MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

ZABURI 16:3, “Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio ninaopendezwa nao ”
Hatuko hapa kufanya nashindano ya vufungu vya Biblia...

Kama unaakili ukiiangalia hiyo kauli utaona kuna pande mbili....Moja ipo wazi yani" watakatifu wa duniani" na pande nyingine imefichwa...

Yani sio kwamba Mungu hapendezwi na Watakatifu wa mbinguni, la hasha..ila anapendezwa zaidi na Watakatifu wa duniani, smbao ni watu wa kawaida, wanaishi maisha ya kumpendeza Mungu kwenye dunia iliyojaa kila aina ya vishawishi...

Swali la kujiuliza mimi na wewe je! Ni watakatifu...?
 
Bibilia inasema wazee ishilini na nne kila mmoja alikua na kinubi na bakuli za dhahabu zilizojaa ubani..
Mkuu, ilo andiko kwanini unataka kulipotosha...angali nimenukuu kama lilivyo..? Huo ubani unaongiaje hapo...?

Nikuulize hao wazee 24 ni kina nani...? Ni malaika..? Au ni babu zako wa dongobeshi...? Hao wote ni watakatifu na ndio wenye haki ya kukizinguka kiti cha mwanakondoo...
 
Hatuko hapa kufanya nashindano ya vufungu vya Biblia...

Kama unaakili ukiiangalia hiyo kauli utaona kuna pande mbili....Moja ipo wazi yani" watakatifu wa duniani" na pande nyingine imefichwa...

Yani sio kwamba Mungu hapendezwi na Watakatifu wa mbinguni, la hasha..ila anapendezwa zaidi na Watakatifu wa duniani, smbao ni watu wa kawaida, wanaishi maisha ya kumpendeza Mungu kwenye dunia iliyojaa kila aina ya vishawishi...

Swali la kujiuliza mimi na wewe je! Ni watakatifu...?

Tatizo wewe ni limpumbavue hujui kujadiliana ila unabisha bila hoja. Unafanya ubishi bila mantiki na hata unapoona umebanwa unahamisha agenda na kulazimisha watu wakkufuate.

Kiwango chako ni cha sifuri kwa sababu hakuna mtu aliyeenda shule ama anayeellewa jambo, au mwenye upeo wajuu ambaye katika mijadala atakuwa anakimbila kuwahoji watu kama wana akili, wakati huo huo anaandika uozo na kulazimisha wazungumzie uozo wake ambao hata yeye hauelewi.

Hapa agenda ni "Kitabu gan kimeandikwa kwamba wakatoliki waombe kwa watakatifu waliokufa?".

Umeleta reference ya ufunuo inayozungumzia maombi ya Watakatifu yanayofika mbinguni.

Nimekuletea references za Biblia inasema juu ya Watakatifu walioko duniani hao ndio waliobora.

Wwe unaibuka bila reference yoyote kwamba hata watakatifu waliokufa nao.... Wewe ni Mungu? Kama si Mungu leta andiko la Bibila,. Huna andiko unaleta upumbavue eti tutafanya mashindano ya mistari ya Biblia wakati huna Andiko.

Kwa jinsi ulivyomweupe, unawayawaya tu ili mradi ubishe na kuanza kkuhoji watu "je wewe ni mtakatifu",? Pumbavu kabisa linakimbia agenda iil mradi libishane tu.

Na kwa kuwa huna kiwango, unaandika kipumbavue pumbavue sana tu eti "kama una akili", wewe bwana ni hovyo. Hujui kujadili ila unajua k ubisha. Sitaki kupoteza muda wangu na makelele yako yasiyokuwa na kchwa wala miguu. Ukitaka kuzungumza na mimi, baki kwenye mada, fafanua hoja ndani ya mada na uwe na references. Vinginevyo, ishia.
 
Labda nikusaidie mtoa mada kitabu cha ufunuo nimaono ya badae ambayo yanaonesha msho wadunia sasa toka rc imeanzishwa mpaka leo dunia imeshaisha... Kitabucha ufunuo kinaonesha mambo yawakati ujao lakin kathoriki mmebadilisha nakuwa nakuyafanya yawakati huu hapo ndipo mnapo kosea
Unaongea lugha gani wewe..? Unajielewa..??
 
Wewe shetani mpumbavu niondolee upumbavue wako na maswali ya kiupmbavu kama una bichwa mzoga. Pumbavue linaropoka kama limekata kichwa hata ufahamu wala hofu na Mungu ahlina. Pumbavu tena narudia kukuamuru sitaki kusema na wewe lipumbavue.
MTAZAMO njoo huku uone..

Huyu jamaa kila nikimpa ukweli huwa ananitukana...Daah...
 
Mbona haujibu maswali yangu bali unaleta siasa? Achana na Yesu maana huyo namtambua ni Mungu.
Jibu kuhusu maria.
Acha siasa.
Hv wale wanafunzi walishindwa nn kumfuata Yesu moja kwa moja mpaka wamfuate Maria mama yake kwenye ile harusi ya kana mvinyo ulipowaishia wkt ni mwalimu wao walikuwa wanashinda pamoja,kumbe basi wanaomuomba Maria awaombee kwa mwanae hawakosei, Theological (Taaluma Mungu) ni muhimu sana kwa watu aina yako.
 
Hatuko hapa kufanya nashindano ya vufungu vya Biblia...

Kama unaakili ukiiangalia hiyo kauli utaona kuna pande mbili....Moja ipo wazi yani" watakatifu wa duniani" na pande nyingine imefichwa...

Yani sio kwamba Mungu hapendezwi na Watakatifu wa mbinguni, la hasha..ila anapendezwa zaidi na Watakatifu wa duniani, smbao ni watu wa kawaida, wanaishi maisha ya kumpendeza Mungu kwenye dunia iliyojaa kila aina ya vishawishi...

Swali la kujiuliza mimi na wewe je! Ni watakatifu...?
Anayekataa maandiko huyo ni kipofu, maana Yesu alimshinda Shetani kwa kutumia Biblia "imeandikwa" Yeyote anayekataa maandiko matakatifu ni mfuasi wa shetani
 
Anayekataa maandiko huyo ni kipofu, maana Yesu alimshinda Shetani kwa kutumia Biblia "imeandikwa" Yeyote anayekataa maandiko matakatifu ni mfuasi wa shetani
Wewe kwako maandiko ni kwa ajili ya kushindana...?
 
Hv wale wanafunzi walishindwa nn kumfuata Yesu moja kwa moja mpaka wamfuate Maria mama yake kwenye ile harusi ya kana mvinyo ulipowaishia wkt ni mwalimu wao walikuwa wanashinda pamoja,kumbe basi wanaomuomba Maria awaombee kwa mwanae hawakosei, Theological (Taaluma Mungu) ni muhimu sana kwa watu aina yako.
Mkuu acha siasa, taja kifungu kinachotutaka tumuombe Mungu kupitia maria.
Walikuwa kwenye herehe tu wala hawakuwa ibadani kwamba wakamfuata awaombee kwa Mungu wasamehewe dhambi, walimfuata awaombee mvinyo.

Sasa weka siasa na porojo pembeni, lete mafungu yanayotutaka tumuombe Mungu kupitia kwa maria.
 
Zaburi 16..3 somo zuli sana ..yani kumbe Mungu anapendezwa na watakatifu walioko dunia..yani walio hai wanao ishi maisha ya kitakatifu.. Hao ndio maombi yao Mungu anayasikiliza.. Mungu hana mda wakusikiliza wafu maana wafu hawaongei wamelala..eee haya ndiyomaneo yakusikiliza sio bulaha blaha za watu wanaowadanganya.naibada za uongo zisizo weza hata kutoa pepo... Hizi ndizo pointi zakuleta humu jf .. Mleta somo la zabuli asante sana..habali za maria au wafu kuwaombea wazima.. hazipo wala hakuna andiko la mfu kumuombea mzima halipo huo niuongo uliopitiliza
 
Bibilia haisemi kwamba hao wazee kuwa niwafu ..usiongeze jsmbo hapo.. Mfu hawezi kuombea wazima nailihali yeye mwenyewe hawezi kujiombea.. Hakuna andiko ndani ya bibilia hatanmoja.. kwamba wafu wanaweza kuwaombea wazima. lakini kuna maandiko mengi ndani ya bibilia yanayosema wafu hawajui chochote maana wamelala mauti.. Maandiko yanayosibitisha kuwa wafu wanauwezo wakuwaombea wazima hayopo labda kama mmeleta bibilia mpya jana
 
Zaburi 16..3 somo zuli sana ..yani kumbe Mungu anapendezwa na watakatifu walioko dunia..yani walio hai wanao ishi maisha ya kitakatifu.. Hao ndio maombi yao Mungu anayasikiliza.. Mungu hana mda wakusikiliza wafu maana wafu hawaongei wamelala..eee haya ndiyomaneo yakusikiliza sio bulaha blaha za watu wanaowadanganya.naibada za uongo zisizo weza hata kutoa pepo... Hizi ndizo pointi zakuleta humu jf .. Mleta somo la zabuli asante sana..habali za maria au wafu kuwaombea wazima.. hazipo wala hakuna andiko la mfu kumuombea mzima halipo huo niuongo uliopitiliza
Ok!

Hebu sasa tupe sababu za Martin Luther kupunguza vitabu vya biblia....
 
Tunachotaka hapa lete andiko wapi bibilia inasema wafu wanawaombea wazima ..kama ili andiko halipo inamaana huyu maria munamupa mzigo usiyokuwa wakwake maana kwamjibu wamaandiko amelala mauiti nakama amelala mauti hafahumu lolote..sasa anawezaje kuwaombea..
 
Hiyo scenario inakufanya uweze kuwaza na kuwazua mantiki ya point yake...Umekalia acha siasa acha siasa...
Basi kama ni hiyo scenario pekee ndio mnaitumia basi kazi ipo. Ndio maana chenga nyingiii.
 
Tunachotaka hapa lete andiko wapi bibilia inasema wafu wanawaombea wazima ..kama ili andiko halipo inamaana huyu maria munamupa mzigo usiyokuwa wakwake maana kwamjibu wamaandiko amelala mauiti nakama amelala mauti hafahumu lolote..sasa anawezaje kuwaombea..
Nipe tofauti kati ya Roho, Nafsi na Mwili...
 
Back
Top Bottom