Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hujamwelewa mtoa mada, shida sio mwanamke kuolewa na mtu mwenye mali nyingi, shida ni kuwa wanawake wengi wanaolewa kwasababu ya pesa ya mwanaume tu, na hawana hisia za kimapenzi na mwanaume aliolewa nae, sasa utakuta mdada akikuona anatamani atapike, jinsi anavyoona una sura mbaya, ila kwasababu una hela nyingi basi ataigiza kuwa anakupenda ili apate hela zako, yani wanaingia ndoani sababu ya pesa ya mwanaume tu.

Sidhani kama wewe utafurahi ukigundua mke ulie naye yuko na wewe sababu ya pesa zako tu, na hana hisia za kimapenzi na wewe JUAN MANUEL
 

Hujamwelewa mtoa mada, shida sio Jukumu la sisi kuwahudumia wanawake na kuwapa hela, Sisi wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda.

Shida ni kuwa wanawake wengi wanaolewa kwasababu tu ya pesa Za mwanaume tu, ilhali hawana hisia za kimapenzi na huyo mwanaume wanayeolewa naye , Kwa mfano utakuta mdada Hajavutiwa na mimi kimapenzi tena
ananiona nina sura mbaya, ila Kwa vile kaona nina vihela, ataigiza kuwa ananipenda ili tu apate hela zangu Karma
 
Kwahio mkuu tuchukulie mumeo alikuwa na fedha Ila baadae akafilisika au kufariki alafu wewe ndo hivyo majukumu yake huyawezi, yaani ulikuwa golikipa na Sasa umeachiwa watoto... Unafanyaje kuendesha gurudumu au ndo utaanza kudanga? Maana majukumu yote yatakuangalia wewe tu mwanamke?
 
Sema na we jamaa jifunze kufupisha.

Ndoa inamnufaisha zaidi mwanamke kuliko mwanaume. Kwa kifupi hakuna faida ya ndoa kwa mwanaume.
Mwanamke itampa unafuu wa maisha lakini mwanaume itamuongezea majukumu zaidi.
Mimi ni redpill guy, ila personally naona Ndoa ni nzuri na ina faida kwa sisi wanaume, Just imagine kuzeeka pamoja mkipendana We na mkeo huku mkisaidiana, na kuleana, kama ukimpata mke sahihi, ili upate uyo mke sahihi ni vitu viwili, bahati na Mungu aingilie kati, bila hivyo Mmh Vishu Mtata
 
Haha mkuu, wenzako hio kusaidiana ndo hawaitaki wanataka uwe na hela Hadi mwisho
 
Faida gani mwanaume unaipata mkuu??
Achana na wale wazee wa kipindi hicho mkuu. Kwasasa faida ya ndoa ipo zaidi kwa mwanamke.
 
Hata kama mke akisuguliwa wewe unashwa na nini???!!!
Wewe tusubiri uoe. Tena utaishi nayo bila kuwa mbalimbali. Tuone kama haitasuguliwa na manjemba.
 
Usikataz wanaume kuoa mzee sabab hizo za mkeo kunyandulia kawaida tu
Mi sijao ila nawaonaga wake zenu wanavyonyanduliwa mtaani huku.
Na siamini kama kugawa utamu ni kawaida ..

tena mda mwingine hata na ndugu zako.
Yaani kumbe mna "share" mbunye na ndugu zenu..!!!
Hili sio kawaida aiseee
Oeni mambo mengine mtayakuta tu tena yanasovika na maisha mengine yanaendlea tu
OENI
Unajua kabisa kile chumba kina Simba halafu unajipeleka..!!!

Mi nawaangalia halafu nacheka ""Hii bagoshaaaaa""

#YNWA
 
Mimi nafikiri wanaoishi paa moja afadhali mabaharia wanakula Kwa uoga Ila hao wanaoishi wilaya au mikoa tofauti. Mabaharia wanajilia kama wao ndio wameoa
 
Kafie mbali
 
Kuna mmoja hapa anakomaa nimsugue alipata nafasi akaja Dar, ni vile ninamhurumia tu mumewe huko Moshi... Ila wake wa watu wanagawa sana mbunye aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…