Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Ndugu kwani wewe unatafuta kitu gani kwa mwanamke? Yaani mkeo unataka awe wa namna gani. Weka sifa hapa unaweza pata. .

Nimezitaja hapo juu kwa kifupi kwa umri wangu huu kuna ishu kutoka kwa mwanamke sina interest zao sijui wowowo kubwa nop i need someone for the better future na sifa za kwaida tu za mke mwema.
 
You just want a good woman that comes with a good pussy na bado hujampata?

Wakati nimekata tamaa yani siku yule demu wangu ex Ummy tunabwagana. Siku hiyo ndio nikakutana na mke wangu. Tuna miaka tisa pamoja na aisee kanizalia watoto wazuri sana. Kila kitu kina mda wake. .
 
Hongera sana kaka
 
Ushakuwa mkubwa ni mda sahihi wa kufanya maamuzi .

Kwanza hongera kwa kuwapuuza hao mashankupe jaribu kutulia kwa kipindi Kama hicho miruzi mingi sana ...Hayo unayoishi na Maisha yako usiangalie ya mwengine no matter utaoa Lin kikubwa upate aliye sahihi na kweli unaweza kuhimili mikiki ya ndoa plus kuhudumia familia.
 
Amina sana kaka,natumai ipo siku mambo yatakua mazuri
 
Shukrani
Dada zangu waliobaki mitihani[emoji51] ningekupa mmoja bure ila watoto wa kichaga sidhan kama ungewaweza

Ngojea niendelee kucheza kwa stepu kaka ipo siku mambo yatakaa njema
 
Natakiwa niwe kama na Shs ngapi vile, sema nimekulia malezi ya tofauti wazazi wangu hawakuamini pesa ni upendo
Mkuu kabla hujaingia kwenye NDOA, hakikisha una uwezo wa kuhudumia familia(kiuchumi), narudia tena hakikisha unaweza kuhudumia familia yako. Haijalishi una kipato gani ila hakikisha kinatosha kufanya hilo Jukumu bila wasiwasi wowote.

"Ndoa ni baraka, ukishaoa utaona mambo yanakaa sawa, Ili mradi umempenda, wewe muoe tu, mengine utajua mbele kwa mbele". NDOA ni upendo wa dhati, mtasaidiana tu kutafuta wote.
Don't be this Desperate. Usiamini hizo kauli hapo Juu.

USHAURI:
Focus na kutafuta Pesa, Mkeo utampata katika hizo hizo harakati zako. Relax
Be a Man. You deserve Better.
 
Asante sana kaka kwa ujumbe mzuri
 
Tunaposema kataa ndoa ulikuwa wapi. Ndoa ni ukoloni mamboleo na ni u nanazi mpya. Ni unyonyaji kwa mtu mweusi mwafrika. Hutanielewa. Jiuliza Harmonize Diamond mpaka leo hayafunga ndoa. Jiulize why wanawaze wengi wajichubua. Jibu hawapendi ngozi nyeusi. Wanawake wamekuwa too selective kataa ndoa wew utapigwa mizinga na utachunwa mpaka ngozi.kataa ndoa tuwaachie wahindi na wafilipino
 
Ndoa[emoji1787][emoji1787]

Ili inaonekana n tatizo aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa huyo hujui umuoe nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kipengele aisee
 
watu huwa wanadhani vijana wanaokataa ndoa ni kwamba hawana wanawake au watoto swala ni hivi hatutaki kusaini mkataba wa maisha ambao obviously utampa jeuri mwanamke afu utakuharibia wewe mwanaume
nina mwanamke na mtoto mmoja ila huo mjicheti wao sijui wa ndoa sahau, hataki apite hivi aniachie mwanangu, nasema hivi ikiwezekana tubadili slogan kataa ndoa cheti ila kizazi hakikisha unakiendeleza zaa lea kuza maisha yaendelee, kikubwa tu usiwe mzinzi tunza misingi
Ulimtolea mahali??
Kuna mila pia vipi umekaa nae baada ya wazee wa pande mbili kuridhia au ni sogea tuishi.

Fuatilia sheria mkuu, huenda unakimbia kivuli chako mwenyewe.
Kwani ndoa ni cheti?? Mtaani hapo wewe unafahamika kama single au upo ndoani??
 
Back
Top Bottom