Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Nyie wapinga ndoa hoja zenu zina ukweli na uhalisia hasa kwa mtu aliyekutana na masahibu ya ndoa na kunusurika kuumiza au kuumizwa. Ndoa si kitu cha kukimbilia kutokana na migogoro ya kutisha ilyopo ndani ya ndoa japo mwanzoni ni raha na mapenzi motomoto. Ishu inakuja kama ndoa ikikataliwa ni jamii gani itajengwa? Ina maana wanawake wataishi na watoto wao peke yao? Maana kwa mtazamo wenu wameibuka hata wanawake hawataki ndoa ila mapenzi wanafanya na wanapata watoto bila baba wa kueleweka. Hii kampeni imeanza kimzahazaha itaenea kama moto kwenye msitu wa nyika. Wapo wengi tu wanaona ndoa ni mzigo, kuzaa wanazaa ila hawataki kuishi na waliozaa nao yaani mume na mke
 
Mkichuma wote it's okay
Wanaume wengi nnaowaona siku hizi wanatafuta wanawake wenye hela wawaoe. Dunia ilipofika wa kulalamika na kuogopa kugawana mali ni mwanamke maana marioo kibao mjini. Sema jf kila mwanaume mtaftaji😅 kila mwanaume ana gari lake wengine wanatamba wakati tunawajua makwao familia inahudumiwa na mkewe
 
Hali ni mbaya plus na uchumi ndoa unauona mzigo.
 
Agiza soda kwa mangi au kama ni mnywaji agiza kreti kwa mangi nitalipa Kizazi cha sa hiv kipo very sensei achna na hao wajomba na mishangazi ya 70’s huko wapambane na ndoa zao sis tunajua tunachofanya wasitupangie maisha
 
Wanaume wengi nnaowaona siku hizi wanatafuta wanawake wenye hela wawaoe. Dunia ilipofika wa kulalamika na kuogopa kugawana mali ni mwanamke maana marioo kibao mjini. Sema jf kila mwanaume mtaftaji😅 kila mwanaume ana gari lake wengine wanatamba wakati tunawajua makwao familia inahudumiwa na mkewe
sasa dada hao wanawake wenyehela wako wapi.kwenye asilimia Mia unaweza kusema wanafika hata asilimia 20?
 
Wewe umewaona wangapi? Takwimu ya wanaume wanaolelewa inashika kasi kuliko kawaida. Kila kona vibenten watoto hawataki kutafuta hela wanataka mserereko.
Na hela sio lazima ziwe za Mo. ela za kujikimu tu. Majukumu yanabadilika taratibu Inasikitisha
 
Vijana oweni, msidanganyane humu mitandaoni, maisha ya kununua mbususu yana gharama kubwa sana kiuchumi na kiafya.

Oweni wanawake wa type zenu ili ndoa zenu zidumu na ziwe na furaha, wengi wanafeli hapa.
...hakuna mwanaume hakuumbwa kuoa au mwanamke hakuumbwa kuolewa (hakuna under creation of God)

Wanaosapoti huu ujinga wa mtoa uzi wengi wao wamefeli huu mchakato wa kuowa na sasa wanahamasisha upuuzi (to feel good)

Ushauri kwa vijana wa kiume na kike....there's always a next chance in your life, kama umetendwa kwenye mapenzi, tuliza akili jaribu tena na tena.....

Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume ni km kuingia utu uzima peke yako nafuu kidogo kwa wanawake.

..hiyo process ya kuowa au kuolewa tafadhali sana msikurupuke , owa au olewa na anayekupenda kwa dhati na mwenye hofu ya Mungu, ...
..uzuri wa sura, makalio , Sixpack ajira na pesa sio sifa za kuoa au kuolewa...na 99% wanaofeli kwenye mahusiano walitumia vigezo hivyo, si mbaya kuwa navyo lakini viwe vya ziada.

Mwisho naomba niwatakie February njema wote watakaosoma post hii.
 
mbona kila nikitembea mjini naona vijana wengi wakiume ndio wapambanaji kuliko wakike?
 
Maupinde yalipopata sauti tu ya kujisemea duniani basi na makorokoro mengine nayo yanajiona yana haki ya kusema. Sasa kama mtu jogoo hapandi mtungi anaacha kula vitunguu swaumu apone anajikatia tamaa anakuja kushawishi vijana wengine wenye nguvu zao wasioe. Wanaokataa ndoa ni kwamba zana zao zimelegea hakuna defense nyingine. Kama zimetimia na hutaki kuoa basi we ndo unaelawiti hadi mbuzi 🌚
Hahaha. Halafu hii kukaa kaa mwenyewe unakuwa hutaki kukaa na watu ni hatari sana. Yaani ujifungie mwenyewe kila siku ukiulizwa unasema ww ni introvent hata mke hutaki. Ukiwa na mke hapo nyumbani panachangamshwa na watoto na majukumu. Sasa mwanaume unarudije nyumbani hakuna mke, hakuna mtoto wa kumpokea baba, hakuna changamoto za kutatua. Daah.
 
Ni wachawi😂 hata wachawi nao wanafamilia
 
Hiki kizazi kipo very civilized

Mfano Mimi ni introvert sipendi kelele Wala kumfokea mtu au Mtu anipigie kelele pia sipendi kukaa karibu na mtu yoyote chumba kimoja

Maana yake Mimi sihitaji Mwanamke na sio dhambi sisi introvert tumeumbwa hivyo.

Ndoa zinapigiwa chapuo na watu wenye IQ ndogo wanaodhani Furaha yao inatokana na Binadamu

Mtu makini (Introvert) Hana shida na hizo na kampani fake za kuuana na kutiana Hasara.

Then mtu Kama Mimi sihitaji kuacha Legacy ya Mwanamke na mtoto hela zangu ndogo ntasaidia Yatima ,wafungwa ,wajane nk sio kwa ajili ya Mwanamke.

Nampogeza muhasisi wa kampeni ya Kataa Ndoa Mr Liverpool VPN hakika wewe ni shujaa

Pia tuendelee na No Fap challenge no time to waste.
Nime-like, nika-unlike, nikajikuta nime-like tena...sijui kwa nini!
Enewei umeongea point sana mkuu kwa maisha ya sasa ambayo ni magumu yanayohitaji akili nyingi suala la kuishi na mke naona kama ni mtihani sana maana wanawake wengi wa sasa hawana maadili wala mafunzo ya kuishi na mme, wengi wao ni hawa waliolelewa na shule usomi mwingi na kutaka haki sawa akifanya kosa ukimsema kidogo tu anakuja juu hataki kujishusha wala kuomba msamaha yaani ni full majibizano mpaka utakoma!
Mabinti wa zamani walilelewa maadili ambayo waliandaliwa kuwa wake watiifu na wavumilivu ambao walijua kuomba msamaha wanapokosea, pia baba aliheshimika kama kichwa cha familia ndani ya nyumba lakini leo hii ni mfumo wa haki sawa baba anajibiwa majibu ya shombo na mkewe mbele ya watoto na hana ubavu wa kumpiga hata kibao mke.
Sasa kwa hali hii ni kweli mtu anayeoa anajipunguzia siku za kuishi.
Asilimia kubwa ya ndoa siku hizi ni majanga ndio maana wanaume tunakufa haraka uwaze kutafuta pesa kwa ajili ya familia yako bado uwaze changamoto za kuishi na mke pasua kichwa!
Kijana kimbia ndoa haifai!!!(japo mie nimeoa ila sio kivile)[emoji15]
 
Ndoa tamu muda wote ina chakata mbususu jikoni sebuleni bafuni mambo ya kulala pekee ako kama nyoka hapana aiseee

[mention]Unique Flower [/mention] amka Kipenz nipige Morning glory
emoji39.png
emoji7.png
emoji7.png
emoji7.png
emoji176.png
emoji176.png
emoji176.png
Vijana oweni, msidanganyane humu mitandaoni, maisha ya kununua mbususu yana gharama kubwa sana kiuchumi na kiafya.

Oweni wanawake wa type zenu ili ndoa zenu zidumu na ziwe na furaha, wengi wanafeli hapa.
...hakuna mwanaume hakuumbwa kuoa au mwanamke hakuumbwa kuolewa (hakuna under creation of God)

Wanaosapoti huu ujinga wa mtoa uzi wengi wao wamefeli huu mchakato wa kuowa na sasa wanahamasisha upuuzi (to feel good)

Ushauri kwa vijana wa kiume na kike....there's always a next chance in your life, kama umetendwa kwenye mapenzi, tuliza akili jaribu tena na tena.....

Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume ni km kuingia utu uzima peke yako nafuu kidogo kwa wanawake.

..hiyo process ya kuowa au kuolewa tafadhali sana msikurupuke , owa au olewa na anayekupenda kwa dhati na mwenye hofu ya Mungu, ...
..uzuri wa sura, makalio , Sixpack ajira na pesa sio sifa za kuoa au kuolewa...na 99% wanaofeli kwenye mahusiano walitumia vigezo hivyo, si mbaya kuwa navyo lakini viwe vya ziada.

Mwisho naomba niwatakie February njema wote watakaosoma post hii.
Nime-like, nika-unlike, nikajikuta nime-like tena...sijui kwa nini!
Enewei umeongea point sana mkuu kwa maisha ya sasa ambayo ni magumu yanayohitaji akili nyingi suala la kuishi na mke naona kama ni mtihani sana maana wanawake wengi wa sasa hawana maadili wala mafunzo ya kuishi na mme, wengi wao ni hawa waliolelewa na shule usomi mwingi na kutaka haki sawa akifanya kosa ukimsema kidogo tu anakuja juu hataki kujishusha wala kuomba msamaha yaani ni full majibizano mpaka utakoma!
Mabinti wa zamani walilelewa maadili ambayo waliandaliwa kuwa wake watiifu na wavumilivu ambao walijua kuomba msamaha wanapokosea, pia baba aliheshimika kama kichwa cha familia ndani ya nyumba lakini leo hii ni mfumo wa haki sawa baba anajibiwa majibu ya shombo na mkewe mbele ya watoto na hana ubavu wa kumpiga hata kibao mke.
Sasa kwa hali hii ni kweli mtu anayeoa anajipunguzia siku za kuishi.
Asilimia kubwa ya ndoa siku hizi ni majanga ndio maana wanaume tunakufa haraka uwaze kutafuta pesa kwa ajili ya familia yako bado uwaze changamoto za kuishi na mke pasua kichwa!
Kijana kimbia ndoa haifai!!!(japo mie nimeoa ila sio kivile)[emoji15]
Asanteeeeeeeeeeeee nilioa nikapiga chini bahati nzuri sikuzaa nae
 
Back
Top Bottom