best commentKuwa na familia ndio proper way of spending your lifetime. Tuliotokea kwenye familia imara tunaona huo umuhimu ila hawa kikundi cha panyarodi wanaona kama ni vitu vya ajabu.
Tukatae Wizi kwa Nguvu ZoteNaam [emoji91][emoji91]
Nawe unapumuliwa na wanaume wenzio?Naam [emoji91][emoji91]
Hakuna haja ya maelekezo madam ushahidi unauona na msimamo kwangu unauona pia NB msimamo wangu unatokana na ushahidi ulioponaandika nafuta hata sjui nikuelekezeje
so wewe hutaoa??Hakuna haja ya maelekezo madam ushahidi unauona na msimamo kwangu unauona pia NB msimamo wangu unatokana na ushahidi uliopo
Ndio maana huwa nasisitiza wanawake wajitahidi waache tamaa ili wapate watu sahihi watakaojenga nao familia bora. Sio kuzalishwa na waume za watu kisha watoto wanazagaa bila uangalizi wa baba. Mwanaume responsible huwa analea mtoto wake na mtoto aliolelewa na baba haji kuwa na itikadi za kishetani.best comment
na ukweli mtupu kama unatokea kwenye familia bora lazima utaman kuijenga yako kwa misingi
Nikweli mkuu,hivi mwanaume alienamsimamo kwamba mwanaume yule mwenye sauti na kufata misingi ya ndoa unakuaje mteja wa danguro wakat una mke wahalali??
mimi kwa imani yangu inaniambia mwanamke ukiona anajisahau sana unaruhusiwa kumrekebisha ukiona haelekei ruksa kumtaliki talaka moja kama kumtia adabu akajifunze kwanza na inakua na eda yan kipindi cha miezi mitatu hii ikipita kama bado mnataka mtatakiwa kuoana upya lakini unakuta wegi ndan ya hio miezi kwa mwenye kuelewa anajirud yanaisha sasa hivo hivo ukiona vipi ongeza wapili
mnaendeshwaje na watu waliotoka ubavuni mwenu??
Maisha bado yananidai vingi sana mbali na Ndoa kama endapo kweli nitapata kama wale walioandikwa kwenye maandiko basi nitabadili mtazamo ila kama hali itakuwa hiv sintoacha kuwahimiza watu na kushikilia msimamoso wewe hutaoa??
na sisi ndio tunachangia wanaume waona ndoa si kituNdio maana huwa nasisitiza wanawake wajitahidi waache tamaa ili wapate watu sahihi watakaojenga nao familia bora. Sio kuzalishwa na waume za watu kisha watoto wanazagaa bila uangalizi wa baba.
Main concern ya kataa ndoa campaign ni kwamba mkishindwana na mke mtagawana mali hilo ndio hawa raia wanakasirika kwamba mali zao watagawana na mke. Ndio maana nimetoa suggestion kuna namna ya kulinda mali. Zisajiliwe kama mali za kampuni ili zisiwe part ya prenuptial settlements.mpaka sasa sijui nisimame upande gani!!
ila naona umezungumzia tu kuhusu swala la ndoa na mali, ila kiukweli ndoa za siku hizi zinapitia mambo mengi mpaka zinavunjika,usaliti uliokithiri,baadhi ya wanandoa kutotimiza wajibu wao,vifo vya kila siku
sishangai kuona kundi kubwa la vijana wanasapot hii kampeni kwa sababu matukio yamekuwa ni mengi mno kuhusu ndoa za kipindi hichi
utetezi wetu sisi siyo kwasababu matajiri au great thinkers ndoa zao zilifeli au walikuwa hawana ndoa.Kama ni mtawa that's excellent!
Many great men who did great things hawakuoa,
coz akili zote walizi invest kwenye kazi zao..
Pia unakuwa farther inthe spiritual path earlier in life
nimelipenda jibu lako nakuombea upate mtu sahihi ili uione ladha ya ndoa utam wa ndoa uingie mwenyewe uchezeMaisha bado yananidai vingi sana mbali na Ndoa kama endapo kweli nitapata kama wale walioandikwa kwenye maandiko basi nitabadili mtazamo ila kama hali itakuwa hiv sintoacha kuwahimiza watu na kushikilia msimamo
Sasa kama hatuwezi pata watu sahihi unashauri nini madam!!!? Na maandiko hayakutwambia Oaneni mkatesekena sisi ndio tunachangia wanaume waona ndoa si kitu
unajua ni heri ujipe muda wa kumtathmini mtu kabla hujaingia naye kwenye ndoa kuepusha hizi mambo, sisi wanawak hasa wa kizazi hiki hatujui kuvumilia, hatujui kuridhika, hatujui kuishi na mume, wengi tunaolewa kudorishia yan kumrusha roho fulani aone umeolewa wakat mwisho wa siku ndoa ni watu wawili tu
mume akipitia msoto anakimbiwa siku mambo yakikaa sawa mtu anajileta leta
mimi napenda watu waoane lakini waoane watu sahihi sio wa kukurupukia
Yeah nasisitiza sana Marrying your type, angalia mtu anayeweza ku accomodate madhaifu yako. Huyo ndio oa au olewa nae.na sisi ndio tunachangia wanaume waona ndoa si kitu
unajua ni heri ujipe muda wa kumtathmini mtu kabla hujaingia naye kwenye ndoa kuepusha hizi mambo, sisi wanawak hasa wa kizazi hiki hatujui kuvumilia, hatujui kuridhika, hatujui kuishi na mume, wengi tunaolewa kudorishia yan kumrusha roho fulani aone umeolewa wakat mwisho wa siku ndoa ni watu wawili tu
mume akipitia msoto anakimbiwa siku mambo yakikaa sawa mtu anajileta leta
mimi napenda watu waoane lakini waoane watu sahihi sio wa kukurupukia
BIG UP!I do enjoy challenges as they make me grow and more experienced! Tough times never last.
Hili ndo jibu ambalo hawataki kulikubali ingawa hata Madame S anafahamu Kuwa SYSTEM IMECORRUPT saivutetezi wetu sisi siyo kwasababu matajiri au great thinkers ndoa zao zilifeli au walikuwa hawana ndoa.
ni system mbovu mkuu.
Ndoa ni raha ukioa au kuolewa na mtu sahihi ambaye ana accomodate madhaifu yako nawewe una accomodate yakwake.nimelipenda jibu lako nakuombea upate mtu sahihi ili uione ladha ya ndoa utam wa ndoa uingie mwenyewe ucheze
honestly ni nyingi na nimeona kwa mfano lakini chanzo kikuu ni hao waandoa wenyeweNikweli mkuu,
hakuna aliyewahi nifundisha how to be a good husband.
tatizo ndoa imepotoka sana now days.
hivi utakuwa tayar kuruhusu kijana wako aende kuteseka kwenye ndoa?
kuwa tu muwazi wewe hujawahi kukutana na ndoa za ovyo huko mtaani?
kesi ngapi umezisikia?
huoni kama hasara zina out weight faida za ndoa?
Non sense is a "NO"BIG UP!
YOU ARE THE MAN?
so, you can tolerate non sense too?