Kwahiyo unapita kuuliza wanawake walio period wanajiskiaje? We ni vampire?

Mimba mtawapa hao mazombie
Wasiojielewa
Wewe pia tunatia mimba ukikipanua tu kwani shilling ngap? Ila ndoa utaisikia kwenye bomba na kutegemea misheria yenu mibovu
 
Sasa kwanini watu hufunga ndoa kwa kusaini cheti.., cheti cha nini ilihali miezi sita tayari ni ndoa? Unasaini iki iweje?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utapigwa za uso mpaka akili ikukae sawa.

Ww mm naweza kutumia Cheti cha ndoa nikakulipisha faini kwa kukuta na mwanamke niliasaini NAE hicho Cheti

Ila ww hata ukinikuta red-handed huwezi kufanya chochote kwa kututhibitishia kuwa ni Mali Yako .


Muda huohuo huyohuyo Demu wako unaeishi NAE ikitimia wakati unamuacha kwa kukurupuka ana haki ya kupata fidia pasina hicho Cheti

UTAKUFA VIBAYA WW NAKUHURUMIA.


Kataa Sheria Mbovu za ndoa na sio kukataa ndoa . Ni vitu viwili tofauti.
 
Wewe pia tunatia mimba ukikipanua tu kwani shilling ngap? Ila ndoa utaisikia kwenye bomba na kutegemea misheria yenu mibovu
Kwahiyo unahisi kila mtu humu hajaolewa. Pole sana ndo madhara ya kulelewa mtaani. Mnapinga ndoa kwasababu mmeona negativity tupu na mmeshindwa kuzichuja
 
Okey mkuu. Binafsi naamini mwanaume yoyote ana wajibu wa kuwa na familia anayoitunza na kuilinda na hiyo familia lazima iwe na msaidizi na msimamizi wa malezi aitwaye mama. As long as mwanaume una mtu wa aina hiyo ni sawa tu hata kama hujafunga ndoa hizi za mikataba.

Mwanaume kuzaa hoyo hovyo na mabinti ambao nao wanazalishwa hovyo hovyo sio sawa sababu itakuwa Kama mbwa tu, wanavyopandana kisha wanazaana.
 
Haha, we kweli hamnazo, unahitaji siku 180 kuzalisha mwanamke mtoto mmoja au wawili? We jamaa vipi wewe, mbona huna hoja kabisa
 
Sasa nikikukuta nae si nakuachia tu uendelee naye navuta chuma kipya toka kwenye nailoni.., wewe mwenye cheti unaweza fanya hivyo? 😂😂, hiyo fidia pasipo kudhibitisha ndoa itatoka wapi, kwamba nikikaa nae miezi 6 kinyumba unadhibitisha vipi, nikikwambia tulikuwa na ugomvi ila tukaamua kuficha ili kukea watoto utabisha? 😂😂, pambaneni na shida zenu peke yenu, sisi hatutaki bhana 😂😂
 
Cheti naweza nikakipata bila kuoa Cheti sio issue mkuu.
 
Kila mwanamme anapenda kuwa na familia ila kinachowachosha ni tabia mbovu za wake zao. wawake wamepewa madaraka na uhuru wasio sitahili ndiyo maana jamii kama za wahindi na waarabu hawajatoa uhuru kwa wanawake kama jamii zetu. mwanamke anapaswa kuongozwa na kusimamiwa na mwanamme.

Turudi katika utaratibu wetu wa kuoa kama zamani. Unatoa mahari tuu unapewa mke. kusiwepo na mambo ya kufunga ndoa maana ni majanga matupu.
 
Cheti naweza nikakipata bila kuoa Cheti sio issue mkuu.
Nimekuuliza, wewe mwenye cheti cha ndoa, ukikuta mkeo kainamishwa chuma mboga au mbuzi kagoma, unaweza ukamsusia huyo uliyemfumania na kwenda kuvuta pisi kali nyingine na kuweka ndani ilihali umeshasaini nae mkataba? Na je, unaposema mimi nitadaiwa fidia, nitadaiwa bila ushahidi wa ndoa? Kwamba tuliishi miezi6, nikikwambia tulikuwa na ugomvi hivyo hatukuishi kinyumba kwa miezi hiyo sita bali tukifiacha tu ili kulea watoto utabisha?
 
Kwanza mtoa mada una maoni gani kuhusu 50/50?
Kama unaona ni vyema na haki basi ulichoandika hapa hakina maana
Naunga mkono hoja watu wakatae ndoa kwa nguvu zote
Ila kweli hii 50/50 ni matatizo! Wanataka usawa wakati hakunaga usawa. Wanawake wanaharakati wanaoleta hii kitu nao nawaweka kundi moja na wakataa ndoa. Wote wanaharibu jamii kwa kona 2 tofauti.
 
Huyo Demu wa kulea nae watoto yaani uliozaa NAE. Hata ukimuacha na mm namuacha tabu ipo kwa mwanao na kwako na huyo Demu wako mtachagua wenyewe.
 
Nadhani mkuu Tatizo ni kwamba watu wanapangiana. Naamini kila mtu akifanya kile ambacho anaona ni sahihi kwake hakutakuwa na ushindani. Nikimaanisha anayeoa aoe, anayefunga ndoa afunge, asiyetaka aachwe n.k
 
Huyo Demu wa kulea nae watoto yaani uliozaa NAE. Hata ukimuacha na mm namuacha tabu ipo kwa mwanao na kwako na huyo Demu wako mtachagua wenyewe.
Hujajibu hoja. Umesema kwamba mimi nisiye na cheti sina la kufanya nikifumania na kwamba bado nikimuacha nitadaiwa fidia.

Sasa nauliza.

1.)Mimi nikifumania naweza kumsusa huyo kahaba na kuvuta pisi nyingine, maana sina cheti wala mkataba nae, je, wewe unaweza kufanya hivyo ilihali umeshajitia kitanzi cha kusaini tena mbele ya mashahidi?!

2.) Miki nitadaiwa vipi fidia bila kudhibitisha ndoa ilikuwepo, hakuna cheti, na hata kuishi nae miezi sita utadhibitishaje tuliishi kinyumba kwa kipindi hicho, nikikwambia tulikiwa na ugomvi wa mizi mitano kati ya hiyo 6 na hapakuwa na unyumba kati yetu bali tulificha tu ili kulea watoto, utabisha?!
 
NEVER.

UTAPATA WA KUFANANA NAE.

Kama ww unainamisha wengine wako NAE atagawa tu.

Yoyote kati ya Hilo ni udhaifu wako .
 
We kweli lofa kwaio mama wa watoto wako KAHABA.

Basi umepata wa kufanana nae.
 
NEVER.

UTAPATA WA KUFANANA NAE.

Kama ww unainamisha wengine wako NAE atagawa tu.

Yoyote kati ya Hilo ni udhaifu wako .
Wewe jamaa network imeanza kukata nini? Nakuuliza hili wewe unajibu kitu kisichoeleweka, sasa wakufanana nae nicjibu la swali gani hapo? 😂😂
 
Mbona hili nimeshakujibu. Nimekuuliza ww unaweza kukaa na mwanamke asiye haramu yako kwa huo muda bila kumgonga. Tuthibitishie huo ushoga wako? Simple tu . Hayo mengine utajua ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…