Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Umeelezea vizuri sana KakaKwa hapa mjini utajisumbua yaani vijana wa mjini wanajua mission za mjini na asili wa wanawake wa mjini ni balaa.
Hata wewe unawezaje kuoa hapa mjini magonjwa kibao ,madogo wanakaa uchi vinguo vya kulalia wanazunguka navyo mtaani ...Kwa uelewa tu wa kawaida tabia za mijini Zina athiri sana miendeno ya wanwake wangapi wametoka bush wakija vyuo Dar wanabadilika.
Wanawake wa kuoa wapo ila si mijini hapa ngono ni kama kunywa maji na ni Bei che ,moja kwa moja hapo hii tabia inapoteza maana halisi ya ndoa
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app