Mi ndo kwanza nimetoka kuoa mke wa pili but from Zambia.
"Mwanaume rijali ni ngumu kuishi na mwanamke mmoja,na kama ana ana uwezo aoe zaidi" dini inaniruhusu kufanya hivyo.
Ongera mkuu lakini hakikisha kipato kiwe Cha uhakika siokufungua flaizi tu mwisho wA siku utaleta mrejesho hapa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wadada mliodondosha bikra zenu njooni kuna mtu anawaita ngumbaru 😁😁
Ila ukiwa timamu utagundua ndoa ni utapeli uliohalalishwa 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kampeni yakataa ndoa ipo seriously ndio maana single mama wanaongezeka kila kukicha.
 
Vipi wewe ni shoga au una matatizo ya nguvu za kiume!!? Kwa nini unaenda kinyume na amri ya Mungu!!? Mungu alisema nendeni mkaijaze dunia sasa msipooana dunia mtaijaza vipi?
 
Kwa hapa mjini utajisumbua yaani vijana wa mjini wanajua mission za mjini na asili wa wanawake wa mjini ni balaa.

Hata wewe unawezaje kuoa hapa mjini magonjwa kibao ,madogo wanakaa uchi vinguo vya kulalia wanazunguka navyo mtaani ...Kwa uelewa tu wa kawaida tabia za mijini Zina athiri sana miendeno ya wanwake wangapi wametoka bush wakija vyuo Dar wanabadilika.

Wanawake wa kuoa wapo ila si mijini hapa ngono ni kama kunywa maji na ni Bei che ,moja kwa moja hapo hii tabia inapoteza maana halisi ya ndoa
 
Yani kama unashiriki mapenzi, hujakwepa ndoa, bado changamoto za mapenzi, utaziishi tu, mfano hao wake za watu unaowaginga, wanagarama zake, na ni matumaini yangu, kuna siku utalipa garama zake juu ya hao, wake za watu, Ogopa kupakwa Mafuta.
Hoja yako ni ipi sasa hapo!? Sisi hatutaki kufunga ndoa ila kuwatafuna tunawatafuna kama kawa. Hekaheka mnazopitia wanandoa tunazifahamu na ndo zinazofanya tusiingie kwenye hiyo taasisi.
#KATAANDOA
 
Hoja yako ni ipi sasa hapo!? Sisi hatutaki kufunga ndoa ila kuwatafuna tunawatafuna kama kawa. Hekaheka mnazopitia wanandoa tunazifahamu na ndo zinazofanya tusiingie kwenye hiyo taasisi.
#KATAANDOA
Hakuna heka heka anazo pata mwana ndoa mtafunaji akazikosa, hivi unamkumbuka yule mwanariadha Oscar Pistous, wa Afrika kusini, aliye mpiga hawara yake risasi. hawakuona ila wote wameziishi Changamoto za mahusiano mmoja kapoteza maisha, mwingine, ametumikia kifungo, ingawa hakiendani tukio lenyewe, na amepoteza kalia yake kwenye riadha.

Hivyo hoja yangu, ili kukwepa changomoto jibu siyo kuto owa, jibu ni kudungwa Sindano ya kuondoa nguvu za kiume na kuwa HANISI.
Lakini ukiacha nguvu za kiume zifanye kazi, lazima utaziishi changamoto zake.
 
Mkuu sheria za ndoa ni zakipumbavu mno haki sawa na ujinga mwingi ziwapa wanawake viburi mno ,sio huku tz tu dunia nzima wanaogopa ndoa ni bora kuishi tu bila ndoa angalau kidgo heshima inakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…