Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hongera sana aisee.

Nami nataka nijitose japo ni kama nimechelewa kidogo. I think I have found the right person labda aje anibadilikie huku huku ndani....I am ready to give it my all and everything...

Mungu Yupo na Atubariki sisi ambao angalau tunajaribu kutimiza kusudi lake....[emoji1545]
Mkuu where were u?



Mbona umechelewa wasijesema anakuja kula pension
 
Mkuu issues za ndoa ni nyeti mno , sio wakubwa sio wadgo ndoa zimekuwa mwiba , na hili ni jukwaa la mapenz sioni kama kuna ubaya kama issue za ndoa zikizungumzwa humu.
Sasa ndio utajuwa Mimi na wewe nani mwenye akili.

Thread imeletwa huku kuunganishwa, na mwendo ni huu huu moderator wasafishe uchafu wote jukwaa la MMU.
 
Nilisema tokea mwanzo kataa ndoa,ndoa ni ukati,ndoa ni utapeli kama unataka kuoa tusipende kukurupuka we fikiri unakutana nae demu bar unataka kumuona we ynafikiri atakuwa wife material? Nyie majitu msipende kukurupuka
 

Attachments

  • FB_IMG_1677157651259.jpg
    FB_IMG_1677157651259.jpg
    53.6 KB · Views: 6
Back
Top Bottom