Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hakuna ambaye atakuwa single wote mtaoa tu ngoja tuwape muda
Trust me Sitaoa.
Nina braza wangu anafanya Kazi ofisi nzuri hela ipo ana miaka 49 HAJAOA
Nina braza angu ni dereva wa malorry ya Transit miaka 36 hana mpango wa ndoa.

Hivyo ukiamua kuishi mwenyewe UNAOKOA VITU VINGI SANAAA.

#YNWA
 
Hello.

Team kataa ndoa.

Hebu Tuambie una sababu ipi inayokufanya ukatae ndoa na uone ndoa ni batili.

Ilhali ni kitu ambacho Mungu,alikipitisha.

Karibu kwa mjadala.
1. Ndoa ni UTAPELI ambao humnufaisha mwanamke tu
2. Ndoa ni ujinga wa kuishi na mtu ndani mwenye mdomo, gubu na kila aina ya maudhi ila eti unaishi kwa kumvumilia huku mvumiliaji akiteseka ROHONI.
3. Ndoa ni kiwanda cha kulea watoto sio wako.
4. Hebu chunguza maisha ya ngono wanaishi wafanyakazi wale "mke yupo huku na mume yupo Mkoa/Wilaya/location nyengine"

#YNWA
 
Habari ya usiku wana jukwaa, mie nimekuwa mmoja wa members wanaochukizwa kama si kukereka mno na ile kampeni inayoendelea hapa jukwaani ya kijana kataa ndoa.

Nimekuwa nikiona kama imekaa kishetani tu na kibinafsi sana kwa vijana wenzangu.

Wapo wanasema ndoa ni utapeli na mzigo kwa vijana hasa wakiume.

Naona somo taratibu limeanza kuniingia, yani nawaza nakuwazua mpaka napatwa presha kwa umri wangu huu wa mika 31 kisa mke? Hapana, napaswa kujiuliza mara mbilimbili.
Kuoa ni usenge mi natamani kutoka ila nikicheki machalii natulia mwanamke hata kama anafanya kazi Hela yake huioni

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom