divorce is soo skewed to women,
is it true?

marriage do not make sense now days, is it true?
What do you mean so skewed to women?
Sign a prenuptial agreement if you're worried about your wealth.

It has always made sense and it will never stop making sense,
So far hamjatoa substitution ya marriage zaidi kuamua kuishi maisha ya hovyo tu ambayo mwishoni pia ni vizuri mje mtupe feedback mmeishiaje

If you don't want it for whatever reason then don't get in to it,
no one's forcing you
 
Mimi nakupa feedback sijaoa sina wanawake wengi nna mtoto moja na nyumban naheshimika vizuri tu..

KATAA NDOA
 
Kwa kijana mwenye kuhitaji kufanya mambo makubwa ndoa sio kipaumbele kwa maisha ya sasahivi.. Unless uwe na mwanamke ambae sio mzigo
 
let me skull you
wakataa ndoa ni wanaume wanaotambua thamani yao, tuna value our freedom, respect and inner peace.
 
Not only about wealth.

There no real happy in the marriage life.

All in All single life is Very wonderful life in this stressful world.
 
i GUESS mlio kwenye ndoa mko happy sana kuliko mabaharia?
is this true?
Furaha haihusiani na kuwa kwenye ndoa au kuwa nje ya ndoa.

Unaweza kuwa nje ya ndoa na usiwe na furaha hata tone.
 
Mimi nakupa feedback sijaoa sina wanawake wengi nna mtoto moja na nyumban naheshimika vizuri tu..

KATAA NDOA
Kuheshimika ndo nini maana kuna mapunga yameoa na yenyewe yanaheshimika yana familia...

So kinachokuamsha asubuhi kuendesha campaign kukataa ndoa ni nini?

Hiyo life lako unaloheshimika haliku fulfil mpaka uingilie maisha ya wenzio?

umeshindwa ku make life na mwanamke mlee mtoto waache wanaoweza walee,
don't bring everyone down with you,
 
Mwanaume ni mtawala, ndoa ni kwa ajili ya wanaume watawala, ukiwa legelege ndoa itakushinda.


Wanaokataa ndoa nature imewatoa kwenye reli, hawana nguvu za kutawala.
Ndoa ni Utumwa.

Kataa ndoa.

Ndoa Utumwa.

Mtawala leo anatawala.

Nyie mlioa wake zenu wamewapokonya magari,

Wanawatawala kinyama

Mmekuwa kama mazoba
 
Hao wanaosema kataa ndoa wanajisemea tu.

Lakin kama watajihusisha na wanawake siku yoyote tu watakamatwa kizembe na hawataamin

Kukataa ndoa inabid uachane kabisa na mabinti hawa wamtaani yaan ukitaka kupunguza nyege unaenda kununua malaya hapo unaweza ukawaepuka
 
Kataa Ndoa.
 
Mwanaume ni mtawala, ndoa ni kwa ajili ya wanaume watawala, ukiwa legelege ndoa itakushinda.


Wanaokataa ndoa nature imewatoa kwenye reli, hawana nguvu za kutawala.
yanini uishi kibabe.

ipo hivi mkuu ukisha sign contract role inabadilika.

nikisema ulikuwa mdhaifu kiasi kwamba njia pekee yaku mkeep ni ndoa?

mara paap sex performance zero.
 
Tuna wanawake na tuna wafilimba kila siku.

Ila hatutaki cheti kinachoitwa ndoa
 
Andika essay uwezavyo, ila KATAA NDOA ndo hitimisho langu mtoto anapewa mahitaji yake kama kawaida na kinachoniamsha asubuhi kupinga Ndoa ni kutokomeza huu utapeli na ulimbukeni uitwao ndoa
 
yanini uishi kibabe.

ipo hivi mkuu ukisha sign contract role inabadilika.

nikisema ulikuwa mdhaifu kiasi kwamba njia pekee yaku mkeep ni ndoa?

mara paap sex performance zero.
Utawala sio ubabe, utawala ni skills ambazo nyie mashoga hamuwezi kuwa nazo maana mna character za kike. Ndoa ni kwa ajili ya wanaume timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…