Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Wanawake sahihi ni yupi kama wanaweza igiza ata miaka 20
Chukua tabia za mama yako mzazi utajua mwanamke sahihi anafananaje. Kama huzioni kwake wala kwa yoyote wa karibu katika familia yenu tatizo lako sio kutokuwepo kwa wanawake sahihi bali ni kutokuwa na reference katika maisha yako inayokusaidia kumtambua mwanamke sahihi.
 
Mfano wako ni mzuri sana mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Dah ila sisi walaji wa wake za watu tupunguze ata kidgo kuna mda nakua na huruma na huyo mwenye ndoa lakni nitafanyaje sasa.
 
Screenshot_20230223-120036_Instagram Lite.jpg
 
Chukua tabia za mama yako mzazi utajua mwanamke sahihi anafananaje. Kama huzioni kwake wala kwa yoyote wa karibu katika familia yenu tatizo lako sio kutokuwepo kwa wanawake sahihi bali ni kutokuwa na reference katika maisha yako inayokusaidia kumtambua mwanamke sahihi.
Mama yangu ni wa karne ya 15 sasa tupo ya 21 hawa watu watakuaje na tabia zinazoendana ?
 
Back
Top Bottom