Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Saizi unakataa maelezo yako tena? Ukija kubishana na mimi uwe unaweka records zako straight. Unajifurahisha tu hapa ila hilo swala la kataa ndoa kubali kwamba hujui ndoa ni nini. Haya maelezo hapa chini sio ya kwako? Sasa hivi unasema tena ulimfukuza sijui bla bla.Nilishawahi kuishi na kinyumba tu, miaka mingi tu nikamfukuza kaenda kwenye sheria alichofanikiwa sio hicho alichotajaria kwani hata kama ningemwacha lazma watoto wangu ningewahudmia tu .ila ningekua nina ndoa ningeumia mno kwan pale kulikua na timu ya single mother wa dawati la jinsia.
Hakuna watu nawapenda kama mabinti zangu watatu mama yao na mama yangu , hyo haibadilishi kwamba kwa sasa ndoa ni utapeli kwa mwanaume.