Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
ndoa ni utapel
 
Attachments

  • 1682097027925.jpg
    1682097027925.jpg
    61.6 KB · Views: 8
Kwani hao wenzenu rangi nyingi hawapiganii ndoa? Hata mashoga kuaoana ni ndoa, sisi tunapinga ndoa zote. KATAA NDOA
Uhjajijua kama ni wa kike au wa kiume ndio maana.
Siku ukijijua ndio nasi tutajua.
 
Nasubiri...
Tufike kwenye:
"kataa kusomesha mtoto wa kike"
"Kataa kuajiri mtoto wa kike"
"Kataa kuzaa mtoto wa kike"
"Kataa kuzaa na mwanamke"
"Kataa kuwa na ndugu mwanamke"
"Kataa kuzaliwa kwenye Ndoa"
"Kataa kuzaliwa na mwanamke"........

Then it's over now.
 
Wakati nimeoa na kuanza kuishi na wife ndani siku za kwanza wife alikuwa ananipa kwa wiki kama mara mbili hivi. Nikifosi basi itafika mara 3 au 4.
Unajua mwanaume ukipiga bao automatically ashki huisha hapohapo na unaweza kusema sitaki tena sex mpaka mwaka upite ila kesho tu wazungu wanakusumbua tena. Unaanza tena kusimamisha mnara wa Babeli. Wanawake wenye kupenda sex kila siku ni wachache sana, wengine kwa wiki labda wakahisi kiu mara moja tu. Na wengine kwa mwezi ni siku tatu tu .
Sasa ukiwa mjinga utapangiwa ratiba na mwanamke.
Nilivyoona wife ananipangia ratiba, siku moja usiku namshika anatoa mkono, nikavaa nikaenda sebuleni nikalala huko akaja kunipa sebuleni.
Siku nyingine akarudia nikavaa nikatoka nje nikarudi asubuhi. Nikavaa nguo nikaenda kazini. Sms za malalamiko kuwa nilikwenda kulala kwa mchepuko zikaanza. Nikamjibu kweli nilichepuka baada ya kuona yeye naye amempata mwanaume ampendaye anayempa bila kikomo that's why Mimi ananipangia ratiba.
Kwakuwa sasa kila mmoja amempata ampendaye imekaa vizuri achague kati ya kubaki nyumbani amwite mwenzake waishi pale au amfuate mwenzi wake Mimi nibaki pale na mtu ninayempenda.
Nataka majibu kabla ya saa SITA. Hiyo ikumbukwe kuwa ilikuwa saa tatu asubuhi.
Nikamwambia kuwa awe huru akitaka kubaki pale Mimi sitatia mguu wangu tena na awe huru kwa lolote.
Kilichofuata ni kilio na kuomba msamaha.
Nikamwambia tukutane sehemu fulani jioni nikitoka kazini aje na watu wazima wawili Akaja . Nikamwambia sasa kuhusu hali halisi nikaanza "mimi Jana usiku nikitoka nyumbani kwa hasira na kwenda kushinda mitaani nikiwa na mawazo mengi baada ya kuona mke wangu kaanza tabia za uzinzi na umalaya, inafika wakati mpaka anachoka anashindwa kunipa unyumba Mimi mume wake, kwakuwa nilishaapa kuwa mke wangu akichepuka nitamwacha muda huohuo basi kuanzia sasa sitamgusa tena awe huru kwa mwili wake na sasa ninakwenda kuanza maisha mapya".
Wazee wakahamaki na kuniomba msamaha mwisho wa siku ndoa ikiendelea.
Haiwezekani nikulishe, nikuvishe, nikutibu n.k halafu unipangie ratiba kama mtoto wa chekechea.
Mpaka leo wife hajawahi kulala na chupi labla awe kwenye blead.
Sikuwa najaribu, kama angeonyesha kiburi kwenye kutatua kale kamgogoro ningemwacha mazima maana ingekuwa ishara kuwa kuna mtu nyuma anamtia kiburi.
 
My man [emoji106]
 
We ni jasusi
 
Aisee hatarii sanaaa...!! Kwa hiyo siku hizii ukitakaa tu unaiwekaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Toa faida hata moja tu ya ndoa ambayo asiyeoa haipati. Toa angalau moja tu. Then baadae nitakwambia utapeli wa ndoa.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kukaa na watoto wako ukishuhudia hatua kadhaa za makuzi na kuwajengea falsafa zitakazowasaidia maishani mfn kuwafundisha kazi kwa bidii na kutokata tamaa,
Kuacha zinaa maana ni dhambi kulingana na mafundisho ya dini zote,

Kupata preveledge kwa mambo mengi, mwanaume kama una miaka 40 na hujaoa jamii inayokuzunguka inakuchukulia negative sana hata kama una kila kitu, unachukuliwa mwenye choyo, bahili, mhuni , irresponsible,unapata very bad perception, hii nazungumzia kwa Africa ikiwemo Tanzania yetu, hata huwezi fikiriwa kupewa dhamana ya kuongoza watu.

Haya mambo ni muhimu ili upate heshima na recorgnition kitu ambacho mwanaume kwa asili anakihitaji sana ili kutimiza furaha yake,

Labda kama ukiweza kuhimili presha ya mambo niliyotaja hapo juu basi wewe ni noma, nakipa saluti

Lakini kuoa ni nature yaani utajikuta tu unahitaji, inapaswa utulie uangalie mwanamke sahihi ukikosea hapo ndo utajikuta unapatwa majanga ambayo wengine hawapati na wapo na ndoa zao.
 
Wakati nimeoa na kuanza kuishi na wife ndani siku za kwanza wife alikuwa ananipa kwa wiki kama mara mbili hivi. Nikifosi basi itafika mara 3 au 4.
Unajua mwanaume ukipiga bao automatically ashki huisha hapohapo na unaweza kusema sitaki tena sex mpaka mwaka upite ila kesho tu wazungu wanakusumbua tena. Unaanza tena kusimamisha mnara wa Babeli. Wanawake wenye kupenda sex kila siku ni wachache sana, wengine kwa wiki labda wakahisi kiu mara moja tu. Na wengine kwa mwezi ni siku tatu tu .
Sasa ukiwa mjinga utapangiwa ratiba na mwanamke.
Nilivyoona wife ananipangia ratiba, siku moja usiku namshika anatoa mkono, nikavaa nikaenda sebuleni nikalala huko akaja kunipa sebuleni.
Siku nyingine akarudia nikavaa nikatoka nje nikarudi asubuhi. Nikavaa nguo nikaenda kazini. Sms za malalamiko kuwa nilikwenda kulala kwa mchepuko zikaanza. Nikamjibu kweli nilichepuka baada ya kuona yeye naye amempata mwanaume ampendaye anayempa bila kikomo that's why Mimi ananipangia ratiba.
Kwakuwa sasa kila mmoja amempata ampendaye imekaa vizuri achague kati ya kubaki nyumbani amwite mwenzake waishi pale au amfuate mwenzi wake Mimi nibaki pale na mtu ninayempenda.
Nataka majibu kabla ya saa SITA. Hiyo ikumbukwe kuwa ilikuwa saa tatu asubuhi.
Nikamwambia kuwa awe huru akitaka kubaki pale Mimi sitatia mguu wangu tena na awe huru kwa lolote.
Kilichofuata ni kilio na kuomba msamaha.
Nikamwambia tukutane sehemu fulani jioni nikitoka kazini aje na watu wazima wawili Akaja . Nikamwambia sasa kuhusu hali halisi nikaanza "mimi Jana usiku nikitoka nyumbani kwa hasira na kwenda kushinda mitaani nikiwa na mawazo mengi baada ya kuona mke wangu kaanza tabia za uzinzi na umalaya, inafika wakati mpaka anachoka anashindwa kunipa unyumba Mimi mume wake, kwakuwa nilishaapa kuwa mke wangu akichepuka nitamwacha muda huohuo basi kuanzia sasa sitamgusa tena awe huru kwa mwili wake na sasa ninakwenda kuanza maisha mapya".
Wazee wakahamaki na kuniomba msamaha mwisho wa siku ndoa ikiendelea.
Haiwezekani nikulishe, nikuvishe, nikutibu n.k halafu unipangie ratiba kama mtoto wa chekechea.
Mpaka leo wife hajawahi kulala na chupi labla awe kwenye blead.
Sikuwa najaribu, kama angeonyesha kiburi kwenye kutatua kale kamgogoro ningemwacha mazima maana ingekuwa ishara kuwa kuna mtu nyuma anamtia kiburi.

Safi sana, lazima ukaze ukilengeza tu umeisha
 
Back
Top Bottom