Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Nawaambia kama upo kwa Mungu unatumikia Mungu na unaongozwa na Mungu

Ndoa ni mpango wa Mungu na inabaraka kubwa sana kama mwanzilishi akiwa Mungu

Vijana tusioe kwasababu ya tamaa ,tako, sura , sijui rangi
Tuoe kwasababu Mungu katueleza kuhusu mwenza.
Ndoa ni nzuri sana sana
Kama mwanzilishi akiwa ni Mungu
Muache Mungu aanzishe ndoa yako
 
Unaoa hata hujui wazazi wanaishi wapi
Siku hizi vijana wanatuona wazee hatufai kwa ushauri
Wengi wanaweka vimada miaka kibao na wengine mpaka kuzaa nao na wazazi hawana habari

Baadae ndio anaamua kuoa sasa unafikiri sio laana hiyo
Yale maadili ya kutafuta mchumba Hakuna tena
Ni kula na kudokoa tu kila sehemu mradi siku ziende

Mbona tuko na ndoa zetu miaka kibao mpaka tumefanana?
Uwakataze wasioe kwa sababu ya matatizo yako eti
 
Yaliyonikuta baada ya kuoa najuta hapa nilipo nipo dawati la jinsia na nimenyang'anywa mali zangu zote
Wahenga husema Tafuta wa kufanana naye kitabia, Je ulitumia muda gani kumfahamu tabia kabla ya kuamua kuishi naye katika ndoa?, Je ulipata muda wa kuifahamu familia yake pia?
---
Bado kuna maswali mengi juu ya hili swala lako.
 
Nilijifunza kitu toka kwa Kaka yangu, yeye ilikuwa kila akiitwa Kwenye usuluhishi kule Ofisi ya Kata, alikuwa anawaambia anampenda sana Mke wake hivyo wanaambiwa warudi Nyumbani wakaishi kwa upendo. Sasa wakifika Home tu undava unaendelea kama kawaida. Alikuwa anafanya hivi kwa lengo la kuilinda Nyumba yake na Biashara alizozipata baada ya kuoa, maana alijua wakipewa Barua ya kwenda Mahakamani, Nyumba yake itauzwa ili wagawane mali na mkewe ambae kiukweli wala hawapendani tena.

Mwanaume Usijekuhangaika kwenda mahakamani kwenye kesi dhidi ya Mkeo kwa maana hutashinda. Siku zote kukiwa na kesi ya Mke na Mume, anaeangaliwa kwa jicho la huruma ni Mwanamke na sio wewe
 
Wakuu habarini za sasa ...
Nasisitiza vijana musioe wanawake bora mkaishi wenyewe miaka yote ...cha msingi tafuta pesa ...mtafute Mungu...tena na tena tafuta pesa ....
Yaliyonikuta baada ya kuoa najuta hapa nilipo nipo dawati la jinsia na nimenyang'anywa mali zangu zote nilizotafuta kwa jasho langu ...narudia tena vijana musioe
Ww sema umekutana na balaa.... waache wenzio waoe, wafurai, waongeze miaka ya kuish
 
Wakuu habarini za sasa ...
Nasisitiza vijana musioe wanawake bora mkaishi wenyewe miaka yote ...cha msingi tafuta pesa ...mtafute Mungu...tena na tena tafuta pesa ....
Yaliyonikuta baada ya kuoa najuta hapa nilipo nipo dawati la jinsia na nimenyang'anywa mali zangu zote nilizotafuta kwa jasho langu ...narudia tena vijana musioe
Wewe ndo unajua Leo..???....
 
Mkiambiwa mnaziba masikio..

Kusikia kwa kenge.....

Haya ushatoka damu sasa, endeleeni kudumisha mila na desturi za mababu.
 
Wakuu habarini za sasa ...
Nasisitiza vijana musioe wanawake bora mkaishi wenyewe miaka yote ...cha msingi tafuta pesa ...mtafute Mungu...tena na tena tafuta pesa ....
Yaliyonikuta baada ya kuoa najuta hapa nilipo nipo dawati la jinsia na nimenyang'anywa mali zangu zote nilizotafuta kwa jasho langu ...narudia tena vijana musioe
Kwaiyo mkuu ndoa imekusababishia umepolwa Mali zako zote?
 
Nilijifunza kitu toka kwa Kaka yangu, yeye ilikuwa kila akiitwa Kwenye usuruhishi kule Ofisi ya Kata, alikuwa anawaambia anampenda sana Mke wake hivyo wanaambiwa warudi Nyumbani wakaishi kwa upendo. Sasa wakifika Home tu undava unaendelea kama kawaida. Alikuwa anafanya hivi kwa lengo la kuilinda Nyumba yake na Biashara alizozipata baada ya kuoa, maana alijua wakipewa Barua ya kwenda Mahakamani, Nyumba yake itauzwa ili wagawane mali na mkewe ambae kiukweli wala hawapendani tena.

Mwanaume Usijekuhangaika kwenda mahakamani kwenye kesi dhidi ya Mkeo kwa maana hutashinda. Siku zote kukiwa na kesi ya Mke na Mume, anaeangaliwa kwa jicho la huruma ni Mwanamke na sio wewe
Dah, hatari sana.
 
Back
Top Bottom