Mtembezi Kichomi
JF-Expert Member
- Feb 24, 2022
- 696
- 993
Nimekwambia mwanamke haramu Yako. Ww ukamuweka Dada na mama Yako nikakuuliza hao ni haramu Yako?.Wewe umesema ukishi na mwanamke, na hukuweka kipengele cha unyumba na ndio maana nikatoa mfano wa dada ambae hakuna unyumba, nae atakuwa mke? Sasa kwakuwa umekiri unyumba ni lazima jibu hoja hiyo chini.
Kwamba nikisema tulikuwa na ugomvi kwa miezi mi5 kati ya hiyo 6 hivyo hapakuwa na unyumba bali tulificha ili tu kulea watoto, utabisha?