Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Tuangalie takwimu, mfano marekani, asilimia 78 ya talaka zinaanzishwa na wanawake, kwenye mahusiano mengi wanawake ndo Huwa wanaacha waume / boyfriends wao Joanah

Takwimu hizo mbona sizijui
Source ya hizi takwimu ni ipi?
 
Habari ya usiku wana jukwaa, mie nimekuwa mmoja wa members wanaochukizwa kama si kukereka mno na ile kampeni inayoendelea hapa jukwaani ya kijana kataa ndoa.

Nimekuwa nikiona kama imekaa kishetani tu na kibinafsi sana kwa vijana wenzangu.

Wapo wanasema ndoa ni utapeli na mzigo kwa vijana hasa wakiume.

Naona somo taratibu limeanza kuniingia, yani nawaza nakuwazua mpaka napatwa presha kwa umri wangu huu wa mika 31 kisa mke? Hapana, napaswa kujiuliza mara mbilimbili.
 
Back
Top Bottom