Ndugu kwani wewe unatafuta kitu gani kwa mwanamke? Yaani mkeo unataka awe wa namna gani. Weka sifa hapa unaweza pata. .
You just want a good woman that comes with a good pussy na bado hujampata?Nimezitaja hapo juu kwa kifupi kwa umri wangu huu kuna ishu kutoka kwa mwanamke sina interest zao sijui wowowo kubwa nop i need someone for the better future na sifa za kwaida tu za mke mwema.
You just want a good woman that comes with a good pussy na bado hujampata?
Wakati nimekata tamaa yani siku yule demu wangu ex Ummy tunabwagana. Siku hiyo ndio nikakutana na mke wangu. Tuna miaka tisa pamoja na aisee kanizalia watoto wazuri sana. Kila kitu kina mda wake. .
ShukraniHongera sana kaka
Ngoja nikuitie Luv mume ndo huyu hapaNimezitaja hapo juu kwa kifupi kwa umri wangu huu kuna ishu kutoka kwa mwanamke sina interest zao sijui wowowo kubwa nop i need someone for the better future na sifa za kwaida tu za mke mwema.
Ushakuwa mkubwa ni mda sahihi wa kufanya maamuzi .
Kwanza hongera kwa kuwapuuza hao mashankupe jaribu kutulia kwa kipindi Kama hicho miruzi mingi sana ...Hayo unayoishi na Maisha yako usiangalie ya mwengine no matter utaoa Lin kikubwa upate aliye sahihi na kweli unaweza kuhimili mikiki ya ndoa plus kuhudumia familia.
Shukrani
Dada zangu waliobaki mitihani[emoji51] ningekupa mmoja bure ila watoto wa kichaga sidhan kama ungewaweza
Mkuu kabla hujaingia kwenye NDOA, hakikisha una uwezo wa kuhudumia familia(kiuchumi), narudia tena hakikisha unaweza kuhudumia familia yako. Haijalishi una kipato gani ila hakikisha kinatosha kufanya hilo Jukumu bila wasiwasi wowote.Natakiwa niwe kama na Shs ngapi vile, sema nimekulia malezi ya tofauti wazazi wangu hawakuamini pesa ni upendo
1.MASANJABila shaka huna pesa.........Tafuta pesa mdogo wangu.
Mkuu kabla hujaingia kwenye NDOA, hakikisha una uwezo wa kuhudumia familia(kiuchumi), narudia tena hakikisha unaweza kuhudumia familia yako. Haijalishi una kipato gani ila hakikisha kinatosha kufanya hilo Jukumu bila wasiwasi wowote.
"Ndoa ni baraka, ukishaoa utaona mambo yanakaa sawa, Ili mradi umempenda, wewe muoe tu, mengine utajua mbele kwa mbele". NDOA ni upendo wa dhati, mtasaidiana tu kutafuta wote.
Don't be this Desperate. Usiamini hizo kauli hapo Juu.
USHAURI: Focus na kutafuta Pesa, Mkeo utampata katika hizo hizo harakati zako. Relax
Be a Man. You deserve Better.
Hili nalo neno1.MASANJA
2.MANARA
3.MWAKA
4.NIKKI
HAWA WOTE PESA WANAZO, JE VIPI JUU YA MAHUSIANO YAO? PESA IMECHANGIA AU IMEHARIBU ?
NAKAZIATOKOMEZA NDOA
[emoji419][emoji419][emoji419]
Ndoa[emoji1787][emoji1787]
Ili inaonekana n tatizo aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa huyo hujui umuoe nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulimtolea mahali??watu huwa wanadhani vijana wanaokataa ndoa ni kwamba hawana wanawake au watoto swala ni hivi hatutaki kusaini mkataba wa maisha ambao obviously utampa jeuri mwanamke afu utakuharibia wewe mwanaume
nina mwanamke na mtoto mmoja ila huo mjicheti wao sijui wa ndoa sahau, hataki apite hivi aniachie mwanangu, nasema hivi ikiwezekana tubadili slogan kataa ndoa cheti ila kizazi hakikisha unakiendeleza zaa lea kuza maisha yaendelee, kikubwa tu usiwe mzinzi tunza misingi