Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
kinachofany ndoa tuione km utumwa ni vile inataka ulale na mke/mme mmoja tu maisha yako yote wakat kiuhalisia na ktk nature hakun mtu mwenye kulimdu hilo, otherwise awe mgonjwa
Mkuu unaweza ukawa nayo na ukalala ma wengi tu mbona
 
Narudia tena.

Ndoa ni nomino.

Kuoa ni kitenzi .

Haiwezikani ukasema nimeoa alafu muda huohuo useme Sina ndoa. au useme Nina ndoa ila sijaoa.

Ndoa ni Hali inayoweza kumpata mtu muda wowote. Kuoa ni kitendo cha kuishi maisha ya ndoa. Hicho mnachokikataa kipeni jina.
 
Sawa lakn unakuwa unaish kinyume na sheria ya ndoa
Kama ndoa ni kuishi na mwanamke tu naishije nje tena ya sheria za ndoa ?angalau ata kidgo ndoa za kiislamu zna faida unapiga threesome kila mtu anajua ni halali , ila likibuma lazima ulie tu ila kuna kafaida[emoji3][emoji3]
 
Narudia tena.

Ndoa ni nomino.

Kuoa ni kitenzi .

Haiwezikani ukasema nimeoa alafu muda huohuo useme Sina ndoa. au useme Nina ndoa ila sijaoa.

Ndoa ni Hali inayoweza kumpata muda wowote. Kuoa ni kitendo cha kuishi maisha ya ndoa. Hicho mnachokikataa kipeni jina.
Kama ni hivyo mbona wana zengo wanasema mnaishi bila ndoa , wakati kila mtu anajua sasa mimi nimeoa?
 
Narudia tena.

Ndoa ni nomino.

Kuoa ni kitenzi .

Haiwezikani ukasema nimeoa alafu muda huohuo useme Sina ndoa. au useme Nina ndoa ila sijaoa.

Ndoa ni Hali inayoweza kumpata muda wowote. Kuoa ni kitendo cha kuishi maisha ya ndoa. Hicho mnachokikataa kipeni jina.
Hiyo itakuwa familia sasa
 
Lakini umekubali kwamba hizo Sheria zipo.
Ndio maana nikasema ziangaliwe kikubwa sio kuangaika tena na wengi wa watu wanaokataa

Zipitiwe hoja zao kuweka ligi haitosaidia hawa wa kataa ndoa wengi wapo kwenye umri wa kuoa au walishaoa wakaacha au umri ushaenda bado wapo na misimamo yao

Nimeona mdau hapo juu akisema Kwani mwanamke akichukua mali zako na analea watoto wako kuna shida gani

Angalia anavyorahisisha kwa kizazi hiki na mengi kwa sasa wanashuhudia vita ya kwenye ndoa

Wengi zamani ilikua inaishia chumbani hapa zikipigwa kura unaona kabisa wapi pameelemewa

Sasa chakufanya endelea kuchukua maoni kawambie vijana huko mbele mabinti wengi watazalishwa kwao
 
Kenya wamebadi sheria moja kubwa sna ya kipuuzi kwenye ndoa .
 
Ukiishi pamoja na hio familia ndio NDOA (umeoa) Sasa, hata kama hujafanya harusi.
Mkuu harusi ni sherehe tu watu wanaishi na mwanamke then wanafunga ndoa wakitoka apo kama wanauwezo wanaenda ukumbni kwa harusi , kuna vitu vitatu apo .
 
Back
Top Bottom