamebadilika, Sku izi mwanamke akitaka kuolewa anangalia miaka 10 mbele (future) anaangalia maisha yake naya watoto wake nazan sio kosa ni suala la wanaume kulitambua ilo na kutafta pesa ili kuipa ndoa yako uhai.
 
Wanawake wana fursa chake za kiuchumi.

Nasema hv tuendeleeni kuwatunza

Ila ninachowaasa waache kuwa na wivu uliopitiliza,wakubal kutuzwa ila watuache tuonje onje nje pia,mbona mama zetu hawakuwa na wivu wa hivyo
 
Wewe uko dunia ipi mkuu Mapenzi ni Biashara, toka enzi na enzi sema sasa hivi wame update toka zamani ilikuwa ukioa wazazi wa binti wanataka mahari na wakujue una nini wewe ni mwanaume wa gani unamuoa binti yao je una uwezo wa Kumhudumia?
Mahusiano ni Maslahi!
 
Back
Top Bottom