Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kuheshimika ndo nini maana kuna mapunga yameoa na yenyewe yanaheshimika yana familia...

So kinachokuamsha asubuhi kuendesha campaign kukataa ndoa ni nini?

Hiyo life lako unaloheshimika haliku fulfil mpaka uingilie maisha ya wenzio?

umeshindwa ku make life na mwanamke mlee mtoto waache wanaoweza walee,
don't bring everyone down with you,
TATIZO LIPO HAPA:

Wewe mkuu usichotaka ni kwamba hizi movement za kataa ndoa zisiwepo!!!
uwenda ukawa unakubaliana na hoja zetu ila wewe hutaki tuendelee ku expose hivi vitu.

kuna watu wanajifunza kupitia hii mijadala.
 
let me skull you
wakataa ndoa ni wanaume wanaotambua thamani yao, tuna value our freedom, respect and inner peace.
if you know so much about freedom then you should know to let the marrying kind marry and keep your unsolicited opinions and advice to yourselves....

If y'all so peaceful why y'all busy spreading Poison in other people's relationships? Kisa yamewashinda mnataka wote washindwe? Wacha wanaoenjoy ndoa na mahusiano yao waenjoy, sumu zenu kapigieni nyeto au wapeni madada poa mnaolala nao wanywe!

respect?? Ufanye ya maana utaheshimiwa tu whether Umeoa hujaoa,
sio kuzunguka na mabango mitaani usioe usioe halafu unarudi kupiga nyeto nyumbani kwako, what respect you talking about you is just a joker
 
Team kataa ndoa mkiumwa msiweze jihudumia sijui nani atakuwa anawachambisha

Utawala sio ubabe, utawala ni skills ambazo nyie mashoga hamuwezi kuwa nazo maana mna character za kike. Ndoa ni kwa ajili ya wanaume timamu.
Unapata wapi nguvu ya kumuita mwanaume mwenzako Shoga ushawahi mpa akashindwa
 
Unadinda?
Isije kua ni khanithi alafu ukaamua kuhamasisha na wenzio wasioe?

Kumbuka papuchi ya kununua hainogi kama ya kuimiliki mwenyewe.
we tukana tu, lakini ni wajinga pekee wataingia kwenye utapeli wa ndoa

ME smart na anayejielewa HAOI

rejea CR7, Bezo, Musk, DiCaprio, Cena, Aliko Dangote, Nassib Abdul

Kijana Kataa Utapeli , Kataa Ndoa
 
Hao wanaosema kataa ndoa wanajisemea tu.

Lakin kama watajihusisha na wanawake siku yoyote tu watakamatwa kizembe na hawataamin

Kukataa ndoa inabid uachane kabisa na mabinti hawa wamtaani yaan ukitaka kupunguza nyege unaenda kununua malaya hapo unaweza ukawaepuka
nani kakwambia wakataa ndoa hatujihusishi na wanawake.
sisi huwa hatunaga kaubinafsi . its just my time nakula good time then after anahamia kwa mwingine
 
Kuoa na kuolewa siyo lazima, na hatakiwi mtu kulazimishwa kuingia kwenye ndoa. Vilevile wale ambao hawataki ndoa hawatakiwi kuingilia maisha ya wale wanaotaka ndoa. Heshimuni uhuru na fikra za watu...

Tangu asili, ndoa ni taasisi muhimu sana kwa ustawi wa jamii na taifa, hivyo wale ambao wanaona hii taasisi haiwafai hawatakiwi wawashambulie wale ambao wanaona umuhimu wake.

Kubwa zaidi, taasisi ya ndoa iko kidini na kitamaduni (Taasisi ya Kiimani) hivyo kuishambulia huamsha hisia kali mno kwa watu. Hili lisipozingatiwa kuna watu watakuja kuumizana.
 
if you know so much about freedom then you should know to let the marrying kind marry and keep your unsolicited opinions and advice to yourselves....

If y'all so peaceful why y'all busy spreading Poison in other people's relationships? Kisa yamewashinda mnataka wote washindwe? Wacha wanaoenjoy ndoa na mahusiano yao waenjoy, sumu zenu kapigieni nyeto au wapeni madada poa mnaolala nao wanywe!

respect?? Ufanye ya maana utaheshimiwa tu whether Umeoa hujaoa,
sio kuzunguka na mabango mitaani usioe usioe halafu unarudi kupiga nyeto nyumbani kwako, what respect you talking about you is just a joker
mwanaume anapata faida gani anapokuwa kwenye ndoa?
 
Vijana wameamua kuufuta ushauri wa mwenyekiti wao jasiri dronedrake,
IMG-20190928-WA0001.jpeg
 
Back
Top Bottom