Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mbaya zaidi ni kua mke akianza kugongwa nje na njemba moja, anakua muaminifu kwa hiyo njemba kuliko wewe mumewe.

Na njemba haitagharamia chochote zaidi ya mkuyenge tu.
 
Shida hapo sio ya Ndoa ni aina ya watu wanaoingia kwenye Ndoa.

Mnaokotana jalalani huko mnakuja na uchafu wenu wa jalalani kwenye ndoa mnategemea nini.

Kimsingi ndoa ina wenyewe wanayoielewa na kuwa tayari kuitumikia. Sasa hao wote uliowaelezea sijaona ambaye yupo tayari kwa ndoa hapo wala kujicommit na ndoa.
 
Me mwenyewe kuna msichana tunapenda sana ananilazimisha sana nimuoe, ni kweli nampenda na nahitaji awe mke ila sasa nikikaa nikafikiria yliyomkuta jamaa yangu mmoja naondoa kabisa hayo mawazo yakuoa.
 
I pray niolewe jamani,

whatever it takes btn mambo ya kutanga tanga leo huyu kesho huyu don't make sense.
Sahv unatamani ndoa ili upate Peace of mind lakini kuna uwezekano ukishaolewa ukatamani sasa upate Tulizo la kihisia hapo sasa ndo mtiani unapoanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestly kizazi cha saiv nawashauri #kataa ndoa si wanawake wala wanaume honestly hamna la maana zaidi ya kutiana umaskini na stress, looking for a way out inshort najutaaaa

Pole sanaa

Let's hope for the best.

#YNWA
 
Exactly angekuwa hataman ndoa angesha move on, yaan ana conflict na nafsi yake na akili yake vinashindana kimoja kinataka ndoa kingine hakitaki tatizo ni nguvu za asili na ndoa ni kitu cha asili

Nina conflict na hela tuu.

#YNWA
 
Shida hapo sio ya Ndoa ni aina ya watu wanaoingia kwenye Ndoa.

Mnaokotana jalalani huko mnakuja na uchafu wenu wa jalalani kwenye ndoa mnategemea nini.

Kimsingi ndoa ina wenyewe wanayoielewa na kuwa tayari kuitumikia. Sasa hao wote uliowaelezea sijaona ambaye yupo tayari kwa ndoa hapo wala kujicommit na ndoa.
Liverpool VPN

ndoa itaendelea kuwepo tu kwa walio tayari nayo. Mliopigwa matukio poleni tumieni wakati vizuri mjiponyeshe vidonda ili muwe tayari kwaajili ya mahusiano mengine mazuri yenye afya ambayo In Sha Allah yatadumu. Sumu mnayosambaza inawaua wenyewe
 
Endelea kubaki hivyo hivyo, ndoa ndio paradiso ya hapa duniani sasa endelea kupinga neno la Mungu. Inaonekana hujui kusoma Biblia
Kwa nini Biblia na sio kitabu kingine cha kiimani?

Kwa nini unadhani Biblia ni Neno la Mungu na si vitabu vingine?

Kwa nini unadhani Andiko lako la kiimani hiyo Biblia, lazima watu wote waifuate?

Je unajuje mleta mada ni mkristo hadi useme "inaonekana hajui kusoma biblia"... ulishawahi kumuona na kuthibitisha dini na imani yake?

Unatumia dini yako kudhani na kufikiri kila mtu yupo sawa na mawazo yako ya Hofu za kidini na kiimani....

Hii ni JF jukwaa huru la mawazo lisilo na mipaka ya kidini na kiimani.. Huwezi kutumia maandiko yako ya kidini Biblia na Quran, Kupinga Hoja za watu kwa vile zipo tofauti na imani yako.....

Vinginevyo na wewe Biblia huijui zaidi ya hofu ulizokaririshwa.
 
Liverpool VPN

ndoa itaendelea kuwepo tu kwa walio tayari nayo. Mliopigwa matukio poleni tumieni wakati vizuri mjiponyeshe vidonda ili muwe tayari kwaajili ya mahusiano mengine mazuri yenye afya ambayo In Sha Allah yatadumu. Sumu mnayosambaza inawaua wenyewe

Trust me Sijawahi kupigwa tukio likanifanya nikatae kuoa.
Kama tukio nilipigwa nikiwa 22 yrs Tena hili sio lile tukio eti NI TUKIOO ni yale mapenzi ya tu ya ujana na balehe za kiujana.

Ila kukataa kuoa nilikuona tu ufala nilivyoyasoma maisha ya ndoa.

Nikiwa chuo nilishawahi kuwa na demu miaka 3 chuo kumbe ni mke wa mtu (nilikuja kugundua last yr), kumuuliza kisa cha usaliti kupitia Mimi eti "Mumewe hamkojozi" yeye ameumbwa yule wa kutoa maji kitandani ila mumewe alikua hayapendi. Yaani hili tu lilimfanya amsaliti mumewe kwangu Tena kwa kunificha.
Bora angeniweka wazi ili niamue Mimi kama naweza kuwa na mke wa mtu "Je tungefumwa?"

In this millenial world GIRLS are hungry for money and Boys are hungry for pussy.

Ndo tukio lenyewe hilo au unaonaje Mkuu 🥴, huna experience yoyote nzuri pole
 
Nani anawashauri muowe kataa ndoa ni uhuni naungana na mr liverpool
 
Back
Top Bottom