Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hao ndo vinara wa kampeni kataa ndoa maana wanajua mwanamke ni dhaifu hivyo anastahili kipigo tu daily
Je watoto wa ndoa kila siku wanaona baba ananyanyaswa au mama anapigwa kila sku na baba je?
 
Hao ndo vinara wa kampeni kataa ndoa maana wanajua mwanamke ni dhaifu hivyo anastahili kipigo tu daily
Ivi unafahamu ndoa zaman zililindwa na mfumo dume na hata baadhi ya jamii walikeketa mwanamke dhumuni ni kulinda ndoa tu .
 
HER PAST BRO,
Huwa tunatizama historia yake bro
narudi wanaume huwa tunajali historia ya mwanamke hatujali kesho , hatujali atakuja kuwa tajir au nin!

wanawake huwa hawajali ulidate na nani body count yako ipoje, they don't give a damn about your excellent track record , your past behaviour mean nothing to her THEY ONLY BASE ON CURRENT ENERGY.

Her past will always come back and haunt you.
Umeongea kitu cha maana sana mkuu
 
Jiandalie mwisho mwema
Mkuu sio kwa ubaya sisi kama wanaume , inabdi haya mambo tuyakemee ili ndoa iwe na faida kwetu , kuna mda unamtishia kumnyima mtoto kile kitu anapenda ili abadili tabia aweze kukipata , naamni hii kamapeni ya kataa ndoa kuna wadada wapo huku wamejifunza .
 
Ule mfumo mzuri haukuzalisha wakataa ndoa,sijawahi kuukataa mfumo ule ndo maana hadi wa leo nawachukia sana mashoga(gays)maana wanaua kizazi cha kiume. Ila ule mfumo ulikua kandamizi sana na bado upo kwa baadhi ya jamii
Ivi unafahamu ndoa zaman zililindwa na mfumo dume na hata baadhi ya jamii walikeketa mwanamke dhumuni ni kulinda ndoa tu .
 
Hii kampeni ni sababu wengi wanaoa kwa kukurupuka bila kuchunguza past ya mwanamke wake. Unakuta mtu kapenda sura na tako huyoo anaoa mwisho wa siku anakuja kugundia mkewe ni muuza mbususu mstaafuu na bado mara moja moja anakumbushia enzi zake. Yule said aliyemuua mkewe,walikutana baa wale na wala hawakuchungazana jamaa akauvaa mkenge
Mkuu sio kwa ubaya sisi kama wanaume , inabdi haya mambo tuyakemee ili ndoa iwe na faida kwetu , kuna mda unamtishia kumnyima mtoto kile kitu anapenda ili abadili tabia aweze kukipata , naamni hii kamapeni ya kataa ndoa kuna wadada wapo huku wamejifunza .
 
Mama yangu ni wa karne ya 15 sasa tupo ya 21 hawa watu watakuaje na tabia zinazoendana ?
Karne ya 15 hapakuwa na wanawake wasio faa? Mtafute mwenye tabia za mama yako katika karne ya 21, tabia nzuri ni nzuri na mbaya ni mbaya haijalishi karne. Achana na matako na uslay queen. Baba yako siyo fala kuzaa na mama yako. Kama umemkosa usioe ila hiyo haimaanishi kuwa hakuna wanawake wenye maadili. Ni wewe tu umemkosa.
 
Ule mfumo mzuri haukuzalisha wakataa ndoa,sijawahi kuukataa mfumo ule ndo maana hadi wa leo nawachukia sana mashoga(gays)maana wanaua kizazi cha kiume. Ila ule mfumo ulikua kandamizi sana na bado upo kwa baadhi ya jamii
Ni kwel kabsa hauwezi kuta nchi kama Afghanistan wanaume wanakataa ndoa , tamaduni za kigeni zinatufanya kuona ndoa nizakitapeli , hakuna mfumo dume kandamizi wanaweke wakipndi cha mfumo dume walikuwa wanaheshimiwa na ilikua ni ngumu kuona ovyo sehemu zake za siri ata wanaume walikuwa na nguvu za kiume , sasa ivi una kuta wadad wanaogelea na vichupi kwenye swimming na wakaka wanawachukua picha , hawana tatzo kabsa ,.
 
Hii kampeni ni sababu wengi wanaoa kwa kukurupuka bila kuchunguza past ya mwanamke wake. Unakuta mtu kapenda sura na tako huyoo anaoa mwisho wa siku anakuja kugundia mkewe ni muuza mbususu mstaafuu na bado mara moja moja anakumbushia enzi zake. Yule said aliyemuua mkewe,walikutana baa wale na wala hawakuchungazana jamaa akauvaa mkenge
Kwa maana hiyo basi watu waoe bikra au unemaanisha nni
 
Karne ya 15 hapakuwa na wanawake wasio faa? Mtafute mwenye tabia za mama yako katika karne ya 21, tabia nzuri ni nzuri na mbaya ni mbaua haijalishi karne. Achana na matako na uslay queen. Baba yako siyo fala kuzaa na mama yako.
Mkuu siwezi oa mwanamke mmbaya hana umbo la kike ikiwemo na tako kisa et anatabia nzuri nafikir kwa zama hizo maza alikua kisu na shepu matata na tabia njema ndo maana dingi akavuta, ili nioe awe na tako sura na tabia vyote kwa pamoja kinyume na apo nakataa ndoa tu.
 
Wanawake wabaya wa sura na shepu wanajificha kwenye kivuli cha tabia njema ila wapate ndoa , kijana shtuka huu ni unafiki wa hali ya juu .
 
Hata bikra wana matukio makubwa mno,cha msingi ukioa kubaliana na tabia ya mweza wako sio unaoa unakuta yale usiyoyapenda na kuanza kulalamika
Kwa sababu umeongea vizuri mno ya nini niende mbali kutapeliwa huko [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mkuu siwezi oa mwanamke mmbaya hana umbo la kike ikiwemo na tako kisa et anatabia nzuri nafikir kwa zama hizo maza alikua kisu na shepu matata na tabia njema ndo maana dingi akavuta, ili nioe awe na tako sura na tabia vyote kwa pamoja kinyume na apo nakataa ndoa tu.
Upo sawa, alikuwa pisi kali kwa baba yako, kwa % kubwa Wanawake wakiwa watupu ni warembo na wanavutia kuwaingilia kwa rijali yoyote, ni suala la ubongo wako unavyotafsiri maana ya kuvutia.

Narudia Baba yako kama alikulea ukiwa na mama yako, mtazame mama yako uoe mwenye tabia zinazofanana naye sababu baba yako hakuwa Fala. Kinyume na hapo upo sahihi usipooa.
 
Hili jambo tunatakiwa kulifikiria kwa makini sana, Maudhui ya namna hii yakiwa Mengi ni Rahisi sana Jamii kubadilika Mtazamo.

Sikiliza mwenyewe alichoimba Ndugu Stamina.

Wanawake wabaya wa sura na shepu wanajificha kwenye kivuli cha tabia njema ila wapate ndoa , kijana shtuka huu ni unafiki wa hali ya juu .
Tabia ni kigezo common kwa wanaume wote wenye akili wanaohitaji kuwa na familia yenye mama na mke. Vingine vyote vinategemeana na ubongo wa mwanaume husika unavyotafsiri neno uzuri/urembo.

Mwanamke mbaya ni yupi? Hili ni suala very personal. Wakati wewe tako kubwa ndo uzuri mwingine sauti nyororo ndo uzuri na kwake sauti nzuri inakamilisha uzuri unaotazamwa nje.
 
Back
Top Bottom