Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #2,861
Endelea kutafuta pesa madam japo USIDANGE ila pambana kwa jitihada.Aisee
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kutafuta pesa madam japo USIDANGE ila pambana kwa jitihada.Aisee
Trust me Sitaoa.Hakuna ambaye atakuwa single wote mtaoa tu ngoja tuwape muda
1. Ndoa ni UTAPELI ambao humnufaisha mwanamke tuHello.
Team kataa ndoa.
Hebu Tuambie una sababu ipi inayokufanya ukatae ndoa na uone ndoa ni batili.
Ilhali ni kitu ambacho Mungu,alikipitisha.
Karibu kwa mjadala.
Kwahiyo raia mpaka leo HAWAELEWI?KATAA NDOA,
NDOA NI UTAPELI
UTAPASUKA KICHWA Tu
👉 Ali sikika mwenyekiti dronedrake na Raisi Liverpool VPN
🤣🤣🤣🤣
Polepole mada utawaingia tu.
49 aisee ila anawatotoTrust me Sitaoa.
Nina braza wangu anafanya Kazi ofisi nzuri hela ipo ana miaka 49 HAJAOA
Nina braza angu ni dereva wa malorry ya Transit miaka 36 hana mpango wa ndoa.
Hivyo ukiamua kuishi mwenyewe UNAOKOA VITU VINGI SANAAA.
#YNWA
Mapacha Ke na Me.49 aisee ila anawatoto
Ni vizuri na akizeeka nani atakuwa naye katika kuuzeka lazima kuwe na mtu mf. Mrema alioa ndio akafa kwa amaniMapacha Ke na Me.
Aliwapata akiwa na 40 Yrs.
#YNWA
Tutalifanyia kazi mkuu ngoja tuone upepo unaendaje.Ndoa ni baraka ,tuoeni vijana [emoji1732]
Hawaelewi hadi wapigwe na vitu vizito ndo wanarudi kundiniKwahiyo raia mpaka leo HAWAELEWI?
#YNWA
Bibi yangu ana miaka 96Ni vizuri na akizeeka nani atakuwa naye katika kuuzeka lazima kuwe na mtu mf. Mrema alioa ndio akafa kwa amani
Baraka ya kuzulumiwa?Ndoa ni baraka ,tuoeni vijana [emoji1732]
Kwani mwanaume akizeeka lazima awe na mtu ?Ni vizuri na akizeeka nani atakuwa naye katika kuuzeka lazima kuwe na mtu mf. Mrema alioa ndio akafa kwa amani
NdiooKwani mwanaume akizeeka lazima awe na mtu ?
Kuoa ni usenge mi natamani kutoka ila nikicheki machalii natulia mwanamke hata kama anafanya kazi Hela yake huioniHabari ya usiku wana jukwaa, mie nimekuwa mmoja wa members wanaochukizwa kama si kukereka mno na ile kampeni inayoendelea hapa jukwaani ya kijana kataa ndoa.
Nimekuwa nikiona kama imekaa kishetani tu na kibinafsi sana kwa vijana wenzangu.
Wapo wanasema ndoa ni utapeli na mzigo kwa vijana hasa wakiume.
Naona somo taratibu limeanza kuniingia, yani nawaza nakuwazua mpaka napatwa presha kwa umri wangu huu wa mika 31 kisa mke? Hapana, napaswa kujiuliza mara mbilimbili.
Yani kikwazo ni ma kids, ukiwaza haya unabaki kuchill tu.Kuoa ni usenge mi natamani kutoka ila nikicheki machalii natulia mwanamke hata kama anafanya kazi Hela yake huioni
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app