Nimekwambia mwanamke haramu Yako. Ww ukamuweka Dada na mama Yako nikakuuliza hao ni haramu Yako?.
 
Hakuna sheria inayo sema lazima mwanaume aoe kwa wakristo sheria kumi hakuna sehemu ambayo kuna neno oa so kuoa ni maamuzi magumu sana kuishi na mtu mwingine aliye mjulia ukubwani
 
Sio miezi 5 tu hata miaka 2 kama mnaishi pamoja nyie jamii itawatambua kama mke na mume.
 
Kampeni zinazohamasisha watu kukataa ndoa zisipewe nafasi kwa kuwa hazina nia njema ya kujenga jamii, kinyume chake zinaharibu maadili yetu kama watanzania

Wewe unayeshawishi watu wasioe umelelewa kwenye ndoa halafu unapotosha wengine wasioe .
Wew ndo inabidi upigwe ban

Kataa Ndoa kwa Afya ya Akili yako!
 
Ona ilivomuuma.

Kwani hapo umetukaniwa mzazi ? au umekosa jibu ?

Tunataka reference kutoka kwenye uhalisia tukianza na kwenye familia yenu.

Kwani ukisema mama angu aliolewa ila hajafunga ndoa ni tusi ?

Au ukisema mama angu hajaolewa Wala hajafunga ndoa ni tusi ?

[emoji1787][emoji1787]
 
Nimekwambia mwanamke haramu Yako. Ww ukamuweka Dada na mama Yako nikakuuliza hao ni haramu Yako?.
Haya kwakuwa tunakubaliana sasa kwamba ili ihesabike ndoa inabidi muishi kama mume na mke (Unyumba) kwa miezi 6, sasa jibu hiyo hoja hapo chini

Endapo nikasema katika kipindi cha miezi mi5 kati ya hiyo miezi 6 tulikiwa na ugomvi na hivyo hatukuwa na unyumba bali tulificha tu ugomvi wetu ili kulea watoto wetu, utabisha?
 
Mkuu nimekwambia.

Kuoa ni nomino.
Ndoa ni kitenzi.

Yaani kama usingizi na kusinzia. Huwezi kusinzia ukasema Sina usingizi.
Mimi na wewe tumeelewana

Pitia na hapa comment za mwanzo mwanzo kwenye huu uzi ni za moto haswa

 
Sio miezi 5 tu hata miaka 2 kama mnaishi pamoja nyie jamii itawatambua kama mke na mume.
Haha, haya, nikisema kati ya hiyo miezi 24 (miaka miwili) , miezi 23 kati ya hiyo 24 tulikuwa na ugomvi nanhapakuwa na unyumba, bali tualiamua tu kuficha ugomvi wetu ili tulee watoto wetu, utabisha?
 
Na kwann uoe asiyefunzwa na mama yake,huko ni kujitakia at your own risk
Mkuu kwani nisipo oa nikawa naishi tu nikiwa na haja ya kimwili naita namaliza shida zngu kila mtu anafata yake , kutakuwa na shida gani ? Coz hao wenye adabu ni wabaya kisura na kiumbo na mm kamwe siwezi aisee nitamnyanyasa tu kihisia.
 
Haya tufafanulie kuoa ni kufanya nini ? na kufunga ndoa ni kufanya nini ?
Huko kote tumeshafafanuliana, kwamba kuoa hakuna cheti, bali ndoa inahusisha cheti, na ukasema kwamba hata kama hakuna cheti bado ukiishi nae tu kwa miezi 6 kama mume na mke (kiunyumba) tayari inakuwa ndoa. Ndio nikasema sasa, endapo nikisema kwamba miezi mi5 kati ya hiyo 6 tulikuwa na ugomvi na hivyo hapakuwa na unyumba bali tuliamua tu kuficha ugomvi wetu ili kulea watoto, utabisha? Ukasema hata miaka miwili pia (miezi 24), nikakuuliza tena, vipi kama miezi 23 kati ya hiyo 24 tulikuwa na ugomvi na hapakuwa na unyumba, bali tuliamua tu kuficha ili kulea watoto, utabisha?
 
Hao watoto umewapata na nani ?Kama ni yy huyo unaeishi NAE Basi hata ikiwa ni ugomvi wa mwaka bila unyumba , Sheria itakutambua kama mume wake.

Kama sio watoto wa huyo mwanamke, lakini mmelea pamoja akiwa ndani kwako, utalipa fidia ya huo muda wake huo pasina kujali kama ulikuwa unamgonga ama laah.
 
Aliekwambia OA ni nomino nani ?

Kasomeni,. Naona wengine mnaandika hata msichokijua .
Unashambulia personality sna hoja ni kwamba watoto wakike mbadilike hasa hwa wazuri wa sura na umbo , tunapenda kuwaoa mno ila watu wanaoa sura mbovu na umbo baya kwa sababu hawa hawana soko na ujanja , inabidi waigize tabia njema, ndio maana mwenye ndoa wngi wanawaumiza wake zao kihisia kwasababu atachepuka na mzuri tu.
 
Mkuu kwani nisipo oa nikawa naishi tu nikiwa na haja ya kimwili naita namaliza shida zngu kila mtu anafata yake , kutakuwa na shida gani ? Coz hao wenye adabu ni wabaya kisura na kiumbo na mm kamwe siwezi aisee nitamnyanyasa tu kihisia.
True,pia watu hawaelewi Kwamba ndoa sio kwa kila mtu
 
Kwamba nahitaji kulala na mwanamke kwa miezi 6 ili kumpa mimba? Yaani sheria iseme kwamba ili ihesabike kama ndoa inabidi pawe na unyumba kwa miezi 6, halafu sheria hiyohiyo ije iseme, hata kama hapakuwa na unyumba kwa miezi 6 anahesabika kama mke wa ndoa. Sasa sheria ipi ipo sahihi? πŸ˜‚πŸ˜‚ Maana hapawezi kuwa na sheria 2 zinazokinzana, kipi ni kipi, sheria ipi tuifuate sasa πŸ˜‚πŸ˜‚

Na kusema mwanamke analea watoto wasio wake, na hapo hapo hamna uhusiano wa kiunyumba, huyo si ni house girl jamani na analipwa mshahara wake kama house girl tu wa kawaida, maana hiyi ni precise definition ya house girl, sasa house girl anaweza kukupeleka mahakamani kudai fidia? Fidia ya nini na alikuwa analipwa mshahara?
 
Mkuu kwani nisipo oa nikawa naishi tu nikiwa na haja ya kimwili naita namaliza shida zngu kila mtu anafata yake , kutakuwa na shida gani ? Coz hao wenye adabu ni wabaya kisura na kiumbo na mm kamwe siwezi aisee nitamnyanyasa tu kihisia.
Hapo ndio utakuwa umekataa ndoa Sasa. Sie ww unaeishi na mwanamke ndani mwako pika pakua alafu useme unakataa ndoa. Sema umeoa bila kujua kama una ndoa.
 
Achana na mzazi wangu unaongea na Mimi sio mzazi wangu, ushaelewa nimekwambia onyesha palipoandikwa nendeni duniani mkaoane na kufunga ndoa, km hakuna sema ulipo nije nirutubishe hayo mayai yaliyokosa rutuba tuendelee kuijaza dunia maana hilo ndio agizo kuu tulilopewa sio kuoana na kufunga ndoa

KATAA NDOA
 
Mkuu Dozi ni kulingana na ugonjwa. Ukijibu personal nakujibu personal ukileta hoja nakujibu hoja.

Ili kunogesha kataa ndoa inabidi usioe . Sio uoe alafu useme unakataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…