Snapdragon 8
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,046
- 3,781
KATAA NDOA KWA AFYA YA AKILI NA UCHUMI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What do you mean so skewed to women?divorce is soo skewed to women,
is it true?
marriage do not make sense now days, is it true?
Mimi nakupa feedback sijaoa sina wanawake wengi nna mtoto moja na nyumban naheshimika vizuri tu..What do you mean so skewed to women?
Sign a prenuptial agreement if you're worried about your wealth.
It has always made sense and it will never stop making sense,
So far hamjatoa substitution ya marriage zaidi kuamua kuishi maisha ya hovyo tu ambayo mwishoni pia ni vizuri mje mtupe feedback mmeishiaje
If you don't want it for whatever reason then don't get in to it,
no one's forcing you
Kwa kijana mwenye kuhitaji kufanya mambo makubwa ndoa sio kipaumbele kwa maisha ya sasahivi.. Unless uwe na mwanamke ambae sio mzigoHuu ujinga wa vijana wa hovyo ambao hamtaki kuwa responsible na maisha ya familia ikiwa ni kutunza mke na watoto mnaosambaza humu mitandaoni ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge.
Pia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.
Kama hujajipanga kiakili na kimkakati usije ukathubutu kuoa. Ndoa ni kwa watu strong mentally and physically fit. Wewe ukiwa unaona kabisa mwanamke atakuzidi ujanja basi kaa pembeni kimya na uache kulisha ujinga vijana waliojipanga kukabiliana na ndoa na kutengeneza familia na jamii bora.
Kama ishu ni mali kuna form huwa inajazwa kabla ya kufungishwa ndoa inayo state kama kuna mali zozote ambazo zinamilikiwa kabla ya ndoa.
Hakuna sababu ya kulia lia tafuta mali zako sajili kampuni ziandikie hizo mali za kampuni. Kisha ukioa muende mkaishi kwenye nyumba ya kampuni mbona ishu iko simple. Mwanasheria wako wa kampuni ndio atalinda mali zako kama hutaki mkeo ahusike nazo.
Kama hayo hapo juu yatakushinda basi una haki ya kutafta mashangazi kokote mjini ili uweze kujipatia huduma ya kuaminika bila kujiingiza kwenye mkataba wa ndoa. Acheni ujinga wa kupumbaza wenzenu.
let me skull youWhen you're truly happy and at peace you won't care what your neighbor is doing,
You'll be busy swimming in bliss,
infact you'll be infecting people with your happiness without knowing.
Ndomana hutoona posts za watu kusifia mahusiano/ndoa zao,
Because they are living it in real time!
Haya madebe tupu sasa!!!!!!
The fact that y'all have to advertise you're happiness and compare your miserable lives to other miserable lives and see who is more miserable is alarming to an investigative mind!!!
Not only about wealth.What do you mean so skewed to women?
Sign a prenuptial agreement if you're worried about your wealth.
It has always made sense and it will never stop making sense,
So far hamjatoa substitution ya marriage zaidi kuamua kuishi maisha ya hovyo tu ambayo mwishoni pia ni vizuri mje mtupe feedback mmeishiaje
If you don't want it for whatever reason then don't get in to it,
no one's forcing you
usijali bro wengi wao wapo na unbalanced feminine and masculine energy?wengi wao wanatukana tu , stress za ndoa hazijawahi acha mtu salama
Furaha haihusiani na kuwa kwenye ndoa au kuwa nje ya ndoa.i GUESS mlio kwenye ndoa mko happy sana kuliko mabaharia?
is this true?
Kuheshimika ndo nini maana kuna mapunga yameoa na yenyewe yanaheshimika yana familia...Mimi nakupa feedback sijaoa sina wanawake wengi nna mtoto moja na nyumban naheshimika vizuri tu..
KATAA NDOA
Ndoa ni Utumwa.Mwanaume ni mtawala, ndoa ni kwa ajili ya wanaume watawala, ukiwa legelege ndoa itakushinda.
Wanaokataa ndoa nature imewatoa kwenye reli, hawana nguvu za kutawala.
Ndo umeona cha maana kuchambishwa.Team kataa ndoa mkiumwa msiweze jihudumia sijui nani atakuwa anawachambisha
Kataa Ndoa.Huu ujinga wa vijana wa hovyo ambao hamtaki kuwa responsible na maisha ya familia ikiwa ni kutunza mke na watoto mnaosambaza humu mitandaoni ni upuuzi wa kiwango cha standard gauge.
Pia kuna kundi la vijana ambao sio riziki pia wanaojihusisha na maswala ya kugawa speaker aina ya "tweeter" naona hii kampeni wanaishabikia sana maana wanaona wingi wa wanawake ni threat kwa soko lao la mitarimbo.
Kama hujajipanga kiakili na kimkakati usije ukathubutu kuoa. Ndoa ni kwa watu strong mentally and physically fit. Wewe ukiwa unaona kabisa mwanamke atakuzidi ujanja basi kaa pembeni kimya na uache kulisha ujinga vijana waliojipanga kukabiliana na ndoa na kutengeneza familia na jamii bora.
Kama ishu ni mali kuna form huwa inajazwa kabla ya kufungishwa ndoa inayo state kama kuna mali zozote ambazo zinamilikiwa kabla ya ndoa.
Hakuna sababu ya kulia lia tafuta mali zako sajili kampuni ziandikie hizo mali za kampuni. Kisha ukioa muende mkaishi kwenye nyumba ya kampuni mbona ishu iko simple. Mwanasheria wako wa kampuni ndio atalinda mali zako kama hutaki mkeo ahusike nazo.
Kama hayo hapo juu yatakushinda basi una haki ya kutafta mashangazi kokote mjini ili uweze kujipatia huduma ya kuaminika bila kujiingiza kwenye mkataba wa ndoa. Acheni ujinga wa kupumbaza wenzenu.
yanini uishi kibabe.Mwanaume ni mtawala, ndoa ni kwa ajili ya wanaume watawala, ukiwa legelege ndoa itakushinda.
Wanaokataa ndoa nature imewatoa kwenye reli, hawana nguvu za kutawala.
Tuna wanawake na tuna wafilimba kila siku.Hao wanaosema kataa ndoa wanajisemea tu.
Lakin kama watajihusisha na wanawake siku yoyote tu watakamatwa kizembe na hawataamin
Kukataa ndoa inabid uachane kabisa na mabinti hawa wamtaani yaan ukitaka kupunguza nyege unaenda kununua malaya hapo unaweza ukawaepuka
Andika essay uwezavyo, ila KATAA NDOA ndo hitimisho langu mtoto anapewa mahitaji yake kama kawaida na kinachoniamsha asubuhi kupinga Ndoa ni kutokomeza huu utapeli na ulimbukeni uitwao ndoaKuheshimika ndo nini maana kuna mapunga yameoa na yenyewe yanaheshimika yana familia...
So kinachokuamsha asubuhi kuendesha campaign kukataa ndoa ni nini?
Hiyo life lako unaloheshimika haliku fulfil mpaka uingilie maisha ya wenzio?
umeshindwa ku make life na mwanamke mlee mtoto waache wanaoweza walee,
don't bring everyone down with you,
Utawala sio ubabe, utawala ni skills ambazo nyie mashoga hamuwezi kuwa nazo maana mna character za kike. Ndoa ni kwa ajili ya wanaume timamu.yanini uishi kibabe.
ipo hivi mkuu ukisha sign contract role inabadilika.
nikisema ulikuwa mdhaifu kiasi kwamba njia pekee yaku mkeep ni ndoa?
mara paap sex performance zero.