Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Hivi mnafikiria nini kwahawa wadada wanao pita humu kusoma soma habari harafu wanakutana na msimamo kama huu kwenu nyie wanaume ambao mnategemewa muwatoe kwenye janga la upweke na msongo wa mawazo kuhusu uchumi???
 
Tatizo hii kataa ndoa yenu ni mikwara tu yani ni kama mnabeep muone kama wanawake watabadili tabia zao au la, ukitaka kuamini hili basi angalia pale mwanamke akisema kataa ndoa namna hawa kataa ndoa wa kiume watakavyomshambulia, kwa kifupi hii kampeni ya kataa ndoa haina lengo la kukataa ndoa bali lengo lake eti wanawake wabadilike na kwa kizazi hiki mtasubiri sana
 
Jadda Mimi na wewe tuna fahamiana rafiki, Leo nime Shiba so sitaki tujeshe hapa 😁😆
 
hapa napoishi kuna jamaa anamke mstaarabu sana ,mpole mnyenyekevu hatari kiufupi ni mwanamke mwenye heshima,

sasa jana naingia lodge na manzi namuona yule mke wa mtu naye tena anatoka lodge na jamaa flan wa garage halafu et ananionea aibu.

badae kdg baada ya show tumepumzika naona simu ya manz inaita kucheki imeseviwa "MY HUSBAND" ikabidi nimuulize kwa hasira we siulisema hujaolewa unakaa kwa dada yako ,

akanijibu kiunyonge "nisamee niliamin nikwambia nmeolewa utanipotezea wakat unajua kabsa nakupenda"

yaani time huyu naenda kumchakata tena yule mkewa mtu anatoka kuchakatwa,

ila huyu aliyenidanganya huwez amin kama ameolewa hata matiti yako fiti na ana mtoto(hii ni baada ya kuamua kupekua simu yake kujihakikishia)
 
Hao ndio wake zao
na hizo ndio ndoa zao.

#YNWA
 
Back
Top Bottom