Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania

Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
NIMEONA KULE FACEBOOK, INSTA NA HASA TIKTOK.
KWAMBA JAMIIFORUM WAO WANAWEZA KUZUIA HAPA, LAKINI HAWAWEZI KUZUIA HISIA, MAWAZO NA SABABU ZA WATU KUKAA NDOA.
 
Mkuu haina haja ya kusoma , tumeona yanayomtokea mwaka ,familia ya mengi na wengi kitaa .
Ni kama tunavoona Mo, Bakhresa, Rostam Aziz,GSM na matajiri wengine wanavopigwa jua kubeba zege na kushindia mlo mmoja.
 
Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania

Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Hizo nyuzi zinaamasisha kukataa ndoa au kukataa kuoa?
 
Ni kama tunavoona Mo, Bakhresa, Rostam Aziz,GSM na matajiri wengine wanavopigwa jua kubeba zege na kushindia mlo mmoja.
Nikweli mkuu nipe faida tano za ndoa ambae mimi sina ndoa sipati ? Kama unahisi ata mimi nina ndoa ila sijitambui, kwa nn dunia iweke vyeti na mashaidi na saini kwenye karatasi kama ushaidi wa ndoa?
 
Tungeanza na tofauti ya maneno hayo mawili kwanza mkuu. Kama unajua tupe msaada . Alafu ndo turudi kwenye sababu za kukataa au kukubali.
Ewaaa hapo ndo pa kuanzia binafsi najua machache ndo maana nikauliza kwanza
 
Tungeanza na tofauti ya maneno hayo mawili kwanza mkuu. Kama unajua tupe msaada . Alafu ndo turudi kwenye sababu za kukataa au kukubali.
Ndoa kwa tz zilianza majuzi tu , ila kuoa ni natural kabsa , jambo ambalo ata wanyama wanalifanya.
 
Nikweli mkuu nipe faida tano za ndoa ambae mimi sina ndoa sipati ? Kama unahisi ata mimi nina ndoa ila sijitambui, kwa nn dunia iweke vyeti na mashaidi na saini kwenye karatasi kama ushaidi wa ndoa?
Hauna ndoa ipi ? Wakati ndoa unayo Tyr.

Ndo maana nimewaambia kasomeni kwanza, hayo material mbona hata google yapo mengi kapitie japo mawili au matatu ili ujue unachokiogopa na kukataa ni kitu Gani wakati ushakifanya .
 
Utamjuaje mtu mkuu moyo wa mtu ni kichaka , ww Jilie mbususu ila kumjua mtu haiwezekani .
Mchunguze kwanza kabla ya kumuoa na hakikisha umemjua vyema, mtu hawezi kukuigizia kila siku akipata uhakika wa kuolewa atajisahau na kuonssha tabia yake kama alikuwa ni mchafu.

Pia unaweza kuoa ukaona ametulia ila kama ukaribu mkubwa upo kwa dada yake au mama yake kitu kidogo analetewa yeye basi hapo simama na msimamo wako hutaki huo ujinga. Ukija kuzubaa utalalamika kama hawa wengine hapa. Mengine inabidi uwe kama mwanaume na msimamo ndiyo ndoa itatulizana ukizubaa tu utalia
 
Mbona wachungaji ndoa zao zinadum na hawaachan ina maana wao wanaishi kama malaika ndan????

Natamani kujua!! Yamkini ikatujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…