Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa sio familia , nina familia ila sina ndoa.Hao watoto wako uliwaokota? Wewe unafamilia. Unataka wenzako wasiwe na familia ili?
Yaan Hawa wanaokataa ndoa 98% hawajui ndoa ni nini.Ila uko hapa unashinikiza watu wakatae ndoa wakati wewe na watoto unao. Akili kumkichwa
Anaamua kujizima data unafikiri haelewi[emoji4]Funga ndoa ya cheti then ishi nahuyo mwanamke sku mbili mwache ,then nenda kaishi na mwanamke miaka 40 bila cheti ,then yule ulieishi nae sku mbil mwenye cheti akupeleke mahakamani ndio utajua una wake wawili au mmoja.
Kwaiyo broh umeona mi ni mwanamke kabsa au umeamua tu kutaka shari nipigwe ban🙄😁Nyie wanawake ndoa ni tamu sana kwenu.
Mkuu si umesema mwenyewe kwamba mkeo (huyo unaeishi NAE) ni Kahaba ndio maana humuoi.Nilijua una hoja kumbe na ww hauna hoja , mkuu kataa ndoa za sasa, ni utapeli ila kma umeshafunga ww ni kamari umecheza pia mda wowote unaweza kuwa timu kataa ndoa.
Lakini umekubali kwamba hizo Sheria zipo.Anaamua kujizima data unafikiri haelewi[emoji4]
Lakini hizi sheria za ndoa waliotunga sidhani kama waliwashirikisha wanaume
Hao ni ile tim kiria super nini sjui [emoji23][emoji23]Hahaha, anipe yeye mali zake tuone, tukiachana akikaa na watoto siwahudumii kwani? Na akiolewa je na mali zangu ziwe za mme wake mpya?! [emoji23][emoji23]
Mkuu haibadilishi kitu kabla ya wazungu hawajaja hilo neno ndoa lilikua halipo , ndoa ina ambatana na haki sawa , usawa na kijinsia , na haki za mashoga , watetezi wa haki za ndoa ni hao hao watetezi wa haki za mashoga Leo hii taasisi ya ndoa inaweza fungisha ndoa za mashoga na msifanye kitu ,kwa sababu ndoa sio hasili na sheria za kila mtu ana uhuru wa kuchagua ziwabane . Tunakataa sheria zote zinzopingana na nature , kama haki sawa kati ya me na ke , haki sawa mwanaume akizagamuliwa , wakataa ndoa wote wanaongozwa na mfumo dume .Yaan Hawa wanaokataa ndoa 98% hawajui ndoa ni nini.
Mwengine atakwambia nimeoa ila sijafunga ndoa.
Mwingine atakwambia naishi nae mwanamke na watoto Wangu ila sijaoa.
Mwingine atakwambia nitamzalisha mwanamke na kutunza wanangu. Hali ya kuwa anachokikwepa kwenye ndoa muda wowote kinamkuta.
Dhumuni la kujikanyaga ni kukushtua uache kujizima data mkuuMkuu si umesema mwenyewe kwamba mkeo (huyo unaeishi NAE) ni Kahaba ndio maana humuoi.
Na kama sio hivyo unachokiogopa kurasimisha ndoa ni nini. Mbona unajikanyaga kanyaga.
Mkuu haina haja ya kusoma , tumeona yanayomtokea mwaka ,familia ya mengi na wengi kitaa .Wakuu emu kabla mdaharo haujaendelea kwanza kasomeni ndoa ni nini na Sheria za ndoa ni zipi, haki za mke ni zipi , haki za mume ni zipi, taratibu za mirathi na talaka zipoje. Ili mkirudi tujue tuchobishana hapa ni kipi ? Naona wengine hata wanachokipinga hawakijui vizuri na wengine wamekifanya wanachokipinga.
Nimelipenda jina lako[emoji4] wala hatuteseki lakinikwani mwanamke akifaidika mnateseka
Maskin!!!! namwona kabsa Israel alivyotwaa ndoa yako,,, pole ila sasa najiuliza baada ya hayo utawaonaje wanawake wenzake???Wee huniambii kitu nikakuelewa,
Ningekuwa sijawahi kuoa hapo sawa,
Mimi nilifunga ndoa kabisa ya kiislamu ila mwanamke alipoanza kunipangia ratiba ya kwichi kwichi (na mimi hii ndo starehe yangu kubwa), baadae akaanza kuniambia nitaondoka mimi yeye nimuachie nyumba akae na watoto (wakati nyumba yenyewe ya kupanga), ikafika kipindi nikawa hata kurudi nyumbani nachukia nikajikuta nafanya kazi masaa kumi na sita,
Mwanamke unaacha kila kitu ndani lakini hapiki badala yake anaenda kununua chipsi anakula na watoto (huyo alikuwa mama wa nyumbani) nilikuwa nampatia kila anachohitaji mwisho wa siku akawa anajisifu kwa watoto wa dada yangu kwa kuwaambia,
"huyo mjomba wenu mwenyewe nampelekesha"
Siku anaamua kuondoka nyumbani yeye mwenyewe akachukua kila kitu na bado narudi kazini nakuta barua kutoka chang'ombe polisi kanifungulia kesi kwamba nimemfukuza, nimemtolea vyombo nje (ninachoshukuru wale kina dada/mama walikuwa ni waelewa) na walijua kwamba yeye ndo mwenye matatizo hivyo walimuuliza tu, "kwa hiyo wewe unatakaje?"
Akajibu, "nahitaji kila mwezi anipe pesa kwa ajili ya watoto" (kimoyo moyo nikajisemea huyu kumbe anataka kuwatumia watoto kama kitega uchumi chake)
Maana kabla hatujaachana nilishawahi kumwambia, "nakupa miezi mitatu fikiria ni biashara gani utakayoweza kufanya ambayo itakuwezesha kuhudumia watoto hata ikitokea siku nimekufa" huwezi amini ilipita miezi mitatu nakuja kumuuliza umefikia wapi, ananijibu l, "sijaona biashara ya kufanya", shiiit
Kifupi huyu mwanamke kuna kipindi nilikuwa naishi nae kwa tahadhari, maana nilikuwa naona kabisa tunapoelekea kuna siku mmoja atamuua mwenzie
Kisha mnajaribu kutushawishi tuoe, aaah weeee... tena kwa sasa hivi wapo na msimamo wao wa 50 kwa 50
Nakwambia, "Niache kidogo"
Kufunga ndoa ni kamari tu , haimaanishi kamari ni nzuri ata kama ukila pesa .Naona watu ambao wanalalamika walioa au kuolewa wamajuta si kwasababu ya ndoa bali makosa yao wenyewe. Unaambiwa KOSEA VYOTE ILA KUOA AU KUOLEWA ulidhani waliyousema walikurupuka?
Ndugu zangu ndoa hawaangalii uzuri wa umbo au sura ya mwanamke, wala sura ya mwanaume au pochi yake. Kutaka kuoa utafute mtu mwenye akili za maisha anayeweza kuja kusimamisha familia bora nawe na si kukimbilia kuoa kisa umeona ana tako au pisi kali. Mabaharia wana msemo PUNDAMILIA TUNAENDA KUMWANGALIA MBUGANI ILA HATUMLETI NYUMBANI, ILA PUNDA WA KAWAIDA NDIYO TUNAISHI NAYE. Huu msemo wanamaanisha hizo pisi kali mnazokimbilia nyingi hazifai kuweka ndani, ukija kujaribu utajuta sana.
HAPA NILIPOSOMA POST ZA MWANZO NIMEONA KADHAA WAMEKOSEA KUOA WANASHAWISHI NA WENGINE WASIOE KISA MAKOSA YAO WENYEWE.
Mfumo Dume ni kuoa na kuhudumia. Tena sio kuoa tu kuoa kwa sherehe kadri ya uwezo. Alokwambia mfumo Dume ni kuishi na mwanamke ndani pasina kurasimisha uanaume wako kwa jamii kupitia sherehe ya ndoa nani ?Mkuu haibadilishi kitu kabla ya wazungu hawajaja hilo neno ndoa lilikua halipo , ndoa ina ambatana na haki sawa , usawa na kijinsia , na haki za mashoga , watetezi wa haki za ndoa ni hao hao watetezi wa haki za mashoga Leo hii taasisi ya ndoa inaweza fungisha ndoa za mashoga na msifanye kitu ,kwa sababu ndoa sio hasili na sheria za kila mtu ana uhuru wa kuchagua ziwabane . Tunakataa sheria zote zinzopingana na nature , kama haki sawa kati ya me na ke , haki sawa mwanaume akizagamuliwa , wakataa ndoa wote wanaongozwa na mfumo dume .
Basi wewe ni kataa ndoa ila haujajitambua tuMfumo Dume ni kuoa na kuhudumia. Tena sio kuoa tu kuoa kwa sherehe kadri ya uwezo. Alokwambia mfumo Dume ni kuishi na mwanamke ndani pasina kurasimisha uanaume wako kwa jamii kupitia sherehe ya ndoa nani ?