Ibrah wa kiwira
Senior Member
- May 17, 2023
- 179
- 167
Na mke mwingine nae anakasoro yake, pengine itakua ndogo au kubwa kuliko, ulienae sasa.Bitter truth! Wengi tunavumilia tu, maana sasa ukimtimua, maana yake, ama watoto wako alee mama mwingine, Only God knows watakachofanyiwa na huyo mama wa kambo,au aondoke na watoto njemba nyingine ikakulelee wana wako, na huko vile vile ni majanga,
Njemba zikiona huyu binti si wake, zinamvutia kasi, tu, mpaka uje ujue, Mambo yaliishaharibika.
Kwa sasa hv ndoa ikileta shida, piga chini, epuka stress, Ila, zipo ndoa zenye Amani, japo si kwa asilimia 60
Na wewe pia unakasoro zako zisizovumilika na zinazovumilika
Kikubwa tafuta kuwa na amani, zen fanya yako tafuta pesa, heshimu pesa, zaidi sana heshimu na kuinyenyekea kazi inayokupa pesa