Hujajibu hoja. Umesema kwamba mimi nisiye na cheti sina la kufanya nikifumania na kwamba bado nikimuacha nitadaiwa fidia.
Sasa nauliza.
1.)Mimi nikifumania naweza kumsusa huyo kahaba na kuvuta pisi nyingine, maana sina cheti wala mkataba nae, je, wewe unaweza kufanya hivyo ilihali umeshajitia kitanzi cha kusaini tena mbele ya mashahidi?!
2.) Miki nitadaiwa vipi fidia bila kudhibitisha ndoa ilikuwepo, hakuna cheti, na hata kuishi nae miezi sita utadhibitishaje tuliishi kinyumba kwa kipindi hicho, nikikwambia tulikiwa na ugomvi wa mizi mitano kati ya hiyo 6 na hapakuwa na unyumba kati yetu bali tulificha tu ili kulea watoto, utabisha?!