Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hatuko hapa kufanya nashindano ya vufungu vya Biblia...ZABURI 16:3, “Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio ninaopendezwa nao ”
Mkuu, ilo andiko kwanini unataka kulipotosha...angali nimenukuu kama lilivyo..? Huo ubani unaongiaje hapo...?Bibilia inasema wazee ishilini na nne kila mmoja alikua na kinubi na bakuli za dhahabu zilizojaa ubani..
Hatuko hapa kufanya nashindano ya vufungu vya Biblia...
Kama unaakili ukiiangalia hiyo kauli utaona kuna pande mbili....Moja ipo wazi yani" watakatifu wa duniani" na pande nyingine imefichwa...
Yani sio kwamba Mungu hapendezwi na Watakatifu wa mbinguni, la hasha..ila anapendezwa zaidi na Watakatifu wa duniani, smbao ni watu wa kawaida, wanaishi maisha ya kumpendeza Mungu kwenye dunia iliyojaa kila aina ya vishawishi...
Swali la kujiuliza mimi na wewe je! Ni watakatifu...?
Unaongea lugha gani wewe..? Unajielewa..??Labda nikusaidie mtoa mada kitabu cha ufunuo nimaono ya badae ambayo yanaonesha msho wadunia sasa toka rc imeanzishwa mpaka leo dunia imeshaisha... Kitabucha ufunuo kinaonesha mambo yawakati ujao lakin kathoriki mmebadilisha nakuwa nakuyafanya yawakati huu hapo ndipo mnapo kosea
MTAZAMO njoo huku uone..Wewe shetani mpumbavu niondolee upumbavue wako na maswali ya kiupmbavu kama una bichwa mzoga. Pumbavue linaropoka kama limekata kichwa hata ufahamu wala hofu na Mungu ahlina. Pumbavu tena narudia kukuamuru sitaki kusema na wewe lipumbavue.
Mkuu, achana na huyo huenda hata shule hakubahatika kufika...Evidence plz ebu tuaminishe kwamba RC wametumia kitabu cha Ufunuo kinatumika hvyo unavyosema.
Hv wale wanafunzi walishindwa nn kumfuata Yesu moja kwa moja mpaka wamfuate Maria mama yake kwenye ile harusi ya kana mvinyo ulipowaishia wkt ni mwalimu wao walikuwa wanashinda pamoja,kumbe basi wanaomuomba Maria awaombee kwa mwanae hawakosei, Theological (Taaluma Mungu) ni muhimu sana kwa watu aina yako.Mbona haujibu maswali yangu bali unaleta siasa? Achana na Yesu maana huyo namtambua ni Mungu.
Jibu kuhusu maria.
Acha siasa.
Anayekataa maandiko huyo ni kipofu, maana Yesu alimshinda Shetani kwa kutumia Biblia "imeandikwa" Yeyote anayekataa maandiko matakatifu ni mfuasi wa shetaniHatuko hapa kufanya nashindano ya vufungu vya Biblia...
Kama unaakili ukiiangalia hiyo kauli utaona kuna pande mbili....Moja ipo wazi yani" watakatifu wa duniani" na pande nyingine imefichwa...
Yani sio kwamba Mungu hapendezwi na Watakatifu wa mbinguni, la hasha..ila anapendezwa zaidi na Watakatifu wa duniani, smbao ni watu wa kawaida, wanaishi maisha ya kumpendeza Mungu kwenye dunia iliyojaa kila aina ya vishawishi...
Swali la kujiuliza mimi na wewe je! Ni watakatifu...?
Bali alifanya nini..? Hivi unaifahamu historia kweli wewe..?Martin Luther akupunguza vitabu.
Wewe kwako maandiko ni kwa ajili ya kushindana...?Anayekataa maandiko huyo ni kipofu, maana Yesu alimshinda Shetani kwa kutumia Biblia "imeandikwa" Yeyote anayekataa maandiko matakatifu ni mfuasi wa shetani
Umeelewa kwanza alichokiandika..?Mbona haujibu maswali yangu bali unaleta siasa? Achana na Yesu maana huyo namtambua ni Mungu.
Jibu kuhusu maria.
Acha siasa.
Mkuu acha siasa, taja kifungu kinachotutaka tumuombe Mungu kupitia maria.Hv wale wanafunzi walishindwa nn kumfuata Yesu moja kwa moja mpaka wamfuate Maria mama yake kwenye ile harusi ya kana mvinyo ulipowaishia wkt ni mwalimu wao walikuwa wanashinda pamoja,kumbe basi wanaomuomba Maria awaombee kwa mwanae hawakosei, Theological (Taaluma Mungu) ni muhimu sana kwa watu aina yako.
Hiyo scenario inakufanya uweze kuwaza na kuwazua mantiki ya point yake...Umekalia acha siasa acha siasa...Mkuu acha siasa, taja kifungu kinachotutaka tumuombe Mungu kupitia maria.
Ok!Zaburi 16..3 somo zuli sana ..yani kumbe Mungu anapendezwa na watakatifu walioko dunia..yani walio hai wanao ishi maisha ya kitakatifu.. Hao ndio maombi yao Mungu anayasikiliza.. Mungu hana mda wakusikiliza wafu maana wafu hawaongei wamelala..eee haya ndiyomaneo yakusikiliza sio bulaha blaha za watu wanaowadanganya.naibada za uongo zisizo weza hata kutoa pepo... Hizi ndizo pointi zakuleta humu jf .. Mleta somo la zabuli asante sana..habali za maria au wafu kuwaombea wazima.. hazipo wala hakuna andiko la mfu kumuombea mzima halipo huo niuongo uliopitiliza
Kwamba hao wazee, wapo hai sehemu gani..? Karatu..??Bibilia haisemi kwamba hao wazee kuwa niwafu ..
Basi kama ni hiyo scenario pekee ndio mnaitumia basi kazi ipo. Ndio maana chenga nyingiii.Hiyo scenario inakufanya uweze kuwaza na kuwazua mantiki ya point yake...Umekalia acha siasa acha siasa...
Nipe tofauti kati ya Roho, Nafsi na Mwili...Tunachotaka hapa lete andiko wapi bibilia inasema wafu wanawaombea wazima ..kama ili andiko halipo inamaana huyu maria munamupa mzigo usiyokuwa wakwake maana kwamjibu wamaandiko amelala mauiti nakama amelala mauti hafahumu lolote..sasa anawezaje kuwaombea..