Umeelezea vizuri sana KakaKwa hapa mjini utajisumbua yaani vijana wa mjini wanajua mission za mjini na asili wa wanawake wa mjini ni balaa.
Hata wewe unawezaje kuoa hapa mjini magonjwa kibao ,madogo wanakaa uchi vinguo vya kulalia wanazunguka navyo mtaani ...Kwa uelewa tu wa kawaida tabia za mijini Zina athiri sana miendeno ya wanwake wangapi wametoka bush wakija vyuo Dar wanabadilika.
Wanawake wa kuoa wapo ila si mijini hapa ngono ni kama kunywa maji na ni Bei che ,moja kwa moja hapo hii tabia inapoteza maana halisi ya ndoa
Japo ajira yangu ni ndogo below 500,000 and above 450,000 as salary per month napambana na kilimo na ufugaji wa kibiashara ambavyo vyote kwa pamoja vinaniingizia zaidi ya 10 mil mwisho wa msimu,ndani mahindi zaidi ya gunia 50 za kula tu kwa nini niogope kuongeza wake zaidi ilihali urijali nimeumbiwa. Endeleeni kungoja ngoja kwanza zinaa nje ya ndoa itawakosesha pepoOngera mkuu lakini hakikisha kipato kiwe Cha uhakika siokufungua flaizi tu mwisho wA siku utaleta mrejesho hapa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
NDOA HAIKOMOLEWIHUWEZI KUSHINDANA NA MWANAMKE NDUGU YANGU.
HAIKOMOLEWI.
We una mtindio wa ubongo? Kwahiyo hata nikiishi na dada yangu miezi 6 tayari ni ndoa? Kwamba katika kipindi hicho hapatakiwi kuwa na element ya unyumba ambayo inatakiwa idhibitishwe kwamba ilikuwepo? (Kuishi kama mume na mke)? , kwamba ili mradi mmeishi tu na hakuna cha ziada hapo? Basi hata mama yako mzazi ni mkeo, maana ni mwanamke na umeishi nae kwa miezi 6, sivyo? Na kama kuna kioengele cha kuishi kinyumba , huo unyumba unaudhibitishaje endapo nitakwambia tukikuwa na ugomvi kwa miezi mi5 kati ya hiyo 6 na hatukuwa na unyumba, utabisha?Mbona kila mara nakujibu hili swali wewe kiazi.
Nimekwambia unaekaa NAE kwa huo muda Tyr ni mkeo na hata wewe umethibitisha hivyo ndio cheo ulichompa hicho Cheti ni ziada tu. Bado hujakataa Ndoa ww.
Ukikuwa utaacha utoto.
Maana kila mara nakwambia .
Ndoa ni nomino.
Kuoa ni kitenzi.
Kua kua kua, huenda ukaacha utoto.
Kwa level Yako at-least ungekuja na slogan ya #KATAA SHERIA MBOVU ZA NDOA SIO KUOA WALA NDOA.
Kua .
Umeolewa wapi wewe unajipa moyo tu hapo una kihoro ndoa imebuma, hatutaki kuwaoaKwahiyo unahisi kila mtu humu hajaolewa. Pole sana ndo madhara ya kulelewa mtaani. Mnapinga ndoa kwasababu mmeona negativity tupu na mmeshindwa kuzichuja
Hakuna anaepinga kuoa, kuzaa, na kujenga familia, wanapinga ndoa! Ni kweli mnavichwa vizito namna hii au mnafanya kusudi?Vipi wewe ni shoga au una matatizo ya nguvu za kiume!!? Kwa nini unaenda kinyume na amri ya Mungu!!? Mungu alisema nendeni mkaijaze dunia sasa msipooana dunia mtaijaza vipi?
Ndo shida ya kulelewa na baa medi basi unadhani kila mtu ni kama mama akoUmeolewa wapi wewe unajipa moyo tu hapo una kihoro ndoa imebuma, hatutaki kuwaoa
We uolewe wapi wewe emu acha kujifananisha, uolewe wewe na mijibu michafu hivi huna nidhamu huyo mume kaoa shimo la taka au?Ndo shida ya kulelewa na baa medi basi unadhani kila mtu ni kama mama ako
Tuachane na mama zetu kwanza, turudi kwenye mada ya kukataa ndoaNdo shida ya kulelewa na baa medi basi unadhani kila mtu ni kama mama ako
Maana yake nendeni mkawatie mimba muijaze duniaVipi wewe ni shoga au una matatizo ya nguvu za kiume!!? Kwa nini unaenda kinyume na amri ya Mungu!!? Mungu alisema nendeni mkaijaze dunia sasa msipooana dunia mtaijaza vipi?
Kapanic huyo hana ndoa full maumivu hapo alipo anashinda na dildo tu muda mwingine vidole vinamsaidia hana ndoa, ana stress mwili mzimaTuachane na mama zetu kwanza, turudi kwenye mada ya kukataa ndoa
Mwanaume wa kujibiwa vizuri ni yule mwenye maneno mazuri. Humu mnaokashfu wanawake lazima tuwapepete hadi muelewe kuwa sisi ndo tunawazaa tungebana miguu kusingekua na fangas kama wewe msiothamini mwanamkeWe uolewe wapi wewe emu acha kujifananisha, uolewe wewe na mijibu michafu hivi huna nidhamu huyo mume kaoa shimo la taka au?
Tuanze kwenye swala kwamba kila mwanamke humu jf anatafuta ndoa au ni single mother au mdangaji. Hiyo dhana muifute na Adabu ifuate mkondoTuachane na mama zetu kwanza, turudi kwenye mada ya kukataa ndoa
Ndio inaonyesha sasa wewe ni kundi lipi mwanamke alieolewa na mwenye maadili hawezi kumjibu mwanaume ovyo ovyo hata kwenye social media, Ila nyinyi wadangaji ndio mnashupaza shingo alafu unasema umeolewa jamaa kaoa shimo la taka kwa ajili ya kujaza manii tu hio ndio kazi uliyobakiza huna kingine,Mwanaume wa kujibiwa vizuri ni yule mwenye maneno mazuri. Humu mnaokashfu wanawake lazima tuwapepete hadi muelewe kuwa sisi ndo tunawazaa tungebana miguu kusingekua na fangas kama wewe msiothamini mwanamke
Kizazi cha baamedi kinakuwaga na hasira. Mimba za kimboka hazijuagi baba sikulaumu. Ni mazingira uliyokulia yanakufanya uwaze kila mtu ni muuzajiKapanic huyo hana ndoa full maumivu hapo alipo anashinda na dildo tu muda mwingine vidole vinamsaidia hana ndoa, ana stress mwili mzima
Alooooh😂 yani unikashfu nikuangalie kisa we mwanaume? Hata ungekua nani. Kama huna adabu lazima urekebishwe! Kima weNdio inaonyesha sasa wewe ni kundi lipi mwanamke alieolewa na mwenye maadili hawezi kumjibu mwanaume ovyo ovyo hata kwenye social media, Ila nyinyi wadangaji ndio mnashupaza shingo alafu unasema umeolewa jamaa kaoa shimo la taka kwa ajili ya kujaza manii tu hio ndio kazi uliyobakiza huna kingine,
Achana na hayo, jadili kuhusu kataa ndoa tu, ndio uzihuu lengo lakeTuanze kwenye swala kwamba kila mwanamke humu jf anatafuta ndoa au ni single mother au mdangaji. Hiyo dhana muifute na Adabu ifuate mkondo
Unaona sasa ulivyo bonge la danga hadi kimboka unapajua mwanamke mwenye maadili anapajuaje kimboka kwa Malaya wauza uchi? Wewe endelea kujifariji hata utukane wazazi mimi sijamgusa mzazi wako, sababu naheshimu wazazi na sijalelewa katika maadili mabovu km yako wewe uliekosa ndoa na unataka kulazimisha ndoa, huolewi hata kwa kuroga na utawanga sanaKizazi cha baamedi kinakuwaga na hasira. Mimba za kimboka hazijuagi baba sikulaumu. Ni mazingira uliyokulia yanakufanya uwaze kila mtu ni muuzaji
Na mnavyojaza matusi ni part ya lengo la uzi? Kaungane na nguchiro anaetukana hamuwezi kukaa mnatukana watu tuwaangalie.Achana na hayo, jadili kuhusu kataa ndoa tu, ndio uzihuu lengo lake
Sista, mi huwa situkanani wala kujibizana na wanawake , ndivyo nilivyo. Ila usinijaribu. Achana na hayo yote, tusamehe pia kama tumekwazana huko.Na mnavyojaza matusi ni part ya lengo la uzi? Kaungane na nguchiro anaetukana hamuwezi kukaa mnatukana watu tuwaangalie.