welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Kidogo ndoa za talaka Zina nafuu, ila hizi za kitakacho tutenganisha ni kifo hapana ni kufufungiana speed gavana huku kilometers zinasoma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ngoja tuone dr mwaka kama atashinda kesi ya yule bi mdada anaetaka nyumba , akishinda ina nafuu, akishindwa kataa ndoa ata kma ameshuka makerubi aka sema fungeni ndoa .Kidogo ndoa za talaka Zina nafuu, ila hizi za kitakacho tutenganisha ni kifo hapana ni kufufungiana speed gavana huku kilometers zinasoma!
Angalia maisha ya wamarekani kuhusu swala zima la mahusiano utapata picha halisi ya sisi tutakuja kuwaje.
Wewe una ex wangapiUnakuta mwanamke ana ma-ex 16, alafu hapo bado anawasiliano na ma-ex 12. Kwenye hilo kundi wapo vijana hata wanne ambao wakiomba mechi lazima wapewe tu, alafu mimi ndio nakuja kujiokotea huyu mtu namuoa nakua namuita 'mke wangu kipenzi'. Hapo mnaanza kula kwa zamu sasa na kina Juma, Mwamedi, Hans mwishoe mimba kumbe katoto sio kako mhusika ni Jafeti. Hiiii