Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kuwa na familia ndio proper way of spending your lifetime. Tuliotokea kwenye familia imara tunaona huo umuhimu ila hawa kikundi cha panyarodi wanaona kama ni vitu vya ajabu.
best comment

na ukweli mtupu kama unatokea kwenye familia bora lazima utaman kuijenga yako kwa misingi
 
best comment

na ukweli mtupu kama unatokea kwenye familia bora lazima utaman kuijenga yako kwa misingi
Ndio maana huwa nasisitiza wanawake wajitahidi waache tamaa ili wapate watu sahihi watakaojenga nao familia bora. Sio kuzalishwa na waume za watu kisha watoto wanazagaa bila uangalizi wa baba. Mwanaume responsible huwa analea mtoto wake na mtoto aliolelewa na baba haji kuwa na itikadi za kishetani.
 
hivi mwanaume alienamsimamo kwamba mwanaume yule mwenye sauti na kufata misingi ya ndoa unakuaje mteja wa danguro wakat una mke wahalali??

mimi kwa imani yangu inaniambia mwanamke ukiona anajisahau sana unaruhusiwa kumrekebisha ukiona haelekei ruksa kumtaliki talaka moja kama kumtia adabu akajifunze kwanza na inakua na eda yan kipindi cha miezi mitatu hii ikipita kama bado mnataka mtatakiwa kuoana upya lakini unakuta wegi ndan ya hio miezi kwa mwenye kuelewa anajirud yanaisha sasa hivo hivo ukiona vipi ongeza wapili

mnaendeshwaje na watu waliotoka ubavuni mwenu??
Nikweli mkuu,
hakuna aliyewahi nifundisha how to be a good husband.

tatizo ndoa imepotoka sana now days.
hivi utakuwa tayar kuruhusu kijana wako aende kuteseka kwenye ndoa?

kuwa tu muwazi wewe hujawahi kukutana na ndoa za ovyo huko mtaani?
kesi ngapi umezisikia?

huoni kama hasara zina out weight faida za ndoa?
 
Ndio maana huwa nasisitiza wanawake wajitahidi waache tamaa ili wapate watu sahihi watakaojenga nao familia bora. Sio kuzalishwa na waume za watu kisha watoto wanazagaa bila uangalizi wa baba.
na sisi ndio tunachangia wanaume waona ndoa si kitu

unajua ni heri ujipe muda wa kumtathmini mtu kabla hujaingia naye kwenye ndoa kuepusha hizi mambo, sisi wanawak hasa wa kizazi hiki hatujui kuvumilia, hatujui kuridhika, hatujui kuishi na mume, wengi tunaolewa kudorishia yan kumrusha roho fulani aone umeolewa wakat mwisho wa siku ndoa ni watu wawili tu

mume akipitia msoto anakimbiwa siku mambo yakikaa sawa mtu anajileta leta

mimi napenda watu waoane lakini waoane watu sahihi sio wa kukurupukia
 
mpaka sasa sijui nisimame upande gani!!
ila naona umezungumzia tu kuhusu swala la ndoa na mali, ila kiukweli ndoa za siku hizi zinapitia mambo mengi mpaka zinavunjika,usaliti uliokithiri,baadhi ya wanandoa kutotimiza wajibu wao,vifo vya kila siku

 sishangai kuona kundi kubwa la vijana wanasapot hii kampeni kwa sababu matukio yamekuwa ni mengi mno kuhusu ndoa za kipindi hichi
Main concern ya kataa ndoa campaign ni kwamba mkishindwana na mke mtagawana mali hilo ndio hawa raia wanakasirika kwamba mali zao watagawana na mke. Ndio maana nimetoa suggestion kuna namna ya kulinda mali. Zisajiliwe kama mali za kampuni ili zisiwe part ya prenuptial settlements.
 
Kama ni mtawa that's excellent!

Many great men who did great things hawakuoa,
coz akili zote walizi invest kwenye kazi zao..

Pia unakuwa farther inthe spiritual path earlier in life
utetezi wetu sisi siyo kwasababu matajiri au great thinkers ndoa zao zilifeli au walikuwa hawana ndoa.

ni system mbovu mkuu.
 
Kusema kweli mim natamani ndoa ni vile tu pesa Sina mim pekee yangu Milo mitatu inanishinda ,ni mlo mmoja mchana usiku mo energy na andazi mbili za bakhressa....

Kodi tunalipa Kwa manati ,Sasa unafikili kuoa mwanamke ambaye atakuja kulala njaa ,,unagundua hayupo ....

Hata unayemtongoza akigundua unamaisha ya kuunga unga basi anakukimbia haraka Sana kama ukomaa .....unaishia kula Malaya wa buku tatu ....

Siku nikizipata lazima niweke ndani toto Moja kalii ni full kulitafuna usiku mchana na jion kama dozi ya dawa ...
 
Maisha bado yananidai vingi sana mbali na Ndoa kama endapo kweli nitapata kama wale walioandikwa kwenye maandiko basi nitabadili mtazamo ila kama hali itakuwa hiv sintoacha kuwahimiza watu na kushikilia msimamo
nimelipenda jibu lako nakuombea upate mtu sahihi ili uione ladha ya ndoa utam wa ndoa uingie mwenyewe ucheze
 
na sisi ndio tunachangia wanaume waona ndoa si kitu

unajua ni heri ujipe muda wa kumtathmini mtu kabla hujaingia naye kwenye ndoa kuepusha hizi mambo, sisi wanawak hasa wa kizazi hiki hatujui kuvumilia, hatujui kuridhika, hatujui kuishi na mume, wengi tunaolewa kudorishia yan kumrusha roho fulani aone umeolewa wakat mwisho wa siku ndoa ni watu wawili tu

mume akipitia msoto anakimbiwa siku mambo yakikaa sawa mtu anajileta leta

mimi napenda watu waoane lakini waoane watu sahihi sio wa kukurupukia
Sasa kama hatuwezi pata watu sahihi unashauri nini madam!!!? Na maandiko hayakutwambia Oaneni mkateseke
 
na sisi ndio tunachangia wanaume waona ndoa si kitu

unajua ni heri ujipe muda wa kumtathmini mtu kabla hujaingia naye kwenye ndoa kuepusha hizi mambo, sisi wanawak hasa wa kizazi hiki hatujui kuvumilia, hatujui kuridhika, hatujui kuishi na mume, wengi tunaolewa kudorishia yan kumrusha roho fulani aone umeolewa wakat mwisho wa siku ndoa ni watu wawili tu

mume akipitia msoto anakimbiwa siku mambo yakikaa sawa mtu anajileta leta

mimi napenda watu waoane lakini waoane watu sahihi sio wa kukurupukia
Yeah nasisitiza sana Marrying your type, angalia mtu anayeweza ku accomodate madhaifu yako. Huyo ndio oa au olewa nae.

Watu wako so intimidated na looks na materials bila kujali kwamba tabia za mtu ndizo unaenda kuishi nazo.
 
Nikweli mkuu,
hakuna aliyewahi nifundisha how to be a good husband.

tatizo ndoa imepotoka sana now days.
hivi utakuwa tayar kuruhusu kijana wako aende kuteseka kwenye ndoa?

kuwa tu muwazi wewe hujawahi kukutana na ndoa za ovyo huko mtaani?
kesi ngapi umezisikia?

huoni kama hasara zina out weight faida za ndoa?
honestly ni nyingi na nimeona kwa mfano lakini chanzo kikuu ni hao waandoa wenyewe

kwa kweli sitapenda kuona mwanangu anateseka na sitapenda kuwaozesha kwa mtu ambae atawaumiza ninataman Mungu anipe umri nije kuwapa elim sahihi juu ya mahusiano hope nitawajenga vizur

lakini bado nitatamani kuwaona wakiwa na waume zao sahihi
 
BIG UP!
YOU ARE THE MAN?

so, you can tolerate non sense too?
Non sense is a "NO"

I tolerate no Bullshit, huwa nina principles tu nazitumia kuendesha maisha yangu ni kama katiba especially when it comes to relationships. Mtu anayetaka ku settle anachekechwa kama hatoshi ni baba Jeniiii...
 
Back
Top Bottom