Wakija na hiyo ya kumvua chupi ni mkeo jana tu [emoji3][emoji3] Leo ungekuta nina mke mpya[emoji3][emoji3]Pamoja mkuu lazima tuje na mikakati thabiti sio kulalamika na kulialia badala ya kurejesha nguvu huko. Vinginevo watakuja sema ukimvua tu chupi ni mkeo halali na sisi tupo hapahapa. Kama mbinu zetu zenyewe ndio hizi bado tutaumizwa tu .
Otherwise Chaputa ihusike[emoji1787]
Awezi nifanya mhanga mkuu , anajitahidi kunishawishi ni mke mwema namwangalia tuChanga karata zako vizuri Mkuu, asikufanye muhanga .
Mkuu.Mashoga hawawez kukataa ndoa kwa sababu na wao wana ndoa zao kisheria ambazo zina simamiwa na sheria hizo hizo zinazosimamia ndoa ya me na ke.
Hakuna aliyekulazimisha kuoa, ona unavyohangaika kwa stress!!!mashoga wako kazini. ni ajabu jf mods hawachukui hatua
Ishi NAE kwa wema . Thanks me later.Awezi nifanya mhanga mkuu , anajitahidi kunishawishi ni mke mwema namwangalia tu
Mkuu tukutane kwenye dibate nyingine.[emoji16]Wakija na hiyo ya kumvua chupi ni mkeo jana tu [emoji3][emoji3] Leo ungekuta nina mke mpya[emoji3][emoji3]
[emoji106]Mkuu tukutane kwenye dibate nyingine.[emoji16]
Ndio maana nikawa nasema kinachopingwa sio Ndoa Bali ni SHERIA MBOVU ZA NDOA. Na hizo Sheria zinaweza kurekebisha kwa kuanzisha mijadala ya wazi.Ingawa ndoa ni gereza dogo lakini ina umuhimu
Ndoa ni utu na upendo kama hivyo havipo kataa ndoa.Ingawa ndoa ni gereza dogo lakini ina umuhimu
na hakuna aliyekulazimisha uwe shoga pia....and for your info sina stress yoyote, wewe ni mpumbavu tu unayedhani kila anayepinga ushoga ana stress. Ninyi machoko ndiye mmejaa stress za kufa mpaka mnaona mchokonolewe ndipo zitawaisha.Hakuna aliyekulazimisha kuoa, ona unavyohangaika kwa stress!!!
Ndoa inamaana sana kwa mwanamke...labda pia na kwa mwanaume mjinga.
KATAA NDOAMkuu.
Ukiishi ndani na mwanamke akihitaji kukudhuru ni dakika 0 tu .
Hakuna ujanja eti uishi na mwanamke ndani bila hicho Cheti ndio ukadai umemuweza. Narudia tena "HAJAKUTAKA"
Sheria mbovu iliyofuata mapendekezo ya wanawake tu bila kujali mapendekezo ya wanaume, Sheria mbovu kuwahi kutokea..Kuishi na mwanamke miezi 6 ni umefunga ndoa ni sheria mbovu isiyotekelezeka kisheria .
Kwahiyo wewe ndio unatunga hii sheria au unatoa wapi hizi kanuni 😂😂. Haya tufanye nakaa na house girl wawili Wasio wanafamilia, ni wanawake na si haramu, na hatushiriki unyumba, wanakuwa wake zangu kwa hiyo sheria? Tufanye mimi ni muislam na naruhusiwa wake wawilMazingira
1. Unakaa na huyo house girl peke ake ? (Una makubaliano ya kimkataba kwamba huyo ni house girl)
2.Kama mnakaa wengi wanafamilia basi house girl ni excluded, tunategemea kuwepo kwa muhusika mwingine.
Upinde huwa wanaoa? Tofautisha kuoa na kufunga ndoaAchana na hao Upinde huwezi kushindana nao
kipi kilichokuvutia kwake mpaka ukaamua ufunge nae ndoa?Wee huniambii kitu nikakuelewa,
Ningekuwa sijawahi kuoa hapo sawa,
Mimi nilifunga ndoa kabisa ya kiislamu ila mwanamke alipoanza kunipangia ratiba ya kwichi kwichi (na mimi hii ndo starehe yangu kubwa), baadae akaanza kuniambia nitaondoka mimi yeye nimuachie nyumba akae na watoto (wakati nyumba yenyewe ya kupanga), ikafika kipindi nikawa hata kurudi nyumbani nachukia nikajikuta nafanya kazi masaa kumi na sita,
Mwanamke unaacha kila kitu ndani lakini hapiki badala yake anaenda kununua chipsi anakula na watoto (huyo alikuwa mama wa nyumbani) nilikuwa nampatia kila anachohitaji mwisho wa siku akawa anajisifu kwa watoto wa dada yangu kwa kuwaambia,
"huyo mjomba wenu mwenyewe nampelekesha"
Siku anaamua kuondoka nyumbani yeye mwenyewe akachukua kila kitu na bado narudi kazini nakuta barua kutoka chang'ombe polisi kanifungulia kesi kwamba nimemfukuza, nimemtolea vyombo nje (ninachoshukuru wale kina dada/mama walikuwa ni waelewa) na walijua kwamba yeye ndo mwenye matatizo hivyo walimuuliza tu, "kwa hiyo wewe unatakaje?"
Akajibu, "nahitaji kila mwezi anipe pesa kwa ajili ya watoto" (kimoyo moyo nikajisemea huyu kumbe anataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi chake)
Maana kabla hatujaachana nilishawahi kumwambia, "nakupa miezi mitatu fikiria ni biashara gani utakayoweza kufanya ambayo itakuwezesha kuhudumia watoto hata ikitokea siku nimekufa" huwezi amini ilipita miezi mitatu nakuja kumuuliza umefikia wapi, ananijibu l, "sijaona biashara ya kufanya", shiiit
Kifupi huyu mwanamke kuna kipindi nilikuwa naishi nae kwa tahadhari, maana nilikuwa naona kabisa tunapoelekea kuna siku mmoja atamuua mwenzie
Kisha mnajaribu kutushawishi tuoe, aaah weeee... tena kwa sasa hivi wapo na msimamo wao wa 50 kwa 50
Nakwambia, "Niache kidogo"
Mnapigwa spana hadi unanyoosha miguu juu km unajifungua, sasa ulichobakiza ni kujitetea kwamba kila anaesema KATAA NDOA ni mwanachama wa upindeAchana na hao Upinde huwezi kushindana nao
Hata akikutaka hana huo msuli. Halafu mnawaogopa wanawake, mbona wa kawaida tu? Mnakutana na mashangingiMkuu.
Ukiishi ndani na mwanamke akihitaji kukudhuru ni dakika 0 tu .
Hakuna ujanja eti uishi na mwanamke ndani bila hicho Cheti ndio ukadai umemuweza. Narudia tena "HAJAKUTAKA"