Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Ngoja ufike umri fulani, uone atakavyokubadilikia.
aisee kazi kweli kweli, yaani ndo mawazo yako yameishia hapo kufikiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja ufike umri fulani, uone atakavyokubadilikia.
KATAA NDOA, NDOA NI DHAMBI
Unamlaumu mwanamke wakati mwanamme mwenyewe ndiye zwazwa.Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Wewe mwenyewe hujafikia huo umri ila tayari usha feed akili yako negativity za kutosha, hivi haukijui kitu kinachoitwa law of attraction. Unapowaza mambo kijinga jinga yanakuja kujidhihirisha kiuhalisia kupitia matendo yako aidha kwa kujua au kutokujua.Ngoja ufike umri fulani, uone atakavyokubadilikia.
Kuna haja ya kutafakari kama Jamii ni wapi tulipokosea.Hakuna mtu asiyependa jambo la kheri kama kuwa na ndoa na familia yenye furaha, hili jambo ukilitizama kwa mtazamo chanya ni jambo zuri sana.
Tatizo ni sisi watu wenyewe kutokana na changamoto za maisha na mabadiliko katika kila nyanja za ukuaji tumekuwa hatufai tena ku fit katika hili jambo,matendo yetu yanafanya liwe jambo baya na la kujutia sometimes..
Hata ambao kwa sasa wapo ndoani wanapitia changamoto ngumu sana wengi wao.
Asilimia kubwa ya vitu ambavyo mungu alitia baraka ni chanya sana.
Tatizo ni sisi wenyewe...
Hivi ZIWA linawezaje kuwaka moto? 😬😬UFUNUO 21:8
Bali WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Bado sijaona sababu zenye mashiko kukataa kuoaHiyo ni zaman dhama zimebadilika sana nowadays..
Tuliwaona wazungu wajinga na hawajielewi wameweka ndoa za mikataba na wengi hawaoi kumbe lilikuwa swala la muda tu now tunaiga life style yao kwa speed sana.
Itoshe kusema wazungu ni akili kubwa wale watu.
Kwahiyo hao watoto utakao wazaa watalelewa na Bibi yao?get to your senses, muhimu ni Pesa tu
Suala la kuhudumia Mwanamke bado ni Jukumu la Mwanaume.Wamebembelezwa sana hadi wanaona kuwa maisha bila wao hayawezekani. Sasa sisi tuwabembeleze na bills tunalipa mwenyewe, achana na hizo mbaga.
Sahihi kabisa Mkuu, kama Mtoto analelewa Na Mama pekee manake atakuwa anajifunza vitu vingi vya kike. Sasa akiwa Mwanaume ndiyo zile traits za Kike zinaanza kumuandama hivyo kujikuta Ana tabia za kike kike.Jamii yetu ilipofikia ni kwamba tuna hadi viongozi wa umma ambao wanaonekana tu wakilea watoto au mtoto huku baba wa mtoto hajulikani, huko mbele tutegemee kuona viongozi mashoga na mabasha.
Ni Utapeli na ni Ujinga , Ujambazi wa mchana kweupeeLakini bado ndoa ni Jambo la kheri
Kwamba ni dhambi kumuhudumia mwanamke anayelea watoto wako, anatekupa utamu kila siku?Ni Utapeli na ni Ujinga , Ujambazi wa mchana kweupee
Ndoa Ni Parasitic mode of nutrition
ME anaumia, KE ananeemeka
Huo Ni Upumbavu mbwa haruki
Ni wajinga pekee wanaopigwa, werevu kamwe HAWAOI
Nashangazwa na mnaopenda kutumia mahusiano ya watu ambao sio jamaa zenu wala ndugu zenu. Hivi kwenye ukoo wenu wote umekosa ndugu yako hata mmoja ambaye anaweza kuwa role model wako ?
kama shida ni kukojoa tu nawezatia nyeto au nikanunua, no strings attached, hakuna mkataba wala ujinga ujinga wa kubaniwa mapajaanatekupa utamu kila siku?
na huu ujinga umeshamir kwelikweli vijana wamechagua a wayout kwakujikita kuifanya hii kampeni hiyo yote ni kukimbia/kukwepa majukumu hawataki kuumiza kichwa kabisa mwisho wa siku ndomishoga inaongezekaHivi hizi Kampeni zinazoendeshwa za Wanaume kukataa Ndoa zina fadhiriwa na nani na kwa lengo gani?
Imagine Wazee wetu wasinge mwoa Bi Mkubwa wako, leo hii mngekuwa hapo mlipofikia?
Familia ndiyo Msingi wa Jamii bora, ndiyo msingi wa Serikali imara.
Nadhani badala ya kuhimizana kukataa Ndoa, ni vyema kuhimizana kupiga goti kwa Mungu kuomba akujalie kupata mke mwema. Wanasema Mke mwema hutoka kwa Bwana.
Tukiacha haya mambo yakue na kuchipua kuna hatari ya kuwa na jamii ya hovyo sana huko mbele ya safari.
Hivi ZIWA linawezaje kuwaka moto? 😬😬
Unamlaumu mwanamke wakati mwanamme mwenyewe ndiye zwazwa.Ona Sasa haya mambo, kabla ya sasa jamaa alikuwa yupo vzr ila mke ndokamfilisi. Jamaa kawajengea wakwe zake ila wazazi wake wa kumzaa wanaishi kwenye banda la nyasi na kuta la Mavi ya punda. Mke wake waliyeachana saizi yupo Kwa wazazi wake anakaa kwenye mjengo mpyaa ambao jamaa aliwajengea
Kalaga bahoHivi kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kujenga ukweni akaacha kwake? Mtoa mada hivi ni chai au?