Je watoto wa ndoa kila siku wanaona baba ananyanyaswa au mama anapigwa kila sku na baba je?
Kuna mda inabidi uweke utu unakuta anaangaika na familia yake kachakaa ila wife wake anakupa inabdi mda mwingne uvunge mkuu.Yeye anahuruma na wake za watu?
Jiandalie mwisho mwemaHakuna kitu kisicho na mwisho mkuu
Ivi unafahamu ndoa zaman zililindwa na mfumo dume na hata baadhi ya jamii walikeketa mwanamke dhumuni ni kulinda ndoa tu .Hao ndo vinara wa kampeni kataa ndoa maana wanajua mwanamke ni dhaifu hivyo anastahili kipigo tu daily
Umeongea kitu cha maana sana mkuuHER PAST BRO,
Huwa tunatizama historia yake bro
narudi wanaume huwa tunajali historia ya mwanamke hatujali kesho , hatujali atakuja kuwa tajir au nin!
wanawake huwa hawajali ulidate na nani body count yako ipoje, they don't give a damn about your excellent track record , your past behaviour mean nothing to her THEY ONLY BASE ON CURRENT ENERGY.
Her past will always come back and haunt you.
Mkuu sio kwa ubaya sisi kama wanaume , inabdi haya mambo tuyakemee ili ndoa iwe na faida kwetu , kuna mda unamtishia kumnyima mtoto kile kitu anapenda ili abadili tabia aweze kukipata , naamni hii kamapeni ya kataa ndoa kuna wadada wapo huku wamejifunza .Jiandalie mwisho mwema
Ivi unafahamu ndoa zaman zililindwa na mfumo dume na hata baadhi ya jamii walikeketa mwanamke dhumuni ni kulinda ndoa tu .
Mkuu sio kwa ubaya sisi kama wanaume , inabdi haya mambo tuyakemee ili ndoa iwe na faida kwetu , kuna mda unamtishia kumnyima mtoto kile kitu anapenda ili abadili tabia aweze kukipata , naamni hii kamapeni ya kataa ndoa kuna wadada wapo huku wamejifunza .
Karne ya 15 hapakuwa na wanawake wasio faa? Mtafute mwenye tabia za mama yako katika karne ya 21, tabia nzuri ni nzuri na mbaya ni mbaya haijalishi karne. Achana na matako na uslay queen. Baba yako siyo fala kuzaa na mama yako. Kama umemkosa usioe ila hiyo haimaanishi kuwa hakuna wanawake wenye maadili. Ni wewe tu umemkosa.Mama yangu ni wa karne ya 15 sasa tupo ya 21 hawa watu watakuaje na tabia zinazoendana ?
Ni kwel kabsa hauwezi kuta nchi kama Afghanistan wanaume wanakataa ndoa , tamaduni za kigeni zinatufanya kuona ndoa nizakitapeli , hakuna mfumo dume kandamizi wanaweke wakipndi cha mfumo dume walikuwa wanaheshimiwa na ilikua ni ngumu kuona ovyo sehemu zake za siri ata wanaume walikuwa na nguvu za kiume , sasa ivi una kuta wadad wanaogelea na vichupi kwenye swimming na wakaka wanawachukua picha , hawana tatzo kabsa ,.Ule mfumo mzuri haukuzalisha wakataa ndoa,sijawahi kuukataa mfumo ule ndo maana hadi wa leo nawachukia sana mashoga(gays)maana wanaua kizazi cha kiume. Ila ule mfumo ulikua kandamizi sana na bado upo kwa baadhi ya jamii
Kwa maana hiyo basi watu waoe bikra au unemaanisha nniHii kampeni ni sababu wengi wanaoa kwa kukurupuka bila kuchunguza past ya mwanamke wake. Unakuta mtu kapenda sura na tako huyoo anaoa mwisho wa siku anakuja kugundia mkewe ni muuza mbususu mstaafuu na bado mara moja moja anakumbushia enzi zake. Yule said aliyemuua mkewe,walikutana baa wale na wala hawakuchungazana jamaa akauvaa mkenge
Mkuu siwezi oa mwanamke mmbaya hana umbo la kike ikiwemo na tako kisa et anatabia nzuri nafikir kwa zama hizo maza alikua kisu na shepu matata na tabia njema ndo maana dingi akavuta, ili nioe awe na tako sura na tabia vyote kwa pamoja kinyume na apo nakataa ndoa tu.Karne ya 15 hapakuwa na wanawake wasio faa? Mtafute mwenye tabia za mama yako katika karne ya 21, tabia nzuri ni nzuri na mbaya ni mbaua haijalishi karne. Achana na matako na uslay queen. Baba yako siyo fala kuzaa na mama yako.
Kwa maana hiyo basi watu waoe bikra au unemaanisha nni
Kwa maana hiyo basi watu waoe bikra au unemaanisha nni
Kwa sababu umeongea vizuri mno ya nini niende mbali kutapeliwa huko [emoji2][emoji2][emoji2]Hata bikra wana matukio makubwa mno,cha msingi ukioa kubaliana na tabia ya mweza wako sio unaoa unakuta yale usiyoyapenda na kuanza kulalamika
Upo sawa, alikuwa pisi kali kwa baba yako, kwa % kubwa Wanawake wakiwa watupu ni warembo na wanavutia kuwaingilia kwa rijali yoyote, ni suala la ubongo wako unavyotafsiri maana ya kuvutia.Mkuu siwezi oa mwanamke mmbaya hana umbo la kike ikiwemo na tako kisa et anatabia nzuri nafikir kwa zama hizo maza alikua kisu na shepu matata na tabia njema ndo maana dingi akavuta, ili nioe awe na tako sura na tabia vyote kwa pamoja kinyume na apo nakataa ndoa tu.
Ndio utetezi wenu huo wa siku zote. Ni personal attacks, dhiaka na kejeri tu ila hoja mnazirukaWakataa ndoa ni waeneza uchoko.
Kwa Tz wapo bagamoyo
Tabia ni kigezo common kwa wanaume wote wenye akili wanaohitaji kuwa na familia yenye mama na mke. Vingine vyote vinategemeana na ubongo wa mwanaume husika unavyotafsiri neno uzuri/urembo.Wanawake wabaya wa sura na shepu wanajificha kwenye kivuli cha tabia njema ila wapate ndoa , kijana shtuka huu ni unafiki wa hali ya juu .
Ndio utetezi wenu huo. Sasa hapa kati ya anaekataa ndoa na wewe unaetetea nani anaonekana ovyo?Kataa ndoa, towa tako, kutowa tako ndio akili.