Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)
Kumbe ukielimishwa sana unaweza kuelewa.
Ndani ipo hivyo ila uhalisia haupo hivyo ww kama wanasheria wa haki waelimishen mabinti wanaoishi kiyumba wazijue hzo sheria na wawabne wame zao kwa hizo sheira uone kama hata kama kuna mtu ataishi kinyumba na mtu .
 
Kwamba nahitaji kulala na mwanamke kwa miezi 6 ili kumpa mimba? Yaani sheria iseme kwamba ili ihesabike kama ndoa inabidi pawe na unyumba kwa miezi 6, halafu sheria hiyohiyo ije iseme, hata kama hapakuwa na unyumba kwa miezi 6 anahesabika kama mke wa ndoa. Sasa sheria ipi ipo sahihi? [emoji23][emoji23] Maana hapawezi kuwa na sheria 2 zinazokinzana, kipi ni kipi, sheria ipi tuifuate sasa [emoji23][emoji23]

Na kusema mwanamke analea watoto wasio wake, na hapo hapo hamna uhusiano wa kiunyumba, huyo si ni house girl jamani na analiowa mshahara wake kama house girl tu wa kawaida, maana hiyi ni orecise definition ya house girl, sasa house girl anaweza kukupeleka mahakamani kudai fidia? Fidia ya nini na analiowa mshahara?
Sheria ni moja usichoelewa kwenye hio Sheria ni kipi ?

" Umeishi na mwanamke asiye haramu Yako, kwa huo muda wa miezi sita "

Haijalishi umempa mimba.
Haijalishi ulikuwa na ugomvi NAE huo muda (alikuwa anafanya nn na huo ugomvi wenu kwa muda wote huo).

Utalipa fidia ya huo muda wake .
 
Sheria hiyo hiyo inasema kuishi na mwanamke asiye haramu yako kwa miezi 6 kama mume na mke (kiunyumba). Au sheria haisemi precisely sentensi ya “KAMA MME NA MKE”? Kama unasema haisemi kama mume na mke, basi hata house girl wangu hapa nyumbani si haramu yangu na ni mwanamke, na hatushiriki unyumba ila anakuwa mke wangu kwa hiyo sheria, si ndio?
 
Hapo ndio utakuwa umekataa ndoa Sasa. Sie ww unaeishi na mwanamke ndani mwako pika pakua alafu useme unakataa ndoa. Sema umeoa bila kujua kama una ndoa.
Kuishi pika pakua nimetoa msaada tu , kuna mda nikimchoka ataondoka mkuu,.
 
Sheria hiyo hiyo inasema kuishi na mwanamke asiye haramu yako kwa miezi 6 kama mume na mke (kiunyumba). Au sheria haisemi precisely sentensi ya “KAMA MME NA MKE”? Kama unasema haisemi kama mume na mke, basi hata house girl wangu hapa nyumbani si haramu yangu na ni mwanamke, na hatushiriki unyumba ila anakuwa mke wangu kwa hiyo sheria, si ndio?
Sheria mbovu mbovu...
 
Kuishi na mwanamke miezi 6 ni umefunga ndoa ni sheria mbovu isiyotekelezeka kisheria .
 
Sheria hiyo hiyo inasema kuishi na mwanamke asiye haramu yako kwa miezi 6 kama mume na mke (kiunyumba). Au sheria haisemi precisely sentensi ya “KAMA MME NA MKE”? Kama unasema haisemi kama mume na mke, basi hata house girl wangu hapa nyumbani si haramu yangu na ni mwanamke, na hatushiriki unyumba ila anakuwa mke wangu kwa hiyo sheria, si ndio?
Mazingira

1. Unakaa na huyo house girl peke ake ? (Una makubaliano ya kimkataba kwamba huyo ni house girl)

2.Kama mnakaa wengi wanafamilia basi house girl ni excluded, tunategemea kuwepo kwa muhusika mwingine.
 
Ndani ipo hivyo ila uhalisia haupo hivyo ww kama wanasheria wa haki waelimishen mabinti wanaoishi kiyumba wazijue hzo sheria na wawabne wame zao kwa hizo sheira uone kama hata kama kuna mtu ataishi kinyumba na mtu .
Asante kwa kunielewe. Tuko pamoja [emoji106]
 
Nafikiri na wewe umenielewa , tusichimbue ya humo ndani kwasababu yatatufanya tukatae hizo unzoita ndoa kabsa , tukija kijuu juu tu (kama ilivyo) ata tuonaishi kiyumba tunakataa ndoa.
 
Hasara ya yai lililopevushwa kimakosa. Mzee wa watu angetetema Bafuni tusingekuwa na uchafu Sasa hv.
Njoo na wewe nikutemee humo ndani nikurutubishe upate kujisifu kua umezaa maana hicho ndicho mnachopenda, na sio kingine
 
Nafikiri na wewe umenielewa , tusichimbue ya humo ndani kwasababu yatatufanya tukatae hizo unzoita ndoa kabsa , tukija kijuu juu tu (kama ilivyo) ata tuonaishi kiyumba tunakataa ndoa.
Kijuu juu [emoji106].

Cha kupinga haswa ni hizo Sheria Mbovu za ndoa basi haya mengine ni kufa na tai shingoni tu.
 
Sheria haziendani na tabia za kizazi hiki zibadilishwa tuone faida za ndoa bila blaa blaa kwa sababu kama maziwa yapo yanini kufuga ng'ombe kisheria.
Tuko pamoja tukutane kwenye harakati za tokomeza Sheria Mbovu za ndoa.[emoji106]
 
Back
Top Bottom