Hiki kizazi kipo very civilized
Mfano Mimi ni introvert sipendi kelele Wala kumfokea mtu au Mtu anipigie kelele pia sipendi kukaa karibu na mtu yoyote chumba kimoja
Maana yake Mimi sihitaji Mwanamke na sio dhambi sisi introvert tumeumbwa hivyo.
Ndoa zinapigiwa chapuo na watu wenye IQ ndogo wanaodhani Furaha yao inatokana na Binadamu
Mtu makini (Introvert) Hana shida na hizo na kampani fake za kuuana na kutiana Hasara.
Then mtu Kama Mimi sihitaji kuacha Legacy ya Mwanamke na mtoto hela zangu ndogo ntasaidia Yatima ,wafungwa ,wajane nk sio kwa ajili ya Mwanamke.
Nampogeza muhasisi wa kampeni ya Kataa Ndoa Mr
Liverpool VPN hakika wewe ni shujaa
Pia tuendelee na No Fap challenge no time to waste.